Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu kwema humu... . Kila mtu lazima atakua matarajio yake kwenye maisha hususani swala la kuwa na ffamilia..swali langu je unaweza kuoa mwanamke ambaye anamtoto.? Binafsi siwezi kabisa
2 Reactions
13 Replies
621 Views
Tumsifu yesu kristo./ asalama leko wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake. Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua...
8 Reactions
170 Replies
7K Views
Huyu msichana umri wake ni miaka 24. Kamaliza Chuo ( Diploma) mwaka Jana Sema kwa sababu kwa aina ya diploma aliyo kuwa anachukua ( Procurement) ilikuwa ngumu kupata kazi so alikuwa nyumbani tu...
39 Reactions
193 Replies
11K Views
Kuna single mother mmoja nimemwelewa.nikasema ngoja nipendane naye sababu ana roho nzuri n.k. Ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto ananyonya vidole na anadeka sana. Mimi kwa kweli sipendi mtoto...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa. Wanaume wengi tunapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Majina yangu ni Johannes Ignatius Rwebangira, mzaliwa wa kijiji cha Bisheke, Kata ya Mubunda, Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Baba na Mama yangu wote wakiwa wazawa wa kijiji hiki pia, hivyo hapa...
54 Reactions
175 Replies
22K Views
Wadada, jifunzeni kulegeza macho ili kuboresha mahusiano yenu. Hapa nawaza, nitapata hela wapi nimpate mrembo mmoja wa huko Canada, baada ya kunilegezea macho. Haloo, nitajenga mwakani, kwa sasa...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakuu mko salama Polepole mmemskiliza....... Nipo ninaishi na mwanamke wangu sasa ni miaka minne alikuwa ni mfanya kazi wa kazi za ndani hapa dsm kisha boss wake akahamia south africa naye...
20 Reactions
114 Replies
6K Views
Wachagga wa asili ya machame wameamua kupanda madhabauni kumlilia mungu wao na kukemea wale wote wanaowafananisha na wapalestina. https://youtu.be/5IeJt2A6-Gc?si=xfpvD_Hp2To-DNDg
1 Reactions
10 Replies
477 Views
Lengo kuu la ndoa ni kuwa na familia ila kama unaweza kupata watoto bila kuoa basi ndoa haina maana. Now nina watoto wawili na sijaoa, nioe ya nini? Lengo la ndoa ni watoto na ninao why nijipe...
2 Reactions
10 Replies
641 Views
Naomba tujadili hili suala kwa hoja bila kuweka mihemko wala siasa. Asante
12 Reactions
145 Replies
11K Views
Binti wa zamani Mamndenyi Bi zandile shibela Midekoo Evelyn Salt shoga wenu amelia kisa rafikiye katuma picha akiwa na baba yake
4 Reactions
9 Replies
578 Views
Maisha yanaenda Kasi, Kila MTU Kila siku anatafuta namna ya kuishi. WACHINA Kila siku wanakuja na Gunduzi za Kila aina , Gunduzi zao zinawekwa mitandaon , zipo Gunduzi zinazowekwa mitandaoni lakn...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Dah kuna mda mathematics inaweza ikawa rahisi kuliko kutongoza Nakumbuka miaka ya nyuma kipindi nikiwa olevel kuna binti alikuwa anauza duka la vyakula vya mifugo jirani na nyumbani kwetu...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Wanaumeee! Kuweni waagalifu na mifuko yenu! Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja! Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni...
23 Reactions
168 Replies
5K Views
"Sikutaki", "Nina mtu wangu", "Sina hisia nawe", "Hatuwezi kuwa pamoja", "You are not my type"..... na majibu mengine kama hayo ulikuwa ukiyatoa wakati wote mkiwa under 30yrs tena mara nyingi...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Watoto wa nje ya ndoa au wa michepuko, hawana tija katika maendeleo yako hasa pale utakapowahitaji; wao wakishakuwa wakubwa na kufanikiwa hujikita kwa mama zao. Wakiwa wadogo wao na mama zao...
3 Reactions
10 Replies
640 Views
Tukitoa changamoto zingine zinawaandama vijana wa kiume ila hili la kuwa dhaifu (simp) kwa wapenzi wao ni changamoto inayozidi kuwa kubwa. Vijana wengi wamepoteza mwelekeo na kujikuta kwenye...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
📖 Mathayo 5:27–28 "Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini. Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtamaniye mwanamke kwa kumtazama, amekwisha kuzini naye moyoni mwake." Swali langu, kwani wanawake wao...
1 Reactions
37 Replies
1K Views
  • Redirect
4 Reactions
– Replies
– Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…