Wadada wa Leo wapo tayari kugawa uchi kwa yoyote kwa wakati wowote ila sio kugawa I phone kwa yoyote..
Wengi sana wanalika ili kududunduliza kununua I phone 15 hii ni aibu
Acheni, ni mbaya
Wanaume wezangu mwanamke akikusaliti achana nae hakuna kubembeleza hata kama mna watoto 10 mmeishi miaka 12 usisamehe daima utajutia baadae, usaliti ni sawa na mchawi akianza kula nyama tu haachi...
Kuna vipindi youtube sijui challenge kufahamu kama kuna mapenzi ya kweli.
Unaweza kujua ni utani au maigizo yani wasio kuwa kwenye ndoa walio kuwa kwenye ndoa ni kama wapo group moja la wasaliti...
Nimekopi meseji kama nilivyoipokea.
************
Dada shikamoo,
Miaka 4 iliyopita niliolewa na mwanaume wa Kitanzania anayeishi South Africa. Nimezaa naye mtoto mmoja na nina ujauzito wa mtoto...
Maisha hapa duniani kila sehemu kuna wazuri na wabaya, katika hali ya kawaida tunapokuwa na wake, wapenzi, na wachumba, huwa hatuwafugi wala kuwachunga kama mifugo, na pia katika maisha kuna kuwa...
Za jioni wandugu
Wanasema kisichokuua kinakufanya uwe ngangari
Mimi mwana JF mwenzenu leo hii nimeamua kujipa adhabu kali ambayo inanitisha na kunifurahisha kwa pamoja mpaka sielewi kabisa
In...
I will be short
ukitaka nuksi, tembea na mwanamke aliye toa mimba, yani amna kitu kitaenda, kama ni business kila siku mambo magumu, ukiajiliwa ndo kabisa, life utoboi
wanawake wengi walio toa...
Uchunguzi wangu wa muda mfupi unaonyesha kuwa huku mitaani kuna upungufu mkubwa wa wanawake wenye mimba. Hii maanake ni kwamba wanawake hawa hawaingiliwi na wanaume zao.
Nikajaribu kufanya...
Kila mtu na mnyonge wake!
Hakuna watu wa ajabu wanajikutaga kama wanajeshi, kujimwambafy kwingi mara wakiwa bar kujishaua kwingi na vipesa vyao vya kawaida sana.
wakipanga mtaani vurugu nyingi...
Katika mahusiano mengi ya watu wanaoishi kinyumba, mara nyingi mwanaume anaendelea kubaki na mwanamke hata kama moyoni alishamaliza safari—si kwa sababu ya mapenzi, bali kwa huruma. Unakuta kabisa...
Jana nilivyoandika uzi wangu wa kuwaaga, kuna mtu alisema atamiss vimbwanga vyangu, basi acha niwape cha mwisho cha kuwaagia kwa mwezi March - true story.
Nilivyoingia chuo mwaka wa kwanza...
Wanaume njooni, leo weekend yangu imeanza kuchangamka mapema 🍷🍾 acha nitoe dukuduku la moyoni.
Jirani yangu ambaye ndiyo tulikua tunafikiri ndoa yake iko imara hapa mtaani amegundua mume wake ana...
Watu wengi wanaingia kwenye mahusiano wakiwa na moyo mweupe, wanafikiria watawapenda wenzao kwa roho yote na matokeo yatakuwa happy ending kama zile fairy tales. But kwenye real life bro, vitu ni...
Mimi ni mbabaz wa miaka 39, sijaoa lakini naishi na mwanamke ambaye naweza kusema kuwa ni kama mke wangu kwani nilishamtolea mahari, tumeishi pamoja kwa miaka kumi bila ndoa, sikuona umuhimu wa...
Matumaini yangu mlio wengi humu ndani mlikua na weekend njema.
Ni miaka sita sasa tangu nimeoa na nimebarikiwa kua na watoto wawili. Kabla sijaoa nilikua nna marafiki wengi na bahati nzuri rafiki...
Mwanaume kushinda nyumbani umelala au kuangalia TV ni hatari kuliko maelezo. Uwe umeoa au hujaoa, haitakiwi kabisa ukae nyumbani mchana umeangaliana na mkeo, dada zako, shemeji yako, wazazi wako...
Yaani binti anapohojiwa na ripota wa online media asipotaja hili neno ni kama anawashwa washwa hivi. Hili neno linakifu mjue😮
Sasa leo nawuliza mabinti waliomo humu sababu inayowafanya walitumie...
Nyiee......tusichoshane kwa salamu bana kwanza huwa haisaidii kitu.
Ninakuandikia huu mkasa wa kweli kabisa ulionikuta mimi mwenyewe.
Mwaka wa kwanza tu tangu yule mwamba kutoka Chato amechukua...