Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari Wakuu!!! Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo: Awe Muislam. (Awe ana jistiri kama dini inavyohitajika) Umri 20-40 Ajue mapishi Ajue kujiremba na ni msafi. Usiwe na tumbo kubwa. Kama ni...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
SIFA MBILI PEKEE NDIZO HUFANYA WANAUME WAWAITE WANAWAKE MALAYA, SIO ADHABU MUME KUMUITA MKEWE MALAYA HATA KAMA MKEWE HAFANYI UFUSKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya mambo àmbayo...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Hehehehee Mida ya saa kumi na mbili hivi kuelekea saa moja kamili si ndo ile ndege ikatua, jamaa kashuka zake baada ya kuwa break mwezi mzima. Aisee sio kwa ufuska nilioona jana, ngoja niishie...
8 Reactions
66 Replies
3K Views
Haya wanaume jibuni hili fumbo, kuna ukweli wowote katika hili? Kama ni kweli mbona wanaume wa Tanzania wanapenda sana Minyambizi? Yani Minyambizi ndio inaendesha range na wembamba Passo.
10 Reactions
128 Replies
4K Views
Mimi ni mmoja wa shuhuda wa tabia zetu wanawake ambavyo zimepoteza speed governor. Hasa sie tunaoitwa single mother. Lakini leo kuna jambo nimekutana nalo na nikatamani kutaka kujua hivi bado...
15 Reactions
122 Replies
7K Views
Jana nimekaa zangu home mara akaja binaadam na stori zake za town Binaadam: unajua money penny, naona wadada wengi wanalalamika kibamia kibamia kwa wanaume zao, ila shida ni moja hawajui kuwapima...
13 Reactions
73 Replies
4K Views
WAKUU, 1. Uwezi kunambia Kila mara Unanipenda (unalia Hadi chozi) na penzi hunipi, kisa eti Hatujafunga ndoa. Binafsi naona Unaniigizia tu. 2. Sioni mantiki ya kuninyima penzi na najua kabisa...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Niwe tu muwazi nahitaji mume Mkristo miaka kuanzia 45+ asiwe mume wa mtu, najua wengi wapo wapweke humu karibu tuyajenge. Awe tayari kupima HIV.... Awe na akili Timamu..... Awe anayejua...
19 Reactions
80 Replies
3K Views
Ndugu.. Nimetafakari sana ni nini kipo hapo katikati mpaka kina tufanya wanaume tunapoteza hela nyingi na wakati mwingine kupelekea mauaji au kupaka mafuta wanaume mwezetu pindi tunapowafumania...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Ndoa ni jambo lilioko kwenye jamii Kwa miaka mingi sana. Wataaalam wa mambo ya jamii husema kuwa ndoa ndiyo taasisi Kongwe zaidi duniani. Lakini kati ya jamii na jamii Kuna utofauti wa kimtizamo...
1 Reactions
6 Replies
518 Views
Habari ya mchana Kuna jamaa amenisaidia sana kwa ushauri uliobadilisha maisha yangu baada ya kutengana na mke wangu miaka kadhaa iliyopita na kupata weweseko kidogo. Nimeona nishee maelezo haya...
3 Reactions
19 Replies
890 Views
Eh, Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi, "Nimechoka kuitwa...
9 Reactions
148 Replies
5K Views
Haya haya sasa March ndio hii Swali kama mmeliona hapo Msaidieni mwenzenu Mpenzi wake ni mweupe, mwanaume Mbongo na mweupe sio mzungu Ila ana kibamia na hatoi hela Afanyaje?
6 Reactions
97 Replies
4K Views
Kuna watu ni wagumu saana kuelewa wanadai kwamba kisa changu nilicholeta ni cha uwongo mrejesho na ushilahidi huu hapa
4 Reactions
41 Replies
3K Views
My son, Before you send a woman money to buy a dress, make sure you have bought a nice suit for yourself.. Before you send a woman money to buy makeup, make sure you have bought that expensive...
7 Reactions
9 Replies
734 Views
Happy Eid. Uzi huu ni Real Experience na itakuwa vizuri watu wakifunguka ili na wengine tujifunze. KUKOSEA NJIA. KUna nyakati huwa zinatokea kwa wanaume kukosea Njia.. wengi wetu hujikosesha...
12 Reactions
143 Replies
7K Views
Wanawakale wa sasa sijui wamekumbwa na nini Yaani mwanaume anakutongoza then unaanza kutaka huduma alafu kuja kushtuka ana mimba kubwa tu baada ya kumshtukia anasema aliogopa kuniambia kuwa ni...
17 Reactions
112 Replies
3K Views
Habari Wana JF Nidhahiri ya kwamba ujio wa vitoto vya afumbili vimedidimiza soko la maafisa utamu, Leo nisiku ya kumii nimezunguka baadhi ya mikoa nanimepita maeneo wanapopatikana Hawa ma afisa...
5 Reactions
7 Replies
613 Views
Habari, Mara nyingi nimeshuhudia uzushi kwenye comment nyingi zikisema eti wanawake wapo wengi kushinda wanaume. Ukweli unaotokana na data za dunia ratio ya wanawake na wanaume ni 1:1 ila...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina...
24 Reactions
57 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…