Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusema 'mapenzi ni upofu,mapenzi ni kichaa'. Mdogo wangu kabisa huo ukichaa na upofu unamuhusu... Hatukuwahi tarajia wala fikiria katika ukoo wetu wa kikristu wa...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Naitaji mwanamke awe na Umri wa 35- 42 Nataka nimpe kazi ya kumlea mwanangu. Mtoto wangu ana Umri wa miaka 7. Ni wakike. Mshahara tutajadiliana mara Baada ya kuonana. Tuwasiliane NOTE: Hakikisha...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Hii ndiyo raha ya kuwa single, naamua ninachokitaka, narudi home muda ninaopenda na siulizwi na mtu. Nafanya ninachoweza siulizwi na mtu hata nisipokula home siulizwi nimekula wapi. Sasa wewe...
9 Reactions
144 Replies
16K Views
Kijana huyo na mke wake pamoja na mtoto wao wa miezi 9 walifika Dar es salaam kwa jili ya kutafuta maisha. Baada ya kufika Dar es salaam walikaa gesti kwa siku kadhaa, na baadae waliamua kutafuta...
4 Reactions
51 Replies
6K Views
Habari za time hii wanajamii, Kibarua changu kipo hatarini kuota mbawa, anayeniponza ni mke wa boss. Boss wangu ni mtu mzima kidogo umri umeenda lakini mke wake ni kabinti kadogo alafu bado...
8 Reactions
62 Replies
17K Views
Wadada wa siku hizi wako kama Korea Kasikazini(Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Korea) Pamoja na vikwazo vyote bado wakorea ni wabishi na wanaendelea kufanya majaribio yao ya makombora ya...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Huu utandawazi umeharibu sana vijana maana kiukweli asilimia nyingi yao wamekua wakipenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile unapata mpenzi mkiwa faragha anahangaika wewe Ili mradi tuu...
15 Reactions
51 Replies
7K Views
Au mnatafuta vidumu fungukeni tuwaelewe.
0 Reactions
217 Replies
19K Views
Fellow gentlemen, last month Nilifukuza bibi yangu on infidelity grounds, mwezi July nilipata bibi yangu akiwa na boxers mupya ziko in a special pack kwa bag yake, nilifikiria ya kwamba ni mm...
7 Reactions
95 Replies
10K Views
Wanajamvi natumai siku yenu imeisha salama salimini, Hivi inakuwaje mwanaume una mke, ila kucha kutwa uko bzy tu bado, jamani mnatafuta nini huko au kuna la ziada? Mwanaume anakula na sim mkononi...
8 Reactions
133 Replies
12K Views
Hapo ulipo unafikiria nini au unamfikiria nani? Unawaza kufanya nini? Ungependa kusikia nini moyo wako usuuzike, ufurahi! Mimi ningependa niwe sehemu nzuri na mtu ninayempenda, sehemu iliyotulia...
8 Reactions
145 Replies
17K Views
Yani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri. Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo...
17 Reactions
99 Replies
4K Views
Hello Wote tunajua kuwa wadada wanaojiuza barabarani, wanajiuza sababu ya umaskini na ugumu wa maisha. Ila nina swali, kuna idea niliisikia kutoka kwa baadhi ya wanawake, tena tofauti tofauti...
12 Reactions
108 Replies
7K Views
Mke wa Mjomba amekiri kwangu kuwa ananihitaji kimapenzi. Nimejaribu kukataa imeshindikana. Buriani anko
18 Reactions
81 Replies
4K Views
Kwa Wanaume wote; kuchapiwa ni Siri Yako! Kama kuna ushauri ambao sikushauri ukauombe kwa wanaume wenzako, ni huu wa kuchapiwa. Nakuhakikishia utaishia kuanikwa hadharani na zaidi utabezwa tu...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
Naomba niwie radhi kama nitakuwa nakukosea kwenye, wala sitaki kuficha toka nimejiunga humu kuna member anaita To yeye nahisi ananigusa mno. Nahisi kupata hisia ima ninapoliana jina lake ama...
19 Reactions
127 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF Nimekuwa nikileta story ya huyu mwanaume ni kama huu ni uzi wake wa 4 ama wa 3 nikihitaji ushaurii kuhusu mahusiano yetu mimi na yeye.. ninafikiri Leo Hii ndio itakuwa mara ya...
19 Reactions
299 Replies
10K Views
Kuna raha fulani wanawake hupenda kuona mwanaume akiwa na mishe mishe nyingi. Yaani, kaingilia mlango huu, katokea huku, kisha kafika nyumbani, kakaa lisaa limoja, na kuendelea na misele yake...
43 Reactions
108 Replies
5K Views
Jamani nina huzuni mwenzenu acheni tu na mvua hizi. Kama nilishawahi kukukosea humu kwanza nisamehe kuwa single parent jamani kila kitu kinakuzoom wewe sio mchezo. Unajitahidi wanao basi wasipate...
16 Reactions
144 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…