UKIMPATA MPENZI KAMA HUYU UTAWAZA KUMSALITI KWELI BOY.
1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)
2. Unajiandaa kwenda kazini khaa, nguo...
Naomba ushauri, mimi ni kijana miaka 28 mke wangu umri huo pia, tumeanza kuishi pamoja 2012 baada ya kumpa Mimba.
sasa mwenzangu ni jeuri kiasi na ana wivu sana na sim zangu.
Shida kila...
jaman kuna mtu kanambia ananipenda sana nlimfkiria kwa mda mrefu nkagundua nami pia nampenda lkn nina waswas baadae hatanipenda tena anajitahidi kila siku kunijulia hali n kwa sasa kaacha...
uvaaji wa chupi au nguo yoyote inayo bana inasababisha haya kwa mtambo wa kutengenezea watoto (1) kupinda (2) kupungua ulefu ndo sababu hawapo wanao weka vipini (nzinga) kwasasa (3) kupungua...
Wakuu, weka uzoefu wako ikiwezekana na picha!
ULAYA
Nilikutana na mreno mmoja alinivutia sana, sio mmoja tu ila kadhaa. Niliishia kutazama tu maana kuwatokea mmmh, kwanza lugha, pili class...
Michirizi mwilini, Ndevu, mrefu kuliko mimi, makalio flat pamoja na kifua flat. Mimi hapana aisee lazima nile kona.
Kijana nini kitakufukuza na usigeuke nyuma mwanamke akiwa navyo?
Heshima kwenu wanajamvi,
Siku zote mwanaume anahitaji kuwa na kazi nzuri,nyumba nzuri,magari ya kifahari,biashara nzuri pamoja pesa za kutosha kwenye akaunti za benki.Vitu hivi humfanya...
Kila kitu kinaitaji uwelewa na usanifu {art n knowledge} hata kujenga mahusiano yenye afya bora unaitajika kuwa na uwelewa na sanaa ya mausihano,, kuanzia kuuelewa mwili wako, nambinu za kufanya...
Kwa dada yoyote atakuwa na sifa tajwa hapo chini na awe tayari kwa moyo wa dhati kuwa mpenzi,
mchumba na badae kuwa mke, basi PM.
SIFA ZAKE
1) Awe na umri wa...
Nianze kwa Kusema Habari wapendwa Marafiki wana Jf, Binafsi nawapongeza wajumbe wa humu tunajifunza mengi kupitia nyinyi amini usiamini. Huku kuna Great thikers kwelikweli:
Nataka tuongee...
1.Anajua mahitaji ya mwenzake.
2.Anajua namna ya kumfurahisha mwenzake.
3.Anayatawala mawazo yake mara zote ili kuilinda taasisi(ndoa).
4.Anajikubali alivyo(sio mnafiki) he/she is a genuine...
Katika pitapita zangu nimekutana na hili kuwa mwanamme shupavu mtoto wa kwanza uzae na mwanamke ambae hutamwoa. Nataka kujua jambo hili lina uhalali au ukweli gani?
Lakini kwa mwanamke akishakuwa...
Kauli hii nimeisikia kwa watu kadhaa waume kwa wake.je ni sahihi kwa mtu aliyeathirika na magonjwa yasababishwayo na ngono(STD's) zaidi UKIMWI kutoa kauli kama hiyo?
Unakuta mtu baada ya...
Mapenzi yamekuwa mada kuu kila kukicha,mara flani kachinjwa,mara mwingine kanywa sumu,mwingine kajirusha kutoka ghorofani.
Sasa jamani kwani lazima kuwa na mpenzi....Epuka hayo majanga...
Nimpe Bwana sifa na utukufu kwa kunipatia huyu mchumba, ananipenda na mimi nampenda panapo majaaliwa mwishoni mwa mwaka huu tutafunga ndoa.
Tatizo ni kwa x-girl friend wangu alikuwa na chachandu...