Njoooniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Hii naripoti live kutoka mtaani kwetu ugombolwa!!!!!!!!
Mshikaji alimaliza madarasa kadhaa katika kusaka vyeti...
Me ni kijana wa 24,nimemaliza udsm,
Nimejiajiri nafanya biashara kati ya Tz na kenya,
Muislam kwa dini,
Makazi kwa sasa ni Arusha kutokana na biashara zangu ila ni mzaliwa wa dsm,
Natafuta...
Mimi ni mvulana nina miaka 26,
ninatafuta mchumba aliye serious na mapenzi ya ukweli,
Nina elimu ya chuo kikuu,
Nahitaji msichana umri kuanzia 18 hadi 25,
Mwenye elimu kuanzia kidato cha nne...
Kuna mdada wa miaka 18 Ambaye amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa hali ya kwamba sehemu hiyo imefunga.
Kwa...
jana si nikasema nianze mwaka mpya 2014 nikiwa nimepima HIV,nikamchukua na bibie, mzee mzima nilipima mara ya mwisho zama za ANGAZA wakati ule ikiwa bure,saa leo nimefika pale nikafanya taratibu...
Habari zenu wadau, mm ni kijana nina dada yangu....ni mama mtarajiwa, wame jadili na mume wake na kukubaliana juu ya jina la mtoto wao, wamekubaliana jina la mtoto litokane na majina yao ya...
Wakuu tujadili hili ipi huuma sana iwapo ukigundua Baba yako ametoka nje ya ndoa au Mama yako ametoka nje ya ndoa.?
Hii mada nimeileta hapa jamvini baada ya jana kupita Bar na kuona kuna...
Valentine died for love, Romeo also died for love, Jack in titanic died for love, Samson in the Bible died for love, Greek heroes Hercules & Archilles died 4 love ... & even Jesus Christ died for...
Habari za mchana wana MMU, nisiwachoshe nataka juwauliza tu dada zangu hivi mkiolewa kwanini hamtulii kwenye ndoa zenu? Kuna wadada wenye ndoa zao karibu 10 wote nimewatongoza wakskubali sema tu...
Habarini za mida hii wandugu.Mwanzoni mpnz wangu alikuwa ananijali,tunasaidiana ktk mambo mbalimbali,tunapeana ushauri,but inakuja kutokea kuwa mambo yamebadilika,mawasiliano yanapungua,hanipigii...
ushauri wangu kwa akina dada mliofika umri wa kuolewa!
akinadada mnatakiwa muwe makini sana mnapoingia kwenye mahusiano yanayolenga ndoa na sisi wanaume.
mnahitaji kuuliza umri wetu sisi wanaume...
Dunia tunayoishi ina mambo mengi ambayo hatuyajui japo wanadamu huwa tunajifanya wajuvi wa mambo mengi, Hasa kwa sie tunaotumia milango mi 5 ya fahamu yaani kuona, kusikia ,kunusa, kupapasa na...
katika maisha unaweza ukawa unakutana na wanawake wengi....lakini mwanamke wa kweli ni yule....
Ukiwa nae inshu ya pesa...na kazi unapata kwa wingi maisha yanakuwa yanaenda vizuli..na unakuwa...