Kiukweli mwanamke huwezi kumchunga bali yeye akiamua kujichunga mwenyewe na kukuheshimu Ilikuwa mwaka 2006 pale demu wangu tuliyependana sana aliponieleza kuwa amepata mwanaume wa kumuoa kipindi...
Nadhani kuwa na mwanamke asiye na ajira ni bora zaidi maana kuna tofauti ya kimaumbile na kimajukumu kati ya mwanamke na mwanaume.
Majukumu ya mwanaume ni tofaut na ya mwanamke, jukumu la...
Hellow members
Nmekua nikiwaza sana ni kweli Mapenzi au kupenda ni hisia ambazo hazichoshi ila kwa nini zinaniumiza??kila muda namuwaza yeye tu hata nashindwa kufanya mambo mengine nikipiga cm...
Marafiki salamu kwenu nyote..
Binafsi napenda sana wanawake weusi hawa waafrika wenzangu na hata kwenye suala la kuona kwa imani naamin nitaoa Muafrika mwenzangu pia
Tuje upande wa pili kwa...
Napanga kuanza tabia ya kila Weekend ambapo huwa napenda kuwa na Wapenzi wangu mmoja Jumamosi na mwingine Jumapili basi badala yake sasa niwe nawaita wote kwa pamoja nakuwa nao kuanzia Jumamosi...
Wadau nawasilisha Kwa uzoefu wa niliyoyaona
Kuoa mwanamke mchoyo/mchafu inaweza kuathiri mapenzi hata mahusiano yenu /intimacy
Pata umepokea wageni,mkeo anaandaa chakula ambacho dhahiri...
Kuna msemo uliosemwa na mwanazuoni mmoja, nanukuu; 'Kupa ni kumpa akupaye, kumpa asiyekupa ni kutupa.'Hivi miezi saba ya nyuma, kuna dada mmoja nilimzimia kinoma nilikua nikifanya nae kazi...
Swali langu hili kwa wadada na wakaka pia mnaweza kutoa mawazo yenu juu ya hili
Mdada unaweza kukubali kuingia kwenye uhusiano na mwanaume asiye na kazi?
Je, ni vitu gani vingine...
Hili suala lililoonekana kwa Amber Ruty sio geni
Ndo hali halisi ya mabinti wa kileo hapa Tz,mabinti kuanzia miaka 15+ wanaliwa sana nyuma
Binti unakutana nae au kabla hujakutana nae anakwambia...
Unakuta mwanamke ana miaka arobaini Na tano kwenda juu Na watoto kadhaa eti anaachika anaenda kupanga au kuishi kwa ndugu zake.
Hebu tulieni huko mtakuja kufa bure.
Ushachakazwa unarudi tena...
Igwèeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Hivi kweli nyie watu wa kunidharau mimi na kuniita nimefulia sina jipya na story nilibahatisha? Kweliiii! Hahahaaaaaa! Eti kwenye fani ya...
Leo wakati napitia mitandao kupata habari za asubuhi,nimekutana na mtu anaeleza kuwa kufikiri maisha kumemfanya apige mshindo!
Hii imenikumbusha story yangu nikiwa kidato cha 4!Nikiwa kwenye...
Wachache watakubaliana na mimi kuhusu hili swala unajua kuwa na mpenzi ni gharama kuliko ata ile ya kula na kusepa,
Kuna kumgharamikia mavazi, chakula,mpaka malazi kwa wengine ila ukiwa unakula...
Napanga kuanza tabia ya kila Weekend ambapo huwa napenda kuwa na Wapenzi wangu mmoja Jumamosi na mwingine Jumapili basi badala yake sasa niwe nawaita wote kwa pamoja nakuwa nao kuanzia Jumamosi...
Napanga kuanza tabia ya kila Weekend ambapo huwa napenda kuwa na Wapenzi wangu mmoja Jumamosi na mwingine Jumapili basi badala yake sasa niwe nawaita wote kwa pamoja nakuwa nao kuanzia Jumamosi...
Habari za jumapili wanachama wa CCWT (Chama Cha Wachepukaji Tanzania)!
Wale wa siti za mbele mkae kwenye mabenchi mafupi ili wanyuma waone na kusikiliza vizuri!.
Wale wa back bench mjitahidi...
Good morning everybody!
Nyie madem sometimes lawama mnatafuta wenyewe, ona hii:-
Juzi niliwakuta madem wawili nikawapa lift na katika wale wawili mmoja alikaa seat ya mbele na mmoja nyuma. Frankly...