Wakuu!
Unatoa pesa, unatoa muda, unatoa hisia lakini bado penzi linayumba. Sasa, ukishatoa pesa, linahitaji nini zaidi ili lidumu?
Je, ni mawasiliano? Ni uaminifu? Ni connection ya kiroho au...
Hadi leo hii kwenye jamii yetu bado kuna msukumo wa watu kuoa au kuolewa kwa kulazimishwa.
Mtu analazimishwa kumuoa/kuolewa na mtu fulani kwa sababu tu wanazozijua wao wazazi. Hili wadau...
Nimepita pita huko mtandaoni nikakutana na hii video ya mwanadada wema sepetu a.k.a Tanzanian sweetheart akilia mtandaoni na kumwaga chozi la maumivu linaloashiria anapitia hatua ngumu sana ya...
There are times when we go out, and when we pass by a woman with big hips, I see him turning his head to look at her, and this situation really irritates me.
Sometimes when I check his phone, I...
Hello Wanabodi mimi ni Kijana nipo tu nafanya ujasiriamali mdogomdogo kiasi sikosi hela ya kulipa Pango na Kula
Napenda kutafuta Mke awe Mwalimu wa Daraja lolote lile asizidi miaka 25, asiwe...
Shalom Shalom
Hali ndo hiyo wakuu nikiwa nakwea mnazi siwezi haraka haraka natumia muda mrefu hadi masaa 2-3 nikikwea chini ya hapo inabidi jioni nikwee tena lakini nikwee Kwa saa tatu naweza...
Kuna wanawake walikuwa na nguvu bwana.
Achana na akina Wema Sepetu.
Achana na akina Mobeto.
Yaani hawa walikuwa wanamuamrisha rais nini cha kufanya.
Unajua CIA walikuwa makini sana kwenye...
Ni wikendi uko kiwanja (zile bar zenye lodge) na mwenzi wako mnapata moja Moto,moja baridi.
Ghafla mnajikuta mnahitaji faragha kutokana na changamoto mbili tatu zilizowakumba haraka haraka kwa...
Nemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili...
Wakuu hapa nimevurugwa.. ni hivi wote tulikuwa hatufahamu yaani hatufahamiani..
Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu...
Jamaa yangu wa Dar aniniambia kwa sasa Dar kuna baridi sana kiasi kwamba kama huna water heater inabidi upange foleni ya kuchemsha maji na watoto.
Binafsi sidhani kama Dar es salaam kuna baridi ya...
Siku hizi wanawake hawakati viuno kabisa kitandani. Na hata wakikata viuno ni vigumu na havikatwi kwa ustadi kama zamani.
Ndio maana ndoa hazidumu. Mwanamke unatakiwa uchangamke kwenye tendo la...
Una sura personal, unanuka jasho, Mtu hana muonekano mzuri, hata kuvaa vizuri hajui, hana hela na hana kipaji ila anamsaliti mke wake, hivi kibaka kama huyo angekua hata na kimoja cha hapo juu...
Habar ndugu zangu mimi n kijana mwenye umr wa miaka 29 , mrefu cm 179 mweusi kidogo ni mtumishi wa umma nahtji msichana mkristo, awe na umr kuanzia 20-25, nichek pm
80% 90% ya wanandoa wengi wamejikuta wako ndani ya ndoa na watu ambao si sahihi kwao.
Watu wote ni sahihi, wanawake wote ni wife materials, wanaume wote ni husband materials lakini si wote...
Naam kama heading inavyosema kwakweli kwasasa nimeanza kujichukia hasa upande wa mahusiano ya kimapenzi. Nianze nyuma kidogo ili uelewe kwanini yamenifanya kua katili na pengine inaweza ikawa...
Igweeeee....
#No sperm, no child support!!!
Masingo maza muanze kufanya kazi,dezodezo inakaribia mwisho.
Ni mwendo wa kimasihara mpaka mkome.Huku chanjo ya HIV huku Njia ya uzazi wa mpango.Ni...
Siku ipo nitatoa somo la ndoa ila ipo hivyo, mke wako na mme wako ni mwili mmoja wewe ni yeye damu moja ndio maana mnatumia mwili kupata watoto.
Ikitokea mama anaumwa na mke wako kwa wakati mmoja...
Hellow
Ni kitu gani kilikufanya au kili mfanya x wako akutafute iwe kwa namba ngeni au namba yake shida ilikuwa nini?
Mimi nilimtafuta kwasababu ilikuwa mwezi wa Saba kama hivi baridi kalii af...