Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu habari zenu, natumai mu wazima wa afya. Changamoto yangu iko hivi niko 20s lakini sijawahi kupata mwanamke seriously wote wanautoto mwingi sana...
12 Reactions
88 Replies
3K Views
Wakuu Hakuna aliye mkamilifu chini ya jua. Mara nyingi muumba atakujalia kipawa au karama hiki akakunyima ile hiyo ndio hali halisi. Wengine wameenda mbali zaidi kudai hata malaika sio...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Nakumbuka hapo zamani niliwahi kuwa na rafiki yangu mpole sana, aliwahi kumfumania mazingira ya nyumbani dada yake na njemba nyingine kwenye nyumba ambayo haijakamilika (pagala), baada ya siku 4...
4 Reactions
14 Replies
795 Views
Nakwenda kwenye maada Siku ya ijumaa mke wangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehemu na mke wangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu...
37 Reactions
140 Replies
8K Views
Ikitokea mwanamke/mwanaume mlikuwa mna date kwa mda TU ukamchoka ila unamlia timing ya kuachana naye, ghafla siku Moja anakutumia sms "KUANZIA LEO TUACHANE " Utamjibu Nini, au kama iliwahi...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Haya ni mabadiriko ya maisha yangu baada ya kuoa. POSITIVE. 1. Kabla ya kuoa nilikuwa naweza lala bila kula au nikala mkate na juisi tu nikalala ila sasa nikitoka kazini na njaa nakuta mke wangu...
63 Reactions
120 Replies
6K Views
Habari wana JF..... Hopefully it was a lovely weekend na all your Loved ones na wale woote wa karibu wapo salama salimini. Topic ya leo yahusu pale Mwanamke unapo jiona kua ni Mzuri na ni...
29 Reactions
433 Replies
49K Views
Habari za muda huu wanajf poleni kwa majukumu na itoshe kusema kwamba ndio maisha hayo:: Sasa niende kwenye mada, kuna suala moja ambalo wengi hawalijui na itakuwa vizuri kueleweshana hapa ili...
8 Reactions
92 Replies
8K Views
Mara nyingi unakuta maisha ya wengi ya hawa maanko na mashangazi ni full usanii na janjajanja za mjini. Wanatafuta fursa ya kujineemesha kwa fursa yoyote itakayotokea hata kama ni kifo cha mwana...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Anasema Kuna ka demu alikatongoza kakakubali Sasa kakaa nako mwezi kaja kugundua kana bwana wake wa boda boda Na hakakumuambia akikauliza kana leta Kona Kona wewe apo unaona Nini mdau mm...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Mi naona kama mke ndo anauma zaidi. Au wakuu nyie mnasemaje?
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Heti wadau, nisaidieni mana kuna kakiburi kalikojificha kwenye ujauzito
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Chini ya Jua hamna mwanamke Anayejiamin iwe katika Uzuri wake wa sura na umbo, Upishi, Mavazi, ufanyi kazi wake uko kazin, majukum ya nyumban n.k .. Kwa haraka Ukimchukulia mwanamke kama kiumbe...
26 Reactions
194 Replies
21K Views
Sugar ray iliyopo Temeke mitaa ya kwa sokota imefungwa rasmi kwa madai kuwa sehemu hiyo imekuwa maarufu kwa wadada kuuza miili yao hivyo basi wazazi wa sehemu hiyo wakishirikiana na serikali...
1 Reactions
31 Replies
9K Views
Niiteni masikini ila hii "money trap" Hizi kweli sio njia za kutafuta pesa kimkakati..? Mtu una life lako, umeshakuwa mtu mzima, alafu unapitishia watu michango utafikiri ndio unaenda kuanza...
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Nina miaka 30 sasa, cha kushangaza nimejichanganya sehemu masihara masihara nipenda kama mtoto wa rika balehe. Yaan sijiwezi, situliii, siambiwi na sipend pesa sana, navuruga ratiba, kutwa...
13 Reactions
101 Replies
4K Views
I will be short Any way very late 20s . Sina mtoto sina Mchumba , Ila na pisi Kama 3000 hivi . Any way nilijikubali kuwa furaha yangu is my own kitambo sana . Yani hata Dunia nzima mpotee...
3 Reactions
8 Replies
617 Views
Mimi na mume wangu tuna miezi minne sasa lakini mimi nimekua nikimkosea sana wala hanipigi anaishia kulia tuu na baadaye kuniambia kanisamehe. Juzi amekuta nimechat na mwanaume kimapenzi...
13 Reactions
197 Replies
18K Views
Ama kweli Dunia Haina huruma ..Kila siku kukicha kwangu ni afadhali ya jana..najitahidi kufanya kazi ila mwisho wa siku naangukia pua na hasara juu.nmechoka katika hili najihisi kukata tamaa. Nina...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu , hawa Wanawake kutoka kanda ya ziwa sio Poa kabisa aisee wanaweza kukuvunja miguu hivi hivi Kama mwanaume Ukiwa dhaifu aisee hatari Sana hawa Wanawake kutoka kanda Hii Jana nusura nivunjwe...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…