Kuelekea siku ya wapendanao "Valentine's day" watu wengi hukuna vichwa ni zawadi gani wawapatie wawapendao.
Wengine huwaza sana na kuwa na hofu kwa sababu hawana pesa nyingi kuweza kuwanunulia...
Hey guys, leo nimeona niwagawie kijielimu kidogo kuhusu kufika Ulaya na America kwa wale wenye hayo matamanio lakini hawana mchongo,
1. Dating sites, Wengi najua mnazunguka sana kwenye dating...
Ni hivi, week iliyopita nilikwenda Tabata kumtembelea brother wangu anaeishi huko na familia yake.
Tukiwa pale Tabata tumeketi mbele ya kibaraza kidogo kilichopo mbele ya nyumba ya brother wangu...
Wakuu! Binafsi mimi si mtu wa masuala ya mapenzi hata kwenye siku kama ya leo.
Leo nilikuwa na mpango wa kuwatembelea wazee, lakini kwa kuwa ni siku ya upendo, nikaona si vibaya nikichukua...
Wakuu naomba kuuliza ni nature ama vipi, Kuna huyu shemeji yenu nikiwa nae kwenye mahusiano serious mambo hayaendi kabisa
Maisha yanastuck changamoto zinajazana ila tukitengana maisha...
Haya mambo ya kuiga maisha ya kizungu na kupenda vitu ambavyo huna uwezo navyo yanatufikisha pabaya. Usiku wa kuamkia leo, kizaazaa kimezuka katikati ya jiji ndani ya eneo la guest.
Dada mmoja...
Habari jamiiforum
HASIRA ni nini?
Hasira ni Ono linalompata kiumbe yeyote yule, binadamu ,mnyama mdudu au ndege pindi anapokutana na pingamizi.{credit na Wikipedia}
Leo tuangalie Kwa binadamu...
Wanawake ni supernatural😂😂
Unakuta anapika, huku ananyonyesha mtoto hapo hapo kichwani anakuundia risala kama zile hotuba za hitler😂...
Wanawake hubishana kulingana na hisia. Wanaume hubishana...
Mambo 5 Muhimu Ya Kuyajua Unapoingia Kwenye Mahusiano!
(1) Sio kazi ya Mwanaume kukuhudumia hivyo acha kabisa kumuambia matatizo yako mwanaume ambaye ndiyo unakutana naye. kama akikusaidia sawa...
Habari zenu walipa kodi wenzangu.
Nanukuu nilichoandikiwq na huyu mrembo wa kisambaa.
"To you the love of my life"
You are just what I dreamed,my sweetheart would you be my valentine?
Nimjibu...
Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu...
Ukifanikiwa kumshawishi mwenza wako siku ya leo mkatoka kwenda kusalimia wenye uhitaji mahospitalini hata vituo vya wenye uhitaji mtakuwa mmefanya jambo litaloishi mioyoni mwa watu na machoni pa...
Inasikitisha sana wanawake ndio mama zetu wanatubeba tumboni miezi 9 lakini kuna sikielewi na kinanishangaza sana kwenye shughuri za dada zetu imezuka tabia ya kualika mashoga na inaonekana...
Mambo yamekua mengi wanawake wanapenda hela, wengine wanajenga nyumba za siri, wanaume kataa ndoa wanaongezeka na walio ndani ya ndoa wanachepuka, kila kona ni vurugu.
Wewe huyo bebi wako...
Mapenzi upofu sio suala la mmoja karibu wote tuna huo upofu ila usikubali ukufanye mjinga hapo utakuwa umefeli .
Upofu wa mapenzi ni pale ambapo huoni wanayoona wengine kwa umpendaye na hata...
KWA NINI TUNAOA? NI LINI NDOA INA-EXPIRE NA HAUTAKIWI KUFIKIRI KUTOA TALAKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Lazima ujifunze, kabla hujakipokea kitu au Jambo lolote lazima ujifunze namna ya...
Leo nimeona nikae nitafakari kama Binti nikiwa mtulivu na ustaarabu ya juu maisha yangu
Nimekuja kugundua natongozwa sana na wakurya kwanzia kwenye social media ...mikoani.....chuoni...mtaani...
Unakuta mdada anakuonyesha dalili zote kuwa yupo interested nawewe, sasa ukisema uanze kumzingatia ana step back , anaanza kukupotezea na hatimaye inarudi kama zamani, hii imekaaje wakuu
Kuna utafiti usio rasmi ambao nimeufanya ila sijauchapisha kwenye jarida lolote,nimegundua wanawake wanaofanya kazi office hizi wana maringo sana na dharau.
1.Crdb branch zote nchini
2.Nssf hasa...