Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] - Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo fupi na kuingia barabarani bila aibu akitembea USIOE. - Úkiona msichana ana ujasiri wa...
16 Reactions
237 Replies
80K Views
Habari Na gfriend wangu tumetokea kupendana sana kusex sanaaa Baadae akafanikiwa pata mtoto Sasa n mwaka wa 3 Ila ile hamu ya tendoo la ndoaa sijui kaenda nayo mtoto ama lah Mkikutanaaaa yaaan...
3 Reactions
10 Replies
8K Views
Wakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa...
29 Reactions
210 Replies
7K Views
Siku ya ijumaa nilikuwa napiga misele ya mtaa kwa mtaa, baada ya kutembea umbali mrefu kiasi, nikakutana na warembo wawili wamesimama wanabadilishana mawazo; walikuwa wamevaa suruali pamoja na...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Huyu mtu ni hatari sana atakuingiza kwenye matatizo kibao na kuna muda hutojua kama ni yeye kwa sababu mkiwa naye anaongea hivi ila mkiachana tu anaongea mengine. Mtu kigeugeu mtakubaliana jambo...
3 Reactions
2 Replies
500 Views
hizi zinaitwa chastity belts ni za medivial period (zama za Kati) zilikua zinatumika kama njia ya kudhibiti uaminifu wa wanawake ili wasichepuke lakini pia, baadhi ya wanahistoria wanaamini kuwa...
0 Reactions
3 Replies
473 Views
Ulichukua hatua gani? Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi? Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini...
4 Reactions
78 Replies
3K Views
Watu wengi siku hizi wanaishi Kwa presha sana,hii ni kutokana na kuiga mafanikio ya wengine, Kama vile,Nyumba nzuri,biashara,usafiri wa uhakika na uwezo wa vitu vingi. Hii inasababisha...
17 Reactions
27 Replies
993 Views
asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari Wana JamiiForums Kunaswala Naoana Kwasiku Hizi limekuwa Tatizo Kubwa Hususan Wana Ndoa Kwa Upande Wetu Wanaume baadhi yetu unywaji wa pombe ndiyo sababu yakuleta migogoro ndani ya ndoa...
10 Reactions
37 Replies
1K Views
It’s magical– I’m in love again! I don’t know how it happened, but everything just feels right. My heart is full, and it’s like I’m seeing the world through a brighter lens. There’s something so...
5 Reactions
12 Replies
760 Views
  • Closed
Dear Friends, As I prepare to say goodbye, I find myself reflecting on the wonderful moments we've shared together. Each laugh and each discussion we've shared has made my life richer and fuller...
14 Reactions
157 Replies
7K Views
Hivi kuna mikoa huwa najiuliza kwa haraka haraka unakosaje mke..... maana wife materials wengi tu....wala hutumii nguvu kuwapata. Kigoma Tabora Katavi Tanga Shinyanga Iringa Mara/Musoma Ruvuma...
17 Reactions
97 Replies
5K Views
Nitajihidi kumuelezea japo kwa uchache na nitatumia picha. Ndugu msomaji tafadhali sana mwambie mume wake namtafuta sana. Kwanza kabisa si mnene sana japo kajazia kidogo pia ni mrefu. Si...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Mwanaume kusimamisha mara kwa mara hata tukiwa sehemu za watu wengi, akiniona tu anadai inasimama, ndio mapenzi ya dhati haya au inakuwajee??
4 Reactions
58 Replies
11K Views
Kuna mdogo wangu alifariki akaacha mtoto wa miezi 3 mwaka 2000 yule mtoto akalelewa na Mama alipofikisha miez 8 akachukuliwa na Mdogo wangu wa mwisho akaishi nae alipofikisha mwakana nusu yule...
6 Reactions
73 Replies
6K Views
Dear Comrades, kidumu chama la wana wenye akili timamu KATAA NDOA!!!👏👏👏 Jana imetoka hukumu ya Kesi ya mauaji ya mwanaume wa kitanzania aliyefanya mauaji ya mkewe na kisha kumchoma kwa gunia...
15 Reactions
45 Replies
2K Views
Nipo zangu facebook juzi kwanza nikaona messeji inbox inaanza na "hi" kucheki nikaijibu baada ya muda huyo mtu akatuma friend request nikaona ni rafiki tu kama marafiki wengine nimechat nae...
8 Reactions
113 Replies
28K Views
Huyu dada namfaham kwa miaka mingi sana kama 6 sasa. ni dada mzuri kwa sura na umbo ana rangi nzuri ana shughuli zake binafsi na katika shughuli zake huko ndo tulikutana na kuwa marafiki...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
Back
Top Bottom