Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za asubuhi Wanajamiiforums. Leo nawakumbusha Vijana. Unakuta Kijana hata kujihudumia mwenyewe anashindwa ila kichwani ana hesabu za kuoa, Vijana ebu tuacheni huu uwendawazimu.
7 Reactions
12 Replies
731 Views
Aisee mimi hakuna kitu kinachoniudhi kama nimepata na tatizo alafu unanionea huruma na haunisaidii hii ipo zaidi kwa wanawake Mwanamke kama huwezi msaidia mume mpenzi wako huna haja ya kumuonea...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Video inaonyesha wanaosadikika kuwa ni wapenzi wakishirikishana mambo. Kilichofurahisha ni namna walivyokuwa wanaonekana ku bubujikwa na upendo hadharani. Wabongo mnaweza haya mambo? Au ndio...
17 Reactions
87 Replies
4K Views
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu suala la "Wakati gani wa Mwanaume kuoa". Wengi wameenda mbali zaidi na kusema, "Suala la mwanaume kuoa sio umri, bali ni kipato na uwezo wa kuilea familia"...
2 Reactions
9 Replies
618 Views
Uliwezaje ku move on kutoka kwa mpenzi uliyempenda sana?
10 Reactions
127 Replies
6K Views
Hii tabia ya wanawake kupenda kula vingi vya mwanaume, kulelewa au kupata kila kitu kwa wanaume itakuja kufikia mwisho? Kasi ya wanawake kufundishana kupata vitu kutoka kwa wanaume inazidi kila...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Hamjafika hata miaka 20 kwenye ndoa unapata wapi ujasiri huu wa kumpa mkeo hadhi ya undugu ? KWENU MLIOJISAHAU, TUNAKUMBUSHANA TU.
2 Reactions
10 Replies
515 Views
Kisa cha Ally Kamwe na Baba yake kinawasanua wabishi wote, sisi tumekaa pale tunawaangalia na haubadirishi msimamo, kuoa ni ushetani na kuoa ni gereza huwezi kwa ujinga wako na upofu ukabeba shida...
4 Reactions
7 Replies
782 Views
Kwa mtizamo wangu najiona kama Nahitaji kuwa mume wa mtu 😎 Lakini nikiangalia upande wa misimamo ya kama Baba wa familia najiona sina .Ati nifanyaje ili nioe ?
4 Reactions
50 Replies
1K Views
Nakumbuka kuna mkaka alijisifia, maneno mengi kabla ya mechi, baada ya kumsusia mbususu dakika tano nyingi kamaliza, wakati anamwaga tui yule kaka alipiga yowe na kuanza kulia machozi kama yote...
10 Reactions
135 Replies
5K Views
Ngoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini, haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo 1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula. 2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda...
67 Reactions
505 Replies
35K Views
Nina miaka 33 Dini mkristo Elimu Degree Kazi muajiriwa Natafuta mke asizidi miaka 30 Sijabadili Id kama wengine ni maisha yangu ya nyuma tuu karibuni. Kigezo Awe tuu na hofu ya Mungu. Awe tayari...
5 Reactions
12 Replies
877 Views
Wanawake wana mambo ya kiduanzi sana. Hasa wa miaka hii kwenye ubongo hawana kitu yaani unakuta wana papuchi tu kichwani kumejaa makamasi. Leo nlikuwa na demu wangu sehemu tunapata Supu na...
14 Reactions
34 Replies
2K Views
Iko hivi, nikiwa huko safarini niliona msitu wangu wa amazon umekua mkubwa nikaamua kuunyoa. Nimerudi home wife kanuna anasema kuna mchepuko utakua umeninyoa.
8 Reactions
52 Replies
2K Views
Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa. Conditions: Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Wadau wa JF, poleni na majukumu ya Leo. Leo hebu tuweke mambo wazi, maana kuna baadhi ya wanawake ukiingia nao kwenye mahusiano, utatamani kurudi kwa ex wako wa chuo ambaye ulimuacha sababu tu...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Najiuliza ni mimi tu au ni kwa wote, maana nikienda eneo wanalojiuza utawakuta wamechangamka na kukukaribisha, ukimfikisha chumbani ghafla anakunja sura na kuanza kukupeleka mbio, "si uvue, sina...
10 Reactions
151 Replies
37K Views
Katika maisha yangu yote sijawahi kuwa na marafiki,na sipendi kabisa masuala ya marafiki,hata nikipata tatizo sina rafiki wa kumwambia mtu pekee ninayeweza kumwambia ni mama tu. Lakini pia si mtu...
26 Reactions
160 Replies
6K Views
Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri. Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje...
17 Reactions
296 Replies
34K Views
Aslaam, Niko na mke takribani miaka 10 Sasa ya ndoa yetu. Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha. Huaga natumia siku 5 za wiki kwenda mahala...
23 Reactions
202 Replies
7K Views
Back
Top Bottom