Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Watu wengi wakiachwa na watu wanaowapenda sana huwa wanaumia sana haswa vijana lakini kitu ninachotaka kukisema hapa ni kwamba. Ikitokea mtu unayempenda sana akakuacha pointi ya kwanza kabla ya...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi karibuni nikiwa mkoa mmoja kaskazini mwa nchi yetu, nilihudhuria sherehe ya harusi, ambayo pamoja na kushangaa na waliojitambulisha ni wenyeji wa mkoa wa kaskazini na siyo mwambao, sherehe...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF ninahitaji Msaada kwenu ninashindwa nianzie wapi lakini nataka kujitoa kwenye mahusiano ambayo penzi lake limefikia Kokomo kwani mpenzi wangu nimpendaye 1. Ameshapoteza...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
mwanamke anamuacha mtu mwenye six parts anaenda kuolewa na mtu tajiri mwenye six cars.akishaolewa anakuja kuchepuka na yule mwenye six parts Mwanaume anamuacha slay queen anaoa binti wife...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Baada ya pepo mmbaya kukatiza katika mahusiano mengi mwezi wa 9 na wa 10 hapo natumai wahanga wanaendelea vizuri ila ningependa tukumbushane mambo muhimu kidogo. Wazee SI Units za mapenzi...
51 Reactions
175 Replies
14K Views
Hello, I am a lady of 25 yrs old, nimeajiriwa In a private sector. Mrefu, mwembamba & maji ya kunde. Ni mkristo (Anglican). Natafuta mwanaume ambae atakuwa rafiki then mchumba na Mungu akijaalia...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Unfortunately has been deleted
3 Reactions
83 Replies
8K Views
Habari Kama mnavyojua wasichana tunakuaga na marafiki wengi kipindi cha shule na sehemu nyingine mbali mbali. Kipindi niko o-level nlikua na marafiki ambao close kama wawili hivi sasa baada ya...
5 Reactions
48 Replies
6K Views
Tena wale ambao ni new wedds in town. Huyu jamaa yetu anafanya kazi taasisi flan hivi ya serikal..mishahara yetu tunaijua chief...sasa jamaa kabla hajaoa alikuwa anaendesha gari flani, kaoa now...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari ya muda huu wanaJF. Nakumbuka last week nilileta uzi kwenu kuhusu jamaa yangu mwenye VVU na mpango wake wa kutembea na bibi harusi mtarajiwa. Nashukuru wana JF mlinipa ushauri wa kipi...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Nataka kuoa sasa japo bado sijapata wa kumuoa nimeamua nije kwenu wakurungenz ili mnipe mawili matatu iv nijue mbivu na mbichi kabla sijaanza kusak a mchumba Ninajua...
4 Reactions
107 Replies
10K Views
Wanajukwaa salama salmini? Nani swali hapa, hivi ukiingia saa kumi na moja asubuhi Lodge unatakiwa utoke saa ngapi?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna mwanamke sema kweli nampenda maana hana mizinga na papuchi najilia tani yangu ila sasa kwa vile hana kazi yeyote inayomuweka busy kila time baby unafanya nini,mara baby upo na nani, mara baby...
23 Reactions
146 Replies
15K Views
Sidhani kama nilikosea au la. Lakini leo nimeangukia katika majuto makubwa sana. Wakati mwingine nalia peke yangu faragha. HABARI ZA MUDA HUU Ndugu zangu wapendwa. Baada ya salamu, naomba...
19 Reactions
95 Replies
11K Views
Sikuwahi kufikiria kama nitakuja kuoa kabla sijajenga Nyumba yangu. Maisha yana mengi enzi hizo bado brazameni kwenye geto langu kuna kitanda na subwoofer tu nikajikuta bonge la Playboy nikawa...
9 Reactions
79 Replies
9K Views
Mimi nilikuwa na manzi nimemuokota uko duniani sema alikkuwa na uzuri wake sura ya upole mtulivu anaongea maneno mazuri bhasi kijana nikajua hapa nimelamba joka nikampa mtoto bia nyingi sanaa...
12 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari zenu waungwana Hivi unapomtongoza mwanamke halafu akakuambia kwamba anaogopa kuingia nawe kwenye mahusiano kwasababu utampa stress anakuwa na maana gani? Karibuni tupeane uzoefu
1 Reactions
28 Replies
3K Views
NJIA 1 Kama unamwaga chini ya dk 1 yaani unachomeka, sekunde kadha unamwaga manii inabidi ukamuone daktari. Usione aibu maana ni aibu sana unatongoza mwanamke kisha anakuja kwako au mnaenda guest...
9 Reactions
103 Replies
129K Views
Kila mtu anapenda ku-have fun. Na moja ya njia ya kuhave fun ni kutoka, kwenda out na kufurahia mandhari mbalimbali. Kama sote tunavyojua kila kitu kinagharama, hivo hivyo kwenye kumtoa mtu out...
4 Reactions
299 Replies
30K Views
Dar es Salaam is at the same a paradise and e hell, kudadadeki kufa hakuna breki. Maisha ni kuwa na chapaaa na demu umpendaye, achana na tutoto tunatoongelea pisi kali mfukoni ana buku Saba Mia...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…