Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja husababishwa na tamaa. Ndio sababu wasichana wengi wadogo wana simu za bei kubwa ukilinganisha na watoto wa kiume hata kuliko sisi wazazi. Wakiume pia wapo kwani wapo...
1. Atakutega kupata attention yako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda au lah! Mf wa mambo hayo ni kujifanya anaumwa na kuangalia respond yako kwake ni kiasi gani unamjali na...
Waschana, wadada, wamama na wabibi wataoweza.... mwanamke nyonga eehh
Kigagula mie ukinitoboa kidoleni itatoka damu na sauti ya mziki, napenda mziki kuliko maelezo. Wengi humu wanasema mie sio...
Nina mke, lakini pia nilikuwa na mchepuko/Mpango wa kando.
Mchepuko akawa anahitaji kununua gari. Tukaingia mtandaoni na kuagiza gari kwa kadiri ya pesa yake.
Gari likafika, na inatakiwa...
Tarehe 12th January miaka kadhaa sasa imepita.. Tulikuwa chumbani.. Ulikuwa umejilaza kwenye kifua changu, mikono yako umeipitisha kwenye shingo yangu... Ukiniimbia wimbo wa Craig David uitwao...
Ninaongea na wewe Dada/Binti ambaye unahitaji mume mwema wa maisha yako,tambuwa wakati umefika sasa huu ni wakati wa wewe kupokea mume wako,ni wakati wa kusheherekea harusi yako,ni kweli umeomba...
Habari wakuu.
Somo muhimu sana.
Hapa nitajikita kwenye mapenzi ya wachumba wanaohitaji kufunga ndoa na wale waliomo ndoani.
Usiiishi kizembe katika ulimwengu huu. Lazima uwe mtu mjanja mwenye...
Kuna wimbo unaitwa mtalimbo.
Baadhi ya lyrics zake ni kwamba
"Umelala huo umelala huo umelala huo mtalimbo umelala doro ×2
Kuna kipengere kinaimbwa hivi" ulipewa umechemsha umelala doro"
Hivi...
Kina Dada
Tunapenda sana kuwapa furaha kwenye mahusiano, ila tunapowapa furaha tu mnaanza kunenepa sasa tunataka mbaki na miili yenu iliyo Sexy, ndio maana tunawapa Stress.
CHAMA CHA WA WANAUME TZ.
Kama kisemavyo kichwa,kuna mtoto nimempa dozi nzito sana hadi anataka nigande kwake.
Ilianzia last year kipindi tulikutana kwenye canteen hapa chuoni,nilimsalimia alijibu kama hataki halafu...
Kuna hii tabia ya wapendanao kutesana kihisia pindi mmoja anapogundua kwamba anapendwa sana na mpenzi wake.
Mara kwa mara mmoja akigundua kwamba anapendwa sana basi ikitokea wamekosana kidogo tu...
Habari za weekend wana jf.Hope ni wazima lakini natanguliza maombi yangu kwa aliye mkuu awasimamie katika uchaguzi huu ili maisha yaendelee.
Ni true story kabisa.Kama unavyojuwa hakuna kitu...
huwa natamani sana maisha falani ya kuishi na familia lakini sijapata mwanamke alietuli na anaejua samani ya mwanaume kila ninaempata huwa hajatulia kutwa humufumania na wanaume hunitoloka kwenda...
Ni mwanamke ambae naweza kuishi na familia yangu, najipenda na kujiheshimu,mapenzi yangu makubwa ni kwa mwanaume anae jiheshimu na kujitambua yeye kama mwanaume
Kama una sifa sahii za kuitwa...
Chumvi haitakufaa kwa chai asubuhi, ila itakufaa kwa mboga mchana
Usivunje uhusiano na mtu sababu tu umegundua kuwa sio rafiki.
Kwenye maisha hatuhitaji marafiki tu. Tunahitaji watu wote.
Kila...
Kwa wale waliopo Dodoma nahitaji marafiki kwa ajili ya kubadilishana mawazo kutembeleana siku za weekend
Mm ni msichana umri miaka 25
Ni pm kwa mawasiliano zaidi.
Sent using Jamii Forums...
Wana JF wenzanga ktk vitu vinavyonihuzunisha na kinistaajabisha ni suala la mzaz kukuamulia au kukuchagulia mke (kwa mm mwanaume)... Isitoshe hata sababu zenyewe anazokupa sasa,!!.... Wakat...
Ni msemo uliopata umaarufu miaka michache iliyopita sijui tena kama unatumiwa ila ni kitu halisi amabacho kinafanyika.
Nimpe pongezi aliebuni hilo wazo kwani kwa mtu mwenye kudadisi mambo atakua...