Wakuu inakuaje apo
Back to the topic,mida hii ya mchana Niko zangu ofisin,nimetulia baada ya ubize wa asubuh kupanga panga vitu .ikabidi nitulie sasa ..nikaingia zangu fb huko ,ghafla bin vuu...
Naomba nijielekeze kwenye mada husika.
Tukatae tukubali, Kuna wanawake wanasura ngumu sana. Humu JF na vijiweni tumezoea kusema wana sura za baba au wajomba zao.
Kundi hili la wanawake hawana...
Ndugu zangu wababa na wavulana wenzangu,
Nimekaa nikafikiri, nikasema ngoja niwape ukweli bila chenga – KUOA ni raha, ni utamu, ni burudani ya moyo na mwili, ila kwa wale walio tayari na...
Nimekuwa na huyu binti kwenye mahusiano takribani miezi sita siku zote amejionyesha kwangu ni mtu makini anayeheshimu misingi ya dini yake.
Mwezi mmoja nyuma nilitembelea maeneo anayoishi huyu...
Nimemfumania MKE wangu na mwanaume mwingine, nimemsamehe lakini hataki kurudi!
Mimi ni kijana wa miaka 40, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 15 sasa. Wakati nakutana na huyu mke wangu, wote tulikuwa...
Miongoni mwa sababu hufanya watu wengi kuteseka ni kutaka kumbadilisha tabia mtu mwengine .
Ukweli mchungu ni kwamba kuna watu ambao tangu kuzaliwa kwao mpaka uzeeni huwa wapo maalumu hapa duniani...
Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.
Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi...
Wazazi wakiafrika ni kama mmezubaa sana, mfumo wa uchumi ni zaidi ya kumsomesha mtoto na angojee ajira!.
Kuna jitihada fulani lazima zifanyike pia ndani ya familia kuhusu watoto wako na maswala...
Salamu wakuu!!
Naamini siku imekwenda vyema.
Nawakaribisha sana kwenye interview yetu ya leo, kwa siku kadhaa sijaja hewani, leo tunakuja na mada kama ilivyo hapo juu. Tutajadili kwa kina...
Nilimkuta hana kitu, tukafungua biashara ikafikia Milioni 100, akanifukuza!
**** Sasa Hivi Nina Biashara Yangu Ananiheshimu!
“Huna akili mjinga wewe mwanamke gani matako yako mgongoni, sijui...
Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu...
No reforms no election.
Wakuu kama mada inavojieleza, kuna mwanamke nimekua nikimfukuzia kwa mda kidogo sasa leo katika maongezi mara ghafla akaniambh nina sura ya upole. hii kauli niliipokea...
Hapa kwenye uzi tunapozungumzia mwanaume tunazungumzia makundi yote 3, walio kwenye ndoa, ambao bado hawajaoa na vijana wanaojitafuta.
Walio kwenye ndoa wengi wanakuwa na mpango wa kando yaani...
Wakuu,
Siasa hurudisha nyuma maendeleo, siasa hufisha,siasa hufarakanisha,kwa upande wangu sasa nimesalimu amri,stashabikia tena siasa,kwa sasa ni michezo ya simba na yanga,mbususu na udaku...
Habari zenu wanawake na warembo wa jamiiforums?
Swali kwenu
" Kwanini hampendi kuwa kwenye mahusiano na wanaume wafupi"?
Je, shida yao kuu ni nini? nipo kwenye utafiti fulani, naombeni maoni yenu.