Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanaume hatuna masihara nanyi Wachunaji na tutawarogeni sana tu hadi mkome na mnyooke.
1 Reactions
6 Replies
360 Views
Nimekuja kumalizia likizo yangu jiji la upendo na ukarimu kwa wageni hapa. Please wapi naweza pata kampani ya sex tofauti namaanisha pisi kali tule maisha sina kipengele just for enjoyment. Wenye...
1 Reactions
4 Replies
389 Views
Leo Tena. Tukiwa bado na maombelezo ya vijana wenzetu nimeona si mbaya tupate vinywaji baridi kidogo. Dada yangu sisi wanaume tunapokuwa na jambo letu huwa tunasaidiana kwa hali na mali na kwa...
6 Reactions
30 Replies
964 Views
1. Unaelewa kuwa inawezekana kutokubaliana bila kukosa heshima au kuinua sauti. 2. Unaheshimu ahadi zako kwa kuwa mwenye kutunza muda, jambo linalokupa sifa ya kuaminika. 3. Unaacha kuwahukumu...
10 Reactions
7 Replies
757 Views
Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu, sijui walizinguana nini, saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu (yaani mpenzi wake) na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu...
49 Reactions
140 Replies
7K Views
A 19-year-old woman recently gave birth to twins, but the shocking twist is that each baby has a different biological father — a rare medical phenomenon known as heteropaternal superfecundation...
1 Reactions
9 Replies
478 Views
Habari wadau... Baada ya ahadi ya miaka mingi moyoni mwangu ya kwenda kutembea na kuijua tanga isemwayo kwa mengi. Sasa imewadia na nahitaji kutimiza nlichokiahidi moyoni mwangu. Nataka sasa...
1 Reactions
3 Replies
287 Views
Hivi mimba zote ndio zilivyo hivi mtu ana lia bila sababu una bembeleza mpaka una pata hasira una amua kwenda mbali ukirudi tu ana weza kukuuliza swali wewe uka mjibu vizuri Lakini aka angua...
10 Reactions
80 Replies
1K Views
Salaaam mabibi na mabwana salam marafiki zangu Tupo na shughuli zetu za kujenga taifa letu kama kawaida Mdada mmoja wa rika lapata miaka 33 anatoa simulizi kwamba ana jirani yake amepatwa na...
1 Reactions
70 Replies
6K Views
Wajomba jana hapa Mwanza Bar ya Bundesliga Nyasaka nilikutana na rafiki yangu wa muda mrefu sana, katika kupiga 1 moto 1 baridi akaanza kuniambia ABCD tangu alipooa.....!! Huyu rafiki yangu...
2 Reactions
53 Replies
3K Views
Sidhani kama mimi ni mzembe ila pengine nimekuwa mwema sana kwenye dunia iliyojaa hayawani. Iko hivi, miaka mitano iliyopita nilimtongoza binti mmoja aliyekuwa anavutia kwa macho ya wengi hasa...
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Mwanamke hawezi kuonyesha upole, huruma, kujali, kunyenyekea, uvumilivu kwa mwanaume endapo mwanaume atakuwa siyo MUADILIFU. Hivi sasa kuna ongezeko la wanawake ambao wamejiandaa kupambana na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu 9D HIYOOO, TANGANYIKA TULIYOPEWA NA MUNGU WA MBINGUNI HIYOOO. Kuna mdada alikuwa anapta eneo ninalofanyia biashara zangu anauza bisi kwny ndoo, nlimwambia nina vifaa vyote vya mradi wa...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Dada yenu,mdogo wenu na last born wenu wa Jamii Forums wa kizazi Cha 2000 ninakuja mbele yenu nikiwa hai hapa Tengeru Arusha,ninamshukuru Mungu kwakuwa siku ya maandamano niliamua tu kulala ndani...
35 Reactions
69 Replies
3K Views
Kila la Kheri wale ambao mna tatizo la kushika Mimba (Ujauzito) kwani naamini kwa Waarabu hawa Watatu mtaweza.
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la wandoa wapya ama Wapenzi waliokuwa wakiishi pamoja Kwa muda mrefu kuingia Kwenye migogoro na hatimaye Ndoa zao kuvunjika ama wakati mwingine...
51 Reactions
283 Replies
10K Views
Ni rafiki wa kushibana kwetu kama kwao na kwao kama kwetu, urafiki wetu ni zaidi ya undugu maana tunasaidiana kuliko hata hao ndugu zetu wanavyo tusaidia Urafiki wetu ulianza na kukua kwa kasi...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Wakuu, iko hivi: Wife alikuwa na ratiba ya kwenda saloon, kitu ambacho alilazimisha sana. Sikupenda kumzuia, kwa hiyo nikamuelekeza kuwa atachukua ten kwenye hesabu ya mauzo dukani, lakini...
32 Reactions
115 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…