Wa kwanza ni The Main Guy – Yule ambaye anampenda na kuvutiwa naye. Huyo mara nyingi hajali sana kuhusu yeye.
Kisha kuna wa pili, The Backup Guy – Kawaida ni mwanaume mzuri anayemtaka. Ni mzuri...
Uwe mrefu flani hivi, shep ya ki model mwenye nyama, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo uwe mkoa wowote ila tutaishi dar, kama umebahatika kupata mtoto naomba isiwe zaidi ya mmoja, miaka...
Habari wapendwa
Naishi Vikindu Pwani
Umri 35
Nahitaji mwenza wa maisha
Awe na umri 25-35
Ambae yupo tayari kutafuta wote maisha tuwe na familia
Km yupo anicheki DM
While the idea of a nonchalant partner might initially seem appealing in certain ways, it's important to consider the potential benefits with a balanced perspective, especially in the context of a...
Hivi kwema humu jukwaani?
Kufuatia uzi aliouandika member mwenzetu LIKUD hapa majuzi, kuonesha namna ambavyo anapenda kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana wadogo wa miaka 18-25, mimi nami...
Listen up kings, let’s get this real and raw—life ya ndoa siyo sinema, na hakuna mtu atakuja kukufundisha kuishi na mwanamke wako. Hii ni game ya akili, moyo na nidhamu ya hali ya juu.
Ukiona...
Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain...
Ndio, umri wa mwanaume kuoa uanzie miaka 30.
Ndoa sio jambo dogo, ni uamuzi mkubwa sana.
Ndoa ni mkataba ule.
Iwekwe kwenye sheria kabisa kama mwanaume hujafika 30 marufuku kuishi na mtoto wa...
Nilimuambia kama ukiondoka na huyo mtoto basi jua kuwa sitamhudumia kwa chochote. Mwanzo nilikua naongea kama utani kwani niliamini kuwa mke wangu hawezi kuondoka. Ni kweli nilishamfanyia mambo...
Aisee kuna demu nilikua nae kwenye mahusiano niliwekeza kwake kumbe mwenzangu yeye lengo lake ni kunyeteshana tuu hana mpango mwingine amekiri mwenyewe kuwa ametoa mimba zangu 2 na ya pili...
Nimepata msichana mrembo na anaonekana ni msomi tu maana kanambia kamaliza chuo mwaka jana,
Sasa katika kuchat ili kufahamiana zaidi si nikamuuliza 'What your love Language? Mtoto si kanijibu...
Aliondoka nyumbani hapa na watoto na kila kitu chake tena kwa nyodo,akajiapiza hatokaa anitafute kwa lolote na number yangu ya simu anafuta.
Sasa leo ktk kuperuzi huko whatsapp nakutana na status...
Mabinti, Madada na Mishangazi... Sikilizeni Kidogo
Siku hizi mtu akikutambulisha kwa washikaji wake, usijidanganye kwamba kila mmoja atakushangilia. Hasa ukikosa kisura cha kuvutia, macho yao ni...
Nimekuwa inspired na Jesca Magufuli jinsi alivyoshare moments za baba yake enzi za uhai wake kwangu imenipa fundisho kuwa uwepo wa baba una maana kubwa kwenye ukuaji regardless financial status...
Inakuwaje mwanaume hutakiwi na mwanamke na bado unamlazimisha , Mwanamke akikupenda huitaji nguvu nyingi dalili utaziona, Hapa ofisini jamaa analazimisha penzi kashakataliwa mara nyingi bado...
Salamu wakuu!
Twende kwenye mada husika, Hii imetokea kweli, Kuna bi dada mmoja alikuwa anajipitia zake barabarani, ghafla ikapaki gari pembeni mwa barabara, na ndani ya gari alikuwepo...
Yaani napitia sana matatizo mengi ikiwemo afya yaani humu kwasababu hata hatujuani . Mtu anafungukaga tu. Ila haya matatizo sijui nayatatuaje nimechoka nimezunguka miji yote sipati tiba .
Yaani...
Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume.
Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja...