Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tuseme upo kwenye Instagram zako unascroll tu kawaida, halafu ghafla unakutana na picha za pre-wedding au harusi ya mtu ambaye bado ni girlfriend/boyfriend wako—yaani hamkuachana rasmi, hamkujua...
2 Reactions
21 Replies
978 Views
Hii tafakari ni kali sana, na inachambua kwa undani hali ya mahusiano ya kisasa, hasa jinsi wanawake wa leo wanavyotambulika au kujitambulisha kwa misingi ya nguvu na kujitegemea, lakini pia...
1 Reactions
4 Replies
505 Views
Kwanza naomba kuuliza ivi watu wanaotafuta wenza humu mnawapata kweli? Leten mirejesho tujue maana mtu akipost kutafuta mwenza naona comment ni za kukatisha tamaa haswa ma single mama Kwan mtu...
1 Reactions
9 Replies
630 Views
Kama unavyo fahamika hswa viumbe hujigandisha kwa mtu yoyote ilimradi wastiriwe ili waolewe Sas mm kuna mmoja mmpare ameniganda balaa yaani hadi naona kero kwa jins anavyo niita mume, wangu, mume...
25 Reactions
129 Replies
5K Views
Nimeitoa mtandaoni ila inaweza kukusaidia............ Ni ndefu kiasi............... Kwa kiasi chake naweza kusema kuwa hakuna umuhimu wa ndoa katika karne hii Kwa sababu; 1. Thamani ya mwanamke...
14 Reactions
31 Replies
2K Views
Hapa Dar kila mtu yuko busy sana na maisha. Mwaka juzi mke wangu alipata changamoto ya kiafya kiasi simu yake hakuweza kuwasiliana. Nikalazimika kuchukua likizo ili kumuuguza. Lakini pamoja na...
22 Reactions
130 Replies
6K Views
Wanajamvi habari za muda huu. Wanaume wenzangu tuwe makini sana kuna aina mpya ya ujasusi unaendelea yan binti anakutambulisha hadi kwa mama yake kumbe wana lao jambo ili wakuaminishe na uchunwe...
23 Reactions
106 Replies
10K Views
Msije kusema sikuwaambia, Niliwahi kuwa msaidizi wa dereva wa lori moja hivi linalobeba nafaka kutoka Dodoma na Morogoro kuelekea Dsm, huyu dereva na wenzie walikuwa na kautaratibu ka kufika eneo...
46 Reactions
134 Replies
18K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu mada hii ni ngumu, na haitakuwa nzuri sana kwa sababu ya mazoea na desturi za jamii zetu nyingi ambazo kimsingi bado zipo gizani. Lakini hiyo haitazuia...
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari ya asubuhi, i am kinda sorry kuja na post Kama hi tena asubuhi ambayo i know most of you are busy working, but i have something really really important, its a weight i can no longer carry...
11 Reactions
71 Replies
3K Views
Mwaka huu nina mpango wa kuoa sasa Mwezi uliopita nilimtuma mshenga kwenda kuposa kwao Mchumba wangu, Sasa mshenga akanipa jibu posa imekubaliwa na kiasi cha mahali wakatajiwa ni Shilingi milioni...
12 Reactions
122 Replies
5K Views
Yes,hii kauli mbiu muhimu sana.Nasubiri maoni yenu
3 Reactions
3 Replies
419 Views
Habari zenu wadau. Kwenye moja na mbili,juzi kati nkaopoa demu moja mkali sana wa kisukuma.ila kwenye kuchati leo kaniambia ana tatizo la majini. Wazee nilikuwa nimepanga kuichapa leo night.ila...
14 Reactions
79 Replies
5K Views
Habari humu ndani natumaini mkoa poa kabisa ila kwa upande wangu siko sawa yaani Sina amani Sina Raha daaah ☹️! Ebana nisiwachoshe sana IPO hivi wiki 3 KABLA nilikuwa natoka kwa mteja kuset dish...
13 Reactions
71 Replies
3K Views
Hello members! Habari za Kazi na majukumu mengine!!!! Poleni na mihangaiko na misukosuko ya wiki nzima. Ni matumaini yangu mu wazima kabisa wapendwa. Okay, Kama una date na binti wa umri wa...
20 Reactions
53 Replies
4K Views
1,Hana kazi inayoeleweka ila anashindia baa,anavaa vizuri na anakula vizuri(Huyo ni jambazi au kibaka au tapeli) 2,Wakati wa sex anakuomba tigo(kimbia sana huyo si muoaji) 3,Wakati wa sex...
14 Reactions
165 Replies
20K Views
Yaani kwenye huu huu ulimwengu ambao social media zinawaharibu wazazi ,. Na wazazi nao wanawaharibu watoto lakini kuna ambao hawajashindwa kabisa suala la malezi,. Huwa nafatiliaga videos za...
22 Reactions
130 Replies
5K Views
nyimbo ya jux aliyeitoa kwa ajili harusi yake yashika namba mbili na wimbo mwingine namba tatu kwenye itunes nigeria,, nigeria ni nchi yenye idadi ya watu milioni 230, kwa nyimbo ya jux kutrend...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…