Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jaman wana jf kumbe mwanamke bikra msumbufu kinoma,ukimwambia hiv hataki, vile anagoma kabisaaa! Aah me sitaki tena.Au wana jf niambieni nifanyaje?
1 Reactions
82 Replies
29K Views
Habari marafiki zangu Natumai mko fiti na mnaendelea na shughuli,kazi na masomo yenu vyema Leo nimeonelea nizungumze nanyi akina dada/wanawake wa humu mjengoni kuhusu masuala yetu wanawake...
11 Reactions
160 Replies
11K Views
kwanza kabisa nawasalimu mi naitwa sam niko mosh au ukipenda mji wa wagumu kimasomo,niko mwaka wa 3.napoish kabisa ni arusha.nimekuja leo ktafta marafik awe wa kike au wa kiume alie tayari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimegundua mpenzi wangu anamahusiano na msichana mwingine, nilipomuuliza akadai ni kweli but wameshaachana kwa sasa, kumuuliz huyo msichana wake kaniambia bado wako wote na wanampango wa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
.........
10 Reactions
31 Replies
3K Views
Moja ya Habari za kichunguzi niliozipenda sana ni ya huyu dada........so far kaangalia matatizo halisi yanayozikabili sio tu jamii ya kitanzania bali ni almost jamii nyingi za kiaafrika na zaidi...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
kwa mujibu wa kichwa cha habari wakuu nisaidieni mbona siku hizi jamani kuvaa kwa surwali za mibano a.k.a taiti tena inayoweka mambo hadharani ni swala la kawaida? na kwa walionizidi umri miaka...
1 Reactions
52 Replies
12K Views
Habar wana MMU! Kipind cha nyuma kidogo nshawah kuomba ushaur hapa jukwaan kuhusu x-girl friend wangu, mlinishaur vzr sana na ushaur wenu niliutumia. Short review Nikuwa na msichana ambae...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
habari wana jamii forum, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29,natafuta mwanamke mzima anayejitambua asiye na mme atakayenipenda kwa dhati,nipo kagera,bukoba! Mawasiliano! Namba:0756763448...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanaJF me ni kijana 25 years,Natafuta sex mate sifa: Msichana 18-23 years, Nzuri WA sura na umbo Pamoja na Tabia. Awe kwenye mahusiano(hakiwa single Pia si mbaya) Awe Tayari kutumia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mwezi uliopita kaka yangu alioa na tukasherehekea kwa furaha sana, jpili iliyopita wanandoa hao wakaja kanisani kushukuru Mungu pamoja na wote walioshiriki, wakapewa nafasi ya kushuhudia lolote...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Kiukweli mimi sio mtu wa kuonyesha haya 'makea artificial' kwa mke wangu, nikizingatia kuwa akiyazoe ntakuwa 'sina jipya' alafu atanchoka. Sasa siku moja tulitinga harusini na my beloved wife, na...
10 Reactions
32 Replies
5K Views
Siku zote nilikuwa nayasikia tu ...leo nimelazimika kulikabili kwa maumivu na mshtuko! Nimebahatika kuwa ni mtu ninaye aminika sana kwa watu ,mara nyingi watu huniambia mabo yao ya ndani kwa...
2 Reactions
75 Replies
18K Views
habari wangudu,ninatafuta marafiki wenye umri tajwa hapo juu.mimi ni kijana wa rika tajwa.marafiki ninaowatafuta wawe na sifa kuu mbili .....AWE NA IDEA NA LUGHA YA KIFARANSA .....AWE...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Natoa shukrani zangu kwa wanaJF wote waliotoa ushauri ktk hili nitaufanyia kazi ila nina historia ndefu na ya kuhuzunisha sn naumia sn ninapoikumbuka na ninapomuona mwanangu machoz yananitoka kwa...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Kwenye evolution theories tumesoma kuwa tendo la ndoa(mapenzi) ni kwa ajili hasa ya kuzaliana na kuongeza viumbe. Hii ipo kwenye mimea na hata wanyama. Tukichimba mbali zaidi tunaambiwa sex was a...
5 Reactions
104 Replies
14K Views
Mimi ni kijana mwenye umri 30yrs nina bachelor ya sheria, natafuta mwanamke mwenye sifa hizi, awe na umri usiozid miaka 30, awe anaumbo zuri maana mi kwa maumbo mazuri ndo furaha yangu, awe na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
I'm erick 21 years old nasomea takwim mzumbe ,I like friends who will care about me and show a true love at all of time to me,,when you are the one be with me my fellow.,
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Ukweli nimekwama pale ninapo sign in katika email account yangu. Id yangu hakika ni sawa. Password pia ni sawa. Baada ya kujaza na kusaign in kinakuja kile kibox cha draw image nikisha do hivyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Am 21 yrx old and a serious beliva of God...i am chololate in colour,medium height,not fat n not thin.i am in colage...the rest nitawambia 2...need a lady of btwn 18 to 22 yrs.lavn,hnest n God...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…