Habar wakuu hivi mke kutokuomba tendo la ndoa Wala kutengeneza mazigira yakuhitaji tendo la ndoa,yaan mpaka umuombe ila huwezi Kuta anamazigira ya kuhitaji au kuomba ukipiga kimya hitaona ishara...
Basi kwasababu siku na uwezo wa kutimiza hiyo milion 3
Nika pambana nikaipata milion Tatu Baada ya miaka miwili ya kusave fedha nikapata wazo niende Sasa kutoa mahari lakini wakati Niko njiani...
Siku ya wapendanao imekaribia, njooni tubadilishane uzoefu wa kuwapagawisha hawa vidume.
************************
Muhimu sana kuzingatia
Kama period yako ya mwisho (January) ulianza kati ya...
I Thought I Was Over My Ex Until THIS Happened (My Fiancé Had The Same Problem)
Two years into my engagement with John—the man of my dreams—I started having vivid nightmares about my ex, Mike...
Kuna muda ni kama analeta kunizoea, ila akishika simu akiangalia social media ninavyotongozwa, anajua kumbe yuko na " Dhahabu" Yenye thaman sana.
Unakua sometimes wapenzi wetu wanatuzoea af...
Kuna familia hapa jirani Mara nyingi ilikua Ikimhisi Sana father house wao kuwa alikua na nyumba ndogo huko mtaani.
na daima familia kiujumla ililalama kuwa mzee wao alifuja kipato chake kikubwa...
1. Daima mama mtoto atakuona fala.
Usidanganyike na ngozi ya kondoo aliyojivika kwa nje, ukweli ni kwamba kwenye akili yake anakutafsiri tofauti. Anakuona simp mmoja mjinga jinga. Hata hivyo...
Titanic ni moja ya movie duniani ambayo mpaka sasa iko kwenye rekodi ya movies zilizouza sana duniani hadi kufikia gross sales kwenye box market USD 1 billion.
Movies nyingi huwa zina starring...
Mimi nanunua ubuyu nakula,
Nanunua chips yai nakula
Ice cream nakula kwa kunyonya bila shida. Haviondoi uanaume.
Mambo ya sijui ndizi ule kwa kukatakata mana ukila kiurefu ni mambo yakike...
Kuna jamaa nilikua napiga nae story akaniambia, Kuna ndoto anaota inajirudia rudia, inamsumbua na haipendi.
Anaota parapanda inapigwa mwisho wa dunia umefika na yeye bado hajatubu makosa yake...
Hii dhana nimekuwa naiskia saana mitaani. Nimeishuhudia pia kwa rafiki zangu.
Leo hatungumzii mwanamke kumheshimu na kujinyenyekeza kwa mmewake. Ila tuongelee Sita kwa Sita.
Mkiwa Sita kwa Sita...
Yes huu ni ukweli mchungu ambao lazima Kila kijana wa kiume anayetaka kuingia kwenye ndoa aujue..........huyu ni mdogo wetu,ndugu yetu,jamaa yeti,alioa kwa mbwembwe mwanamke daktari,ndoa ina miezi...
Mmekuwa watu wa karibu kitambo sasa,labda mko ofisi moja,darasa moja,mtaa mmoja etc. Mnaelezana mambo mengi hata yanayohusu mahusiano yenu ya kimapenzi na watu wengine. Mkiudhiwa na wapenzi wenu...
Mzuka wana JF
Habari Nina mdogo wangu katembea na wanaume wawili kwa siku moja kwa mda tofauti tofaut alafu alikuwa kwenye siku zake za Atari anauliza akipata mimba mtoto anaweza kufanana na...
Habari Ndugu na jamaa, nashukuru Mungu, Muumba mbingu na Ardhi kwa Uhai huu.
Tunaishi katika Dunia yenye mambo mengi ya kufurahisha, kuhuzunisha na ndio Maisha!
Umri Kumbe umesonga! Kuna Kasi...
Wanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja...
Salamu kutoka Buza kwa Mama Kibonge, sio tena kwa Trump, nimesharudishwa nyumbani kibabe.
Basi bwana, nilipata mtoto mmoja wa kitasha sasa kwenye harakati ndio nikafunguka. Kifupi nilijua kwamba...
Wanawake tuliowengi kwa sasa tunaendeshwa na hisia tu badala ya uhalisia
Kwa sasa tunaamini na kuhisi kwamba iwapo mmeo hakupi pesa ya matumizi ya kutosha au akakwambia hana pesa kwa muda huo...
Women's ideal sense of romance is literally cheating.
Sexual fantasy kubwa ya wanawake ni kucheat, na hii nimejifunza the hard way.(Hiki kisa ntakuja kukisimulia siku nyingine)
Mwanzoni nilikuwa...