Kwanini Wanawake wengi wasio na Kipato wanajua ' Kujiswafi ' sehemu zao za Siri kuliko wale Wanawake wenye Vipato Vikubwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,875
Sijawahi kutembea ( Kubanduana ) na Wanawake ' Walalahoi / Masikini ' na nikakutana na usumbufu wa aina yoyote ya ' Biological Noise Pollution ' kutoka sehemu zao za Siri ( Mbunyeni ) ila karibia 99% ya Wanawake ' Wakishua / Matajiri ' ambao nimebahatika kutembea ( Kungonoka ) nao Pua yangu imekuwa ikipata matatizo makubwa sana ya ' Upumuaji ' hasa pale tunapokuwa katika ' Biological Field of Play '.

Je hali hii inatokana na nini au nini kinapelekea hasa hii tofauti?

Cc: Wanawake wote wa Upanga, Oysterbay, Masaki, Mikocheni, Kijitonyama, Makumbusho, Msasani, Mbezi Beach, Ada Estate na Tegeta Masaiti.

Shikamooni sana!

Nawasilisha.
 
Wanajifanya 'wasafi' sana hivyo huosha sana uke na kuua bacteria wanaolinda uke.

Bacteria wakifa uke unapata maradhi kama fangasi...kupelekea harufu

Wewe ni wa ' Ushuwani ' au wa ' Uswazinyo ' Mkuu? Tuanzie hapa Kwanza!
 
Sio kweli...wanawake wengi hawajui namna ya kuosha uke...

Wanafikiri kuingiza kidole...na kuosha kwa sabuni ndio sahihi...ila SIO...

Uke unaoshwa juu juu...maana wenyewe hujiosha...

Shikamoo Mkuu! Naona huku ' umetukuka ' kabisa.
 
Sio kweli...wanawake wengi hawajui namna ya kuosha uke...

Wanafikiri kuingiza kidole...na kuosha kwa sabuni ndio sahihi...ila SIO...

Uke unaoshwa juu juu...maana wenyewe hujiosha...
Unapojiingiza kidole huwezi pata ham ya tango kweli
 
Wanajifanya 'wasafi' sana hivyo huosha sana uke na kuua bacteria wanaolinda uke.

Bacteria wakifa uke unapata maradhi kama fangasi...kupelekea harufu
umeongea vyema sana.
niongezee kidogo na vitu vingine huwa wanapaka kama marashi au masabuni tofauti wanayotumia wakati wa kuoga huwa wanajisahau wanasuuza kikojoleo na kutoa uhalisia.
mie nilwahi kutana na mdada uchi unanuka oriframe tupu kha
 
Back
Top Bottom