Sikutegemea kama ningeishia kuchapwa kama mtoto mdogo

Gepard

JF-Expert Member
Feb 8, 2021
291
385
Ndio ivo uzi wangu asilimia 90% unajieleza kupitia kichwa Cha habari. Ilikuwa mwaka juzi tumeenda kwenye harusi ya kaka wa rafiki yangu kule Meru. Nianze kwa kusema Meru ni pazuri Sanaa kwa mazingira yake Migomba na miti pia ukijani uliotawala ulionifanya nifurahie kwa mda wa siku 5 nilizo kuwa huko, Changanya na pic kali kupindukia duuh😍

Ni ndani huko Kijiji cha Mzeituni, haitapita dakika haujasikia sauti za ndege za kuvutia Kama hondo hondo(hornbill) au hadada ibis. Nkipakumbuka natamani nikazikwe pale.

Bila kusahau historia mubashara ya kukua kwa kile kijiji, historia ya wajeruman waliofika mwaka 1896 na makanisa ya zamani. BACK TO THREAD ✍️haya sasa siku ya tukio.

Baada ya harusi nlipata namba ya binti mkali wa kimeru kule binti kwa kabila lao anaitwa (Samburaa) chap nlimwimbisha akanielewa kiasi ila akasema hanijui vizur so nimpe mda. Bila kuwaza kuwa nipo ugenini nkamuomba meeting kesho yake kwa haraka na kukurupuka Bila kupewa ABC za kule😃

Kumbe alikuwa ana mshikaji na jamaa yake alichukua simu yake usiku nikawa namueleza hisia zangu. Kesho mda ulivyo wadia nipo location daaah 😄 hata dakika tatu hazikuwa zimeisha nmechakaa fimbo kila kona najaribu kujiokoa wapii. Wakaondoka ikabidi nimpigie jamaa angu simu chap akaja kunichukua kesho yake tiketi ya basi kurud jijini.

1619432317599.png

 
Hata hivo nilikuhurumia sababu hukujua hata kujitetea weweeee usije tena huku
 
Wameru na mawe...hukupigwa jabali?
Utasikia " kaba jabali nduuu"
Hahaaaaa 😅😅 hawakunipiga. Ila ni wakatili mzee mbaya kama n kuosheana hata wao kwa wao dk zero ngumi na mawe zimerushwa
 
Ndio ivo uzi wangu asilimia 90% unajieleza kupitia kichwa Cha habari. Ilikuwa mwaka juzi tumeenda kwenye harusi ya kaka wa rafiki yangu kule Meru. Nianze kwa kusema Meru ni pazuri Sanaa kwa mazingira yake Migomba na miti pia ukijani uliotawala ulionifanya nifurahie kwa mda wa siku 5 nilizo kuwa huko,Changanya na pic kali kupindukia duuh😍. Ni ndani huko Kijiji cha mzeituni, haitapita dakika haujasikia sauti za ndege za kuvutia Kama hondo hondo(hornbill) au hadada ibis. Nkipakumbuka natamani nikazikwe pale. Bila kusahau historia mubashara ya kukua kwa kile kijiji, historia ya wajeruman waliofika mwaka 1896 na makanisa ya zamani. BACK TO THREAD ✍️haya sasa siku ya tukio. Baada ya harusi nlipata namba ya binti mkali wa kimeru kule binti kwa kabila lao anaitwa (Samburaa) chap nlimwimbisha akanielewa kiasi ila akasema hanijui vizur so nimpe mda. bila kuwaza kuwa npo ugenini nkamuomba meeting kesho yake kwa haraka na kukurupuka Bila kupewa ABC za kule😃. kumbe alikuwa ana mshikaji na jamaa yake alichukua simu yake usiku nikawa namueleza hisia zangu. Kesho mda ulivyo wadia nipo location daaah 😄 hata dakika tatu hazikuwa zimeisha nmechakaa fimbo kila kona najaribu kujiokoa wapii. Wakaondoka ikabidi nimpigie jamaa angu simu chap akaja kunichukua kesho yake tiketi ya basi kurud jijini.
Sasa aliekuchapa ni hiyo samburaa ya kimeru au ni mwenye mbusus yake?
 
Ndio ivo uzi wangu asilimia 90% unajieleza kupitia kichwa Cha habari. Ilikuwa mwaka juzi tumeenda kwenye harusi ya kaka wa rafiki yangu kule Meru. Nianze kwa kusema Meru ni pazuri Sanaa kwa mazingira yake Migomba na miti pia ukijani uliotawala ulionifanya nifurahie kwa mda wa siku 5 nilizo kuwa huko,Changanya na pic kali kupindukia duuh. Ni ndani huko Kijiji cha mzeituni, haitapita dakika haujasikia sauti za ndege za kuvutia Kama hondo hondo(hornbill) au hadada ibis. Nkipakumbuka natamani nikazikwe pale. Bila kusahau historia mubashara ya kukua kwa kile kijiji, historia ya wajeruman waliofika mwaka 1896 na makanisa ya zamani. BACK TO THREAD haya sasa siku ya tukio. Baada ya harusi nlipata namba ya binti mkali wa kimeru kule binti kwa kabila lao anaitwa (Samburaa) chap nlimwimbisha akanielewa kiasi ila akasema hanijui vizur so nimpe mda. bila kuwaza kuwa npo ugenini nkamuomba meeting kesho yake kwa haraka na kukurupuka Bila kupewa ABC za kule. kumbe alikuwa ana mshikaji na jamaa yake alichukua simu yake usiku nikawa namueleza hisia zangu. Kesho mda ulivyo wadia nipo location daaah hata dakika tatu hazikuwa zimeisha nmechakaa fimbo kila kona najaribu kujiokoa wapii. Wakaondoka ikabidi nimpigie jamaa angu simu chap akaja kunichukua kesho yake tiketi ya basi kurud jijini.
Mkuu pole ila iyo yote n kutaka pa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom