Kafumaniwa mara tatu na mumewe ,mara mbili kasamehewa hii mara ya tatu mumewe kagoma kabisa kumsamehe,anasema anaweza kumdhuru hataki hata kumuona, ila mwanamke ni king'ang'anizi analazimisha...
Salaam,
Mimi kuna kitu huwa siwezi kabisa kukifanya, nimkute mwanaume wangu na mwanamke mwingine, sitomfanya chochote kabisa.
Kwani yeye amefwatwa kama mimi alivyonifata akanitongoza tu.Sasa...
Mi ni kijana (me) miaka 30 Kuna kabinti hapa mtaani nilitokea kukupenda basi sikujivuta sana nikamtafuta nikachukua number za cm nikamuomba siku moja tupate wote chakula Cha usiku basi haikuwa...
Hii ni Hali ya mabadiliko ya ngozi na mwonekano wa mwili pale ambapo unapopata furaha kupitiliza hasa katika penzi jipya.
Hali hii uwapata baadhi ya wapendanao hasa wanapokua ktk penzi jipya na...
Sijui nieleze vip nieleweke vizuri, lakini kwa utafiti wangu ninachokiona Mwanaume anamuhitaji sana Mwanamke kuliko Mwanamke anvyomuhitaji Mume.
Mwanamke kaumbwa kuwa kijakazi, au utumishi chini...
Usiyejua maana ya upendo kutwa kucha unamfanya mwenzio kama kinanda anakulilia wewe na wala hujali thamani ya machozi yake. Siku zako zinahesabika ipo siku na wewe utalia zaidi yake.
NASEMA NA...
Wana MMU,
Naandika huu uzi kwa masikitiko na kujuta bora ile pesa ningenywea tu bia na kula kitimoto.
Nina mke na watoto, mke alikopa hela bank na kazini kwao akanunua uwanja. Ushauri huu...
Habari za wekeend wakuu,
Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda Dar kutafuta maisha na mawasiliano...
Disclaimer: Haya si mawazo yangu, nimecopy na kupaste.
ROHO WA NENO ANASEMA; Watumishi Wote Wanaozuia Watu Wasioe Na Kuolewa, Wanafundisha Mafundisho Ya MASHETANI... Na Hawa Hapa Pichaniππ Ni...
Habari vipenzi.
Ninajiandaa kusuruhisha mahusiano ya mdogo wangu aliechumbia mnyarwanda, familia hii imeishia Tanzania tangu 1980.
Hivyo mdogo wangu baada ya kupata mchumba kwenye familia ile...
Wadada Wanataka Wanaume Matajiri wa pesa alafu wao Ni maskini wa Akili,Utajiri na Ujinga Havikai sehemu moja",
Ndio Maana Badala ya kuwa Na wadangaji mabilionea tuna wadangaji masingle mother...
Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?π
naskia...
Jaman ni Muda watu Leo, zawadi mtoe mpaka kielewek ila vyote kwa vyote heri ya siku ya wapendanao
Tuendelee kuwapenda wanaotujali hasa wazazi wetu na watu wa karibu
ππππΎππΎ
Habari,
Nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.
Naombeni...
Huu mwezi sipendi kabisa. Nimetoka kulipa ada ya watoto watatu,mwezi uliopita January.
Inaingia February inaanza na siku ya CCM, mkosi namba Moja tarehe 05/ Feb.
Inafuata birthday ya mama...
Habarini za Muda huu
Kuna mkasa nimeusikia wa nyumba ya jirani location nayokaa Dirisha langu ni kibarazani kwa jirani yangu Mmama mwenye familia na watoto na wadogo zake kadhaa. Ila kubwa kabisa...
Salaam nyingi kwenu wana JF⦠niliwamiss sana humu ndani
Leo bwana nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu JF...
Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi...
Kuna Imani zimeingia kwenye jamii zetu kwamba ,wanawake wakae tu majumbani wasubiri huduma Toka Kwa waume zao,Kwa kisingizio eti wao wanalea watoto,kupika na kutoa penzi pekee ndio kazi kuu...
Mpenzi wako au mume wako au mke wako, tabia yake iko vile vile kama ulivyomkuta na kumpenda au kabadilika?
Vipi bebi wako mbususu na rungu anakupa kwa spidi ile ile kama mlivyoanza au siku hizi...