* He is too eager to know the exact amount his partner earns as salary.
* He pushes responsibilities to her even when they are things he can readily afford.
* He checks her phone, hand bag...
habarini za leo ndugu zangu! nina ndugu yangu hapa ameoa, lakini kabla ya kuoa huyo dada alikuwa na mahusiano na rafiki yangu m-dada mmoja hivi. Sasa anadai eti nimuunganishe tena na rafiki yangu...
Habari wana MMU.....!
Mwenzenu bana nlivyokuwa chuo nilikuwa na rafiki wa kike ambaye nilizaa nae palepale chuoni haikuwa adhma yangu ila ilitokea,
baada ya kugraduate mapenzi y a simu ikabidi...
Hii Inaudhi Sana Bwana:
Umetoka out na demu wako, mmepiga wine vizuri, nyama choma na kadhalika, later mkaamua kwenda kwako, mmefika stori za hapa na pale then mnaanza kucheza cheza, unaanza...
Mimi ni msichana, nimetokea kumpenda sana huyu kaka nikamwambia ya moyo wangu, nae akaniambia ananipenda pia ila aliogopa kuniambia maana tumefahamian mda mfupi. Wakati tunaelezana haya kila mmoja...
waswahili wanasema ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi lakini wanasayansi wamegundua uwepo
wa uhusiano mkubwa kati ya size ya korodani za baba na jinsi alivyo active katika
kukuza watoto...
Unakuta unakuwa wa kwanza kwenda kitandani unalala, na kama kawaida unaanza kupumua kwa spidi yako ya kawaida. Baada ya muda anajiunga mwenzako kitandani kulala. Hapo bila shaka naye ataanza...
Ni kauli ambayo si ngeni saana na leo nimeona niielezee kwa undani zaidi.mwanaume anaweza kuwa na tabia fulani mbaya au mwanamke hivyo hivyo but cha ajabu ni pale wanapo jidanganya kuwa wakioa au...
salam kwenu watu wa jamvi,
nienda kwenye mada moja kwa moja, najiuliza ni kwanini kunakuwaga na wivu mkali, visasi, uadui na chuki inapotokea kwamba kwamba kuna mtu ameingilia mahusiano yako...
nilikuwa na mpenzi tuliedum nae takriban mwaka mmoja na nusu tukashindana tabia. kikubwa ni kwamba nimekuwa nikimfuma live kitandani na wanawake tofaut,kila nikimfuma anaomba msamaha tena huku...
Siku ambayo wakristo wengi wanaithamini kwa kwenda makanisani kuabudu.
Cha ajabu siku hii imekuwa ya kutenda maovu kwa sisi akina dada wengi sababu ya uhuru tunaopewa majumbani mwetu.
Wengi...
Jose anaambiwe arith mke wa kaka yake baada ya kaka yake kutangulia mbele za haki na ugonjwa hatari wa UKIMWI baada ya kukataa jose anapewa radh na wazaz wake na anakuwa mwehu.je ww ungemshaur nn...
wadau siku hizi imekua kawaida sana kusikia binti kaozwa kwa m1,2,3,4 mpaka5 hata kama hana viwango vya hizo amounts.
ninacho jiuliza ni kua ughari huu wa mahari ni kutokana na umaskini wa...
leo nataka kujua kama baridi ni moja ya kichocheo cha kufanya mapenzi na kuzaliana kama inavyoelezwa mara kwa mara.
napata tabu sana kuamini kwa sababu hii,mikoa yenye watu wengi kwa sensa ya...
habari za humu
naamini wote wazima kabisa
nimeamua nije humu mnishauri kwani nipo njia panda
nina mume ambaye nimeishi nae miaka 7tuna mtoto mmoja wa kiume nina
mume wangu amekuwa akinicheat...
kwanza kabisa heshima kwenu,kuna kazi nimepewa ya kuweka hili ombi la rafiki yangu wa kike mmoja anaetaka mchumba..yeye kigezo chake ni uaminifu tu..tiririka pm ulipo na kama una cha kuniambia ili...
habari zenyu bana, nipende kuwaarika wadada wa kati ya age 20 to 29 wanao hitaji mume sifa elimu angalau form four, asiwe gori keeper awe na shughuli ya kumwigizia kipato cha wastani, dini mkristo...