Mbwa mzee kujifunza mbinu mpya hili nalo tatizo tena tatizo kubwa.
Huwa naona real men The Boss akiwa among wanasema mwanaume anahitaji mambo matatu: food, sex and space.
Katika hayo mambo...
I hope mko poa guys
Naitaji ushauri hapa serious kabisa
Mimi ni mwanamke nina miaka 30 nina mchumba ambaye wazazi walishatupa ruhusa ya kuishi pamoja
Mwaka 2016 nilipata kazi ya muda mfupi...
Kwa wadogo zangu:
Leo nina muda kidogo wa kuandika, nikakumbuka maisha yangu binafsi na misukosuko ya kimahusiano; nikaona nije na huu uzi; vipindi hatari kwa uchumba/mahusiano ya vijana wengi...
๐ ๐๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ๐น๐ถ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฝ๐ถ๐๐ถ๐ฎ ๐๐ฒ๐ธ๐ป๐ผ๐น๐ผ๐ท๐ถ๐ฎ ๐ฏ๐ถ๐น๐ฎ ๐ธ๐๐๐๐บ๐ถ๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐บ๐ธ๐ฒ
Kwa mara ya kwanza Dunia imepokea tukio la ajabu baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa pasipo mwanamke, mtoto huyo amezaliwa...
Kwasababu Waafrika wengi , na hapa niwe mchaguo wa Afrika Weusi kusini mwa jangwa la sahara ๐ ๐
Yes!
Ndoa nyingi siku hizi ni fashionable. Eti ili uonekane umeoa. Yani unaweka Milioni 200 kwenye...
Demu akija gheto akapoteza heleni utaitafuta wiki mbili bila kuipata ila sasa demu wako mwingine akija eti anaikuta chini ya mto na ugomvi unaanzia hapo ๐๐
Salaam wakuu
Mimi ni mmjawapo wa kijana nisiyekubaliana kabisa na kataa ndoa.
Nimeoa na nna mtoto mmoja na mke wangu kipenzi. Uamuzi wa kuoa niliuchukua baada ya kuona kama nimeshamaliza...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili...
Miaka 5 nyuma nilipatwa na hiki kisa, sijui huwa kuna nini kinatokea kwa wenzetu naweza kusema alikuwa mke kabisa maana kwao walinifahamu posa na mahari nilishamaliza na watoto wawili nimemzalisha...
MABINTI WA SIKU HIZI
Katika enzi za sasa, mwenendo wa mabinti wa siku hizi unaibua maswali mengi, hasa kuhusu matarajio yao katika mahusiano na maisha kwa ujumla. Imeonekana wazi kuwa baadhi yao...
Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu โ kwamba binti yake hana kazi yoyote...
Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata...
Asalaam wana JF!
Leo sikuwa na ratiba ya kwenda popote, nikasema wacha niadhimishe 9 Dec hapa hapa nyumbani, mpaka pale nilipopigiwa simu na Mwenyekiti wangu mpya wa mtaa aliyechaguliwa kwa kura...
Wakuu,
Ukienda Zanzibar jambo kubwa litakalokuacha kinywa wazi ni hili la wanawake hawaruhusiwi kwenda sokoni isipokuwa ni wanaume tu ndio wanaoenda sokoni kununua mahitaji kama...
Wadau hapa juzi kati niliingia tamaa nikamtawanya housegirl wetu hapa home.
Sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati...
Wanandoa na mliowahi kuishi na wanawake naombeni ushauri kidogo, huwa napenda sana kujifunza mawili matatu kabla, ili niweze kufahamu walau kwa uchache jambo ambalo nakwenda kulifanya, wenda isiwe...