Habari za leo wana JF,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 40, akiwa hana ama ana mtoto ni sawa. Mimi ni...
Salamu!
At your own risk!!
Wala sio mbali mwezi wa 12 mwaka jana nilipata ka safari ka kijijini huko wilayani Hai. Kama utani tu kameseji ka wasapu kakaingia, "mambo?" nikaona namba mpya...
Jamani naomba kueleweshwa nini maana ya unyanyasaji wa kimapenzi,nimekua nikisikia nchi za wenzetu hasa huko kwa Trump kuna watu wanakesi za unyanyasaji wa kimapenzi,.Je nahapa kwetu kuna kesi...
Nini kinachotokea siku ya kwanza wanandoa wanapokuwa honey moon?
Hili swali kila nikilifikiria nakosa jibu kabisa naomba mwenye anaejua aje hapa anitoe tongo tongo.
Wapenda picha...
Hivi watu wawili mwanaume na mwanamke wanapooana na kila mtu kuendelea kubaki na imani yake,ikiwa watabarikiwa watoto ktk ndoa hiyo,watoto yapaswa wafuate dini ya mwanaume au mwanamke!
Au wawe...
Inasemekana kwamba 99.9% ya Wanaume wenye Pesa / Hela / Fedha ndiyo wanaoongoza kwa kutokujua kufanya Mapenzi ( hasa kuwafikisha Kileleni Wanawake ) na ni Wavivu.mno ' Mapenzi ' na pia kwamba...
Habari wandugu street kwny point nina umri wa miaka 24 hakika ni mda teule kwa upande wangu kuwa na mwenza
Ila changamoto nilizonazo kuwa mabinti wengi wa huku mtaani nakuoishi wengi wanapomaliza...
Jamani mnisaidie mimi wanajamvi, mwanzoni niliona kama sio shida ila jana nimeshtuka sasa. Naona nikiwagegeda wasichana baada ya kumaliza mchezo tu wanaanza kulalamika kuwa tumbo linawauma.
Hili...
Huo ndio ukweli wenyewe kama unabisha we bisha.
Kile kitu ambacho unakosa kwa Mwenza wako ndio kile kitu ambacho mchepuko wake anapewa, na kile kitu ambacho unapewa na mchepuko wako ndio kitu...
Hello vipi hali ndugu,
Leo tushare ni dharau gani ushafanyiwa na mpenzi wako ambayo hautaisahau, nikianza na mimi kipindi hicho ndo naingia katika mapenzi msichana wangu kabisa aliromance na...
Najiuliza tu nahisi asilimia kubwa ya wanandoa isiyo waaminifu ndani ya ndoa zao,
Mara nyingine wanawake ukuta Condom katika mifuko ya suruali za waume zao,
Kitu ambacho kimekuwa kama ishara ya...
Habar zenu wakuu
Daah kiukwel mwenzenu nimejaa kila aina ya mawazo , huzuni na simanzi tele moyoni hapa nilipo nipo hoi bin taabani imejichokea akili pamoja na mwil
Jamani kilichonitokea kila...
Mara nyingi sana wanaume tumekuwa tukiruka mkojo na kukanyaga nnya katika mahusiano. Wanaume mara nyingi sana huwaponda wanawake wanaojiuza katika madanguro, massage parlour, barber shop, baa nk...
HIVI ulishawahi kupigwa mzinga na mpenzi wako kwa kipindi cha magufuli ambao unadhani hauwezi kuusahau..........
Mimi jamani kuna demu kanipiga mzinga anahitaji MILLIONI MOJA sijui amenionaje...
Sijawahi kutembea ( Kubanduana ) na Wanawake ' Walalahoi / Masikini ' na nikakutana na usumbufu wa aina yoyote ya ' Biological Noise Pollution ' kutoka sehemu zao za Siri ( Mbunyeni ) ila karibia...
Baby Wycliffe,
Am coming where you are, you'll kidnap me for all the time till November.
For JF, this is wave till November... I'll be gone till November, Kasie will be out and be back in...
Mara nyingi sana tunashuhudia wenza wakiishi kwa amani raha mustarehe bila ya bugudhi wala ugomvi wa aina yeyote na baadhi yao hugombana kiasi kidogo tu unaweza kaa miaka kadha bila kujua hawa...
Niende moja kwa moja kwenye mada hivi waungwana kwanini tunaumia sana wapenzi wetu wakicheat wakati tunajua huyo mpenzi wako hukumkuta bikra, kama hukumkuta bikra ina maana kuna mtu nyuma yako...
Moja kati ya vitu ambavyo hutakiwi kwa binadamu kamili vikuendeshe basi ni mahusiano(ya kimapenzi) inapotekea umeachana na mtu usiruhusu iwe ndo sababu kuu ya kukufanya ukose furaha..yaweke hayo...