Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarin wana jf, mm n mvulana mwenye sifa hzo hapo chin, ninahtaj mchumba popote pale tz kwn upweke umenishnda bandugu; Umri: 28...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi hbr za wakati huu? Jamani ukweli nimekamilisha azma yangu sasa. Iko hivi nina rafiki yangu wa kushibana sana na ninashirikiana nae mambo mengi sana kumbe bila kujua jamaa alikua...
0 Reactions
136 Replies
12K Views
wana jf my sista yu ngonjwa ...dua zenu ...huu ugonjwa wa dengu ni hatari sana...mungu atunusuru aisee...toka asubuh mpka muda huu niko mwananyamala hosp...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari, Naitwa Erick ! naomba kama kuna mdada yoyote aliye tayari kuingia katika serious relation ani PM Maeleza yangu binafsi na Mengineyo tutaelezana Inbox kwa walio serious na kujitambua tu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mola ametuumba binadamu wote wazuri,ila kina dada mmejaaaliwa uzuri zaidi na kuruhusiwa kujipamba illi kuongeza uzuri,kwa mujibu wa maandiko ya vitabu vya mwenyezi mungu. Sasa dada zetu,nywele...
9 Reactions
129 Replies
14K Views
Nina miaka 26 - sina kazi wala biashara +nahitaji binti mwenye miaka 18 hadi 24 awe mkristo, awe mpole, awe mrefu, asiwe mweusi aliye tayari ani pm
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Monday, May 12, 2014 Semenya to wed girlfriend 0...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna mjadala miongoni mwa watu mitaani kuhusu mke, utasikia mke ni nani yako? Na majibu wengine husema ni rafiki, wengine husema ni ndugu. Wakati mwingine mke amechukuliwa kama asiye thamani maana...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana JF J/pili yangu imekuwa mbaya kwa kweli. Nina mpenzi wangu yapata mwaka sasa ila sikuwahi kumtambulisha kwa ndugu yangu yeyote. Mpenzi wangu ni Chagga girl, hivyo basi nikaona...
2 Reactions
144 Replies
13K Views
1. Ubongo wa mwanamke unaweza kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja; mfano kuzungumza kwenye simu na kufuatilia kipindi kwenye TV. Mwanaume hawezi. 2. Lugha: wanawake wanaweza kujifunza lugha...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari wana MMU, Kwanza napenda kuwapa pongezi members wa hili jukwaa ambao mmekuwa mkitoa mchango wa Mawazo katika mijadala mbali mbali ambayo imekuwa inaletwa mbele yenu! Kwa namna moja au...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
Kuna msichana mmoja nimefamiana nae kama siku kumi lakini jana kaniuliza swali moja, Je unanipenda nikamjibu ndiyo kwa kusita then kaniambia naomba univisheshe pete ya uchumba nilishuka sana...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Jaman huyu jamaa ni rafiki yangu wa karibu umri wak ni miaka 26. Alinishangaza aliponambia jana kua analala chumba kimoja na mama yake,nilikosa cha kumwambia kwasababu niliona ni maajabu. Jamani...
0 Reactions
61 Replies
16K Views
Habari wapendwa...! Hii ni kwa utafiti wangu tu nilioufanya mwenyewe na hata mimi huwa ni dawa kwangu. Nazungumzia usafi wa wote wawili hasa mwanamke wakati wa game, inapendeza sana kila...
0 Reactions
9 Replies
11K Views
1. Masaa ya kazi na masomo: kama sipokei simu yako subiri nitakuta missed call yako, kama its a particular issue leave a text pia. Haina haja ya kunipigia multiple times in the same minute...
8 Reactions
93 Replies
10K Views
Kuna sehemu nilikuwepo nilikuwa nawasikia wakina dada na kina mama wengi wanadai wanaume wengi hawaridhishi kitandani mkishapiga bao lenu moja mnalegea vibaya. Kitu kingine wanacholalamika...
1 Reactions
80 Replies
10K Views
Inafahamika kuwa michepuko sio dili baki njia kuu lakini ukigundua mchepuko nao unakuchepuka utafanyaje?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi ikitokea ukajenga mazoea na mwanaume halafu from the day you became friends huyo mwanaume akawa analike to chat with you everyday then kila usiku he wishes u G9t!!. Kwa akili za fastafasta...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ndugu zangu nina mpenzi ninampenda sana tatizo langu na yeye ni mambo yake siku hizi simuelewi kabisa kabadilika kuliko mwanzo naweza kuwa nae chumbani anapigiwa simu na wanaume wengine wanaanza...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Benteke Nikuambie kitu? au basi tu ntakupigia baadae. Nikamwambia sema tu, kwani kuna nini? Mtoto akafunguka kilichoko moyoni, "Benteke naomba uninunulie simu yenye Whatsup eeeh". Nikamuuliza...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…