Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

NAMTAKA SINGO MAZA 1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi Niliowapa amana, hata hawakuienzi Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa 2 Aloumizwa ja mimi...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Hi mimi ni dada, natafuta marafiki wa ku chat nao siishi TZ na kuna muda na tu unatamani tu kupata wa nyumbani kuongea nae na ku exchange mawazo na uzoefu. Any age, and gender karibuni. Sina...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari za majukumu wakuu? Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae...
6 Reactions
83 Replies
4K Views
Leo nimesikiliza podcast ya mtu maarufu aliyekua anasimulia alivyobambwa na mpenzi wake wakati wanakulana kwenye choo cha ndege. Yeye mwanaume alikua anatoa miguno wahudumu wakahisi labda ni...
9 Reactions
144 Replies
6K Views
Mimi: Mambo vipi Rose? Rose: Salama! naona leo umenikumbuka? Mimi: Yes, upo salama? Rose: Mhhh, baada ya muda wote huo kunikaushia leo upo na nyege zako ndo unanitafuta?, Now naendelea vyema na...
12 Reactions
189 Replies
13K Views
Tahadhari: Si hamasishi watu kuchepuka. Wakuu, ili kuwa na ndoa imara na itakayodumu! Jitengenezee backup yako ya kupiga mambo pale ambapo nyumbani kwako mambo hayaendi sawa. Hii mbinu inasaidia...
27 Reactions
103 Replies
5K Views
Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa.. Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha...
27 Reactions
169 Replies
8K Views
My Dear Human, I see that you are crying, for it is my moment to leave. Don't cry, please. I want to explain some things to you. You're sad because I left, but I'm glad I met you. How many dogs...
0 Reactions
3 Replies
836 Views
Irene, ... jina lako bado linatoa furaha moyoni mwangu, kama upepo wa bahari, kwenye majira ya joto, upepo ulionitunza kwa huruma. Sikiliza, leo hii napenda kukumbuka wewe kwa maneno haya, kwa...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna vitu/mambo yanaudhi kwa kweli, Iko hivi,kuna binti ni mzuri tu tumeingia nae ktk mahusiano miezi miwili iliyopita, Kabla ya mahusiano nilimweleza kuwa lengo la mahusiano yangu kwake...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakuu naombeni ushauri. Nipo njia panda mm kama kijana wa miaka 27 napata ukakasi juu ya mstakabari wa maisha yangu. Saa nyingine navutiwa na kutafuta mwanamke ila saa nyingine nikifikiri mambo...
5 Reactions
68 Replies
3K Views
Habari za wasaa huu wandugu, Nahisi siko vizuri kisaikolojia naombeni msaada nilitengwa kijamii. Sipati ushirikiano kutoka kwa ndugu, marafiki zangu na jamii yangu kwa ujumla. Hali hii...
4 Reactions
147 Replies
12K Views
Nasikia Masela Ligi Kuu yao mbele ya Mbunye huwa ni ile ya Bundesliga ( Ka:zi Kazi tupu ) na Wanaume wale Wakishua ( Mabrazameni ) Ligi Kuu yao mbele ya Mbunye huwa ni ya Primera la Ligi ( ya...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwanini katika jamii huonekana jambo baya mke akiuza nyumba ya familia baada ya mume wake kufariki dunia? Nyumba kuuzwa huwa inaleta utata sana kuliko mali nyingine. Kama mwanaume amefariki...
4 Reactions
7 Replies
715 Views
Wakuu mpaka sasa Najiona Nishakata TAMAA kabisa ya kuoa.kwa ninayoona kakazangu watatu walionitangulia wanavyofanyiwa ndani ya ndoa inanitia hasira Zaidi nikisikia neno ndoa. Kiufupi ndugu zangu...
14 Reactions
91 Replies
3K Views
Mwenzenu mwana JF, kidume cha mbegu. Ilikuwa ni juzi kati, pale Pendo aliponikaribia kwa tabasamu lake la kuvutia. Alinishika kwa upole na kuanza kunichezea kwa midomo yake laini kama pamba...
2 Reactions
3 Replies
744 Views
Jamani Mimi nina mchumba wangu ambaye tumeanzisha uchumba hivi karibuni. Dogo ni bikra na sikutaka nifanye naye mapenzi kama alivyohitaji. Kuna siku nilimwamby nahitaji kwenda mbali kwa...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu, Ningependa tujadili hili suala. Eti, kwa upande wa nyie wenzangu, zipi ni siri za nyinyi kuweza kudumu na wenza wenu{mke, mume, mchumba, gal&boyfriend, hawara etc} mpaka dakika hii?
6 Reactions
112 Replies
9K Views
Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa? Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda...
5 Reactions
111 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…