Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...... Kazi iendelee. Leo nahitaji ku-share matukio mhimu katika maisha yangu hasa yaliyo tokea tarehe 26/4 (April26) kwa vipindi...
11 Reactions
66 Replies
5K Views
Habar ndugu za nguni naombeni ushauri, nipo na single mother kwenye mahusiano Mwaka mmoja, nashangaa ghafla nimeanza kumpenda Sana na siwez kuacha kumpigia sim na kutumia sms, kipindi cha nyuma...
6 Reactions
65 Replies
5K Views
Wadogo zangu, marahaba... Naomba niongee na wakubwa zangu. Kwanza ningependa kutanguliza shukuran zangu za dhati kwa Mwenyezi MUNGU, hakika wewe ni muweza wa yote. [emoji120][emoji120] Kama...
16 Reactions
39 Replies
2K Views
Ndio ivo uzi wangu asilimia 90% unajieleza kupitia kichwa Cha habari. Ilikuwa mwaka juzi tumeenda kwenye harusi ya kaka wa rafiki yangu kule Meru. Nianze kwa kusema Meru ni pazuri Sanaa kwa...
13 Reactions
58 Replies
6K Views
SEHEMU YA KWANZA Declaration of Interest Andiko hili lina msingi wa kiimani (Ukristo) lakini pia lugha zilizotumika ni kiingereza na kiswahili ili kuwasilisha ujumbe uliokusudiwa. Binadamu...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Tokea nilkiwa Shuleni Boarding nilikuwa na wapenzi kadhaa, mara nyingi tulikuwa tunajipanga na kuingia kijijini,pale kijijini kulikuwa na getto la washkaji basi tunaingia tunapiga gemu hadi...
15 Reactions
187 Replies
29K Views
Unatongozwa unakubali unatoa ahadi vizuri, siku ya kwenda kutoa mzigo ndio unaanza kupiga mizinga, hii ni tabia gani? Kwa nini usiseme mapema kama unauza papuchi mtu akakukatia chako alafu...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwanzo niliamua kisa hiki kibakie kuwa siri maishani wangu, lakini kwa sababu jamaa amegoma kunisamehe hadi leo, ngoja tu niwashirikishe. Jumatatu ya Juni 22,2015. Niliamka sijisii poa, nikaamua...
23 Reactions
151 Replies
14K Views
Wakuu amani iwe kwenu! Kama kila wakati tutajiweka busy na issues za corona na siasa hizi zisizo na maarifa basi tunaweza kujikuta tunajipunguzia siku za kuishi kutokana na sonona. Hivyo basi...
5 Reactions
14 Replies
7K Views
Wakuu! Nilichokigundua na kisichojulikana sana ni uzuri wa hawa warembo wakiyahudi aisee, sio maarufu sana lakini inawezekana kundi hili likawa katika nafasi ya juu sana duniani kwa mvuto. Na...
13 Reactions
250 Replies
74K Views
Ukiona picha yake unaweza ukasonya kwa kusema mbona ni mwanamke wa kawaida tu? Yes ni kweli sameera ( Samira) alikuwa Dada wa kawaida tu kimuonekano...But honestly she was a very very nice...
21 Reactions
119 Replies
11K Views
Habari wana Jf naimani mko powa . Haya mambo hayajawahi nitokea ila huwa nayaona sana yanatokea katika maisha ya kila siku hasa kwa upande wa wanawake. Leo nilikuwa nimekaa mahali ghafla akapita...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Mwaveja sana! Asee mimi nilikuwa sijapata fika Kigoma maisha yangu nimedate watanga wengi tuu ila hawa balaa, kimaisha ujiji pamefanana na Bagamoyo wanaume ni wavivu hucheza bao na kahawa muda...
10 Reactions
48 Replies
23K Views
Kwa wale waliooa na hata wanaofanya mazoezi ya ndoa kumekuwa na malalamiko ya wanawake kadhaa ambao nmeweza kuongea nao kuhusiana na suala la matumizi ya mate. Kwa namna ambavyo nlisoma katika...
27 Reactions
189 Replies
57K Views
Raha sna sijui hta nianzie wapi kuelezea. Kla kitu tunachokifanya nakiona km kipya km tuko peponi. Mapenzi ni ktu kizuri sna halafu ukimpata yule mnapendana ndo inakuwa raha zaidi hii dunia...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Nina mpenzi wangu tunaenda vzr kabisa lakini shida ni kwamba simu yake nikimpigia jioni na usiku naambiwa ni hakikishe namba ya mteja ninayopiga hii inatokana na network au ameniblock. Wenye...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
If you having hard time in your relationship and you think it’s not going to be fruitful, then quit! Relationship should be fun, romantic and supportive but when it’s becoming outrageous, the best...
1 Reactions
3 Replies
683 Views
Kwenye mapenzi kuna mambo mengi kuna watu walishawahi kupenda na hadi wakafikia hatua ya kuwapa password za mitandao ya kijamii wapenzi wao na wengine walienda mbali zaidi na kuwakabidhi wapenzi...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Mimi Umri wangu:27 Kazi: mtumishi wa selikari Mwili:mref wastan, Ngozi:maji ya kunde Naomba mwanamke mwenye uhitaji aje pm Sifa 1.mcha Mungu 2. Umri miaka 22- 25 3. Sibagui dini wala kabila
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mara nyingi huwa tunasikia raha ya mapenzi inawafanya watu wanachizi na kufanya mambo ambayo watu wengine wanabaki wakishangaa. Mara huyu kahonga gari, mara huyu haelewani na familia kisa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…