Jamani nina mchumba wangu lakini kila akitongozwa lazima aniambie na hata akitumiwa sms lazima anitumie hivi ananipenda kweli au ndio sera ya wanawake wa siku hizi
natafuta rafiki wa kike(for long term friendship) mweye sifa hizi;awe mkristo(thehebu lolote) elim kuanzia fom four, awe mrefu, mweusi au maji ya kunde,mwenye malengo ya maendeleo,katu asiwe cha...
Habari,
Mie nimfanya biashara za kawaida.
Kabila Mmanyema mwenye asili ya Kigoma
Nipo Zanzibar kwa miaka kama 12.mwanzo niliajiriwa kisha nikajiajiri mwenyewe.
Nia watoto wawili wote wapo Dar...
Natafuta binti ambaye baadaye anaweza kuwa mke, preferably ambaye yuko USA ningependelea sana awe anatoka karibu na Atlanta sababu hayo ndio maeneo yangu but popote pale USA unakaribishwa
Jamani habari za wkend,
hope jumapili ni njema,Mungu awabariki sana leo ni siku ya kusameheana bila hiana.
Ok...
Napenda kutoa shukrani zangu kubwa kwa Muandaaji/waandaajai wa ile kitu ya jana...
hi jf, accordng 2 ma personal point of view me naona suala zima la uzinzi kat ya hizo pande mbili ni sawa kuliko kutupia lawama jinsia moja eti ndo malaya(either women or men), 2kisema wanaume...
Wana jf mimi huwa najiuliza always kuwa mwanamke mzuri huwa anapatikaje either kukutana nae kwenye gari,kukosea namba au kwenye mitandao ya kijamii(facebook,twitter,jf,nk) kwani nimekuwa nikipata...
Wazee wengine bhana wanajivunjia heshima wenyewe, nlikua namuheshimu sana lakn sasa hata nkimuona naskia kichefu chefu, aliyesema "All men ar dogs" hakukosea kabisa, huyu mzee mkubwa kuliko hata...
Habari wanajamvi!
Leo naleta kwenu ujumbe kwa wote wanaotaka kuoa na kuwakumbusha wale walioko ktk ndoa.
Ndoa ni patanisho litokalo kwa mungu. Mwanadamu huzaliwa mungu akiwa katikati yake na...
Habari wanaJF
Hii habari ni ya kweli na imenitokea si mara moja bali ni mara kadhaa na hadi sasa inaniogopesha kuwasiliana na marafiki zangu wa zamani.
Wakati nasoma sekondari na chuo nilikuwa...
Dear Friends,
This is the most important issue you will ever have to consider in your life, it's also the most direct and straightforward message you will ever hear! God planned it that way...
IGWEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!
Nakubali im guilty as charged pia kwenye hii shutuma!!!!!!! Ila nimekuwa najiuliza ni Zambi au sio zambi? Ni sahihi au sio sahihi?
Kuna hii tabia ya mdada au mmama...
Msaaada haraka nipo kwenye basi Nikitoka Dom mjini kwenda Kondoa nmekaa na mtoto wa kirangi hapa na nimemwelewa sasa jinsi ya kumuanza tatizo
Msaaaaaada plzzzzzz
Ni ujana tu jamani. Ninao wachumba 3.
1. Anafanya kazi bank. Si mrembo sana ila ni wife material. Ana muda mfupi kaanza kazi. Tatizo ni kuwa anaondoka asubuhi sana, na kurudi usiku. Wakati...
Heshima mbele wanajamvi,
Wakuu natafuta mama wa umri wa 45-50 mimi nina umri wa 30-35.
Awe na mkwanja wa kutosha yaani mupunga (Hela). Ni kijana mwenye nguvu za kutosha katika mambo yetu...
Believe me;
Ninafanya kazi shirika fulani la kimataifa. Dada mmoja mzuri na kafungashia,nilimchukulia kama dada yangu. Alinisaidia kupika na tulishauriana vzr maisha kama ndg. Siku moja aliacha...
Madereva wa bodaboda wafanya ngono na wanafunzi, walimu na wake za watu,kunaukwali wowote?
=========
Madereva wa bodaboda licha ya biashara ya kusafirisha abiria, wamezua tabia nyingine ya...