Ati mwanaume anakwambia honey sasa ivi mimi najitafuta kwa mda wa miaka mitatu naomba unisubirie! Hapo tayari ana kazi ambayo inamueka mjini alaf anakwambia bado anajitafuta umsubirie!
You don't...
Daaah wakuu sina amani kabisa hapa kwa hili jambo nalopitia naombeni ushauri na msaada wenu
Ipo hivi kila niwapo na mwanamke yaani mambo yananiendea kombo wakati tu wa maandalizi (fore play)...
Nina jambo zito ambalo limenifanya niwe na wasiwasi mwingi, na nataka kupata mawazo ya watu wengine ili nijue ni vipi niendelee.
Hivi karibuni, nilikuwa nikichunguza simu ya mke wangu na kugundua...
Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali —dada yangu jitunze, jali afya ya chombo chako, miiko ya...
Valentine hiyoo inakuja usikose maua na chocolate mwambie nakupenda ili muende VALENTINE.
Usikae mwenyewe kama mshumaa umejifungia, huu uzi kwa ajili yenu.
Fungukeni mukasherekee kwa pamoja.
Mimi niwe mkweli tu hakuna ndugu upande wa baba amenikosea lakini hatuna mazoea. Sehemu pekee tunayoweza kujuliana hali ni kwenye misiba tu.
Nipo karibu zaidi na upande wa mama. hawa wajomba...
Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos nchini Nigeria, imemhukumu Mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 sawa na zaidi ya Shilingi laki 730,000 za Kitanzania baada ya...
Vijana wengi kwenye familia wameshaakanywa mwanamke wa kabila flani acha hawana tabia nzuri lakini awajasema endapo ukimpata ishi nae hivi swali endapo mtu kadondokea sasa huko unaweza...
Habari,
Hii ni kauli nimeipata kwa mwanamke zaidi ya mmoja wakisema kuna wanaume wanaweza kupiga kimoja cha maana wakatosheka kuliko zaidi ya vitatu tunavyovitolea jasho. Je ni kweli?
Mambo 5 mwanaume hutakiwi kukosea demu akija geto
1. Akifika asikae kwenye kochi
Mpeleke moja kwa moja kitandani akae hapo 😁
2. Acha kuwa na story mingi mwenzio anawahi nyumbani 😁
3. Hakikisha...
Nazungmzia tukio hili ambalo hadi sasa bado tunasikilizia mrejesho wa kamanda wa jeshi la polisi huko morogoro atupe kisa kizima cha mchumba wa binti huyu kufanyiwa mashambulizi kadhaa ya kimwili...
No reforms, no election.
Moja kwa moja kwenye mada, hivi nyie wanaume huwa mna shida gani?
Wakati wa mizagamuano hamtaki kabisa kutumia muda kutuandaa, mnara ukisoma 5G nyie mnataka kuzama tu...
1: Utawakuta wengi wao wanapenda shughuli shughuli na katika shughuli zao lazima wawashirikishe mchicha mwiba kutia shamsham na kuwapa sapoti mapapai ili na wao wajione watu wa maana
2: Utawakuta...
Unajua kipindi cha nyuma kabisa nilipokuwa bado nipo school kuna day dada mmoja alinikaribisha geto kwake tukajisomee, sasa katika kujisomea nilijikuta nimejisahau mpaka usiku ukaingia nikashindwa...
Kwenye Baraza la mawaziri la serikali ya MamaSamia2025 , basi hamna waziri aliyepiga kazi moja kwa moja kutatua kero za jamii kama alivyofanya waziri Dkt. Gwajima D .
Kuna wakati tulikuwa...
Jana niko zangu home nimetulia, nje namsikia jirani yangu ambaye anafanya kazi na mke wangu.(walimu) Alikuwa akimuita mke wangu aende amfuate alipo na jibu la wife lilikuwa njoo wewe, jirani akawa...
Habiba umeniponza
Do not be deceived, bad company corrupts good behavior. 1 Corinthians 15:33
October 6th, 2012 Siku ya Jumamosi
Ilikuwa Jumamosi
Kabla sijahamia Kigamboni ninapoishi...