Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yaani mimi nimekuja kusalimia ukweni baada ya nyie shemeji zangu kunichinjia Mbuzi au Ng'ombe ndiyo kwanza mnanikaribisha na ugali wa dona na Nsasa hii ni kweli jamani mbona yule shemeji yenu...
2 Reactions
10 Replies
247 Views
Mababu zetu hawakuwa wajinga kuoa wanawake wengi, bali walikusudia kupata ladha tofauti tofauti za utamu wa k. Utafiti uliofanywa hivi karibuni na taasisi ya Mahusiano na Unyumba unaonesha kuwa k...
4 Reactions
18 Replies
908 Views
JamiiForums Mahusiano, mapenzi, urafiki Nilivyonusurika kuuawa na aliyekuwa mke wangu kutoka kanda ya ziwa Thread startermkunga wa jadi Start date42 minutes ago Tagsaliyekuwa kanda kanda ya...
2 Reactions
7 Replies
408 Views
Mwaka jana nilienda mkoa fulani kumsalimia ndugu yangu, vilevile nilitaka nikapumzike nitulize na akili kidogo. Nilikutana na mwanaume kwenye huo mkoa akaonyesha nia ya kutaka kuanzisha...
14 Reactions
78 Replies
1K Views
Ukiona ndugu zako wanaku treat vibaya ukiwa huna pesa basi ujue hio ndio tabia yao ya kweli, pesa zinawafanya wawe wanafki tu. Siku ikitokea umefariki na umeacha watoto basi ndugu zako watawa...
22 Reactions
40 Replies
785 Views
Kuna ushamba fulani hivi wanaume huwa wanaufanya ambapo kimsingi si uungwana na ustarabu hata siku Moja. Jamaa mmoja tulisoma wote chuo kikuu Sasa juzijuzi kapata ajira katika mji ambapo Mimi...
6 Reactions
9 Replies
478 Views
Imeshakutokea ukawa na mpenzi ambaye wakati unakutana naye ulifikiri ni mpole na atakua hana mambo mengi kitandani, lakini mlivyokutana kwenye mechi akafanya jambo la kukushangaza mpaka hukuamini...
14 Reactions
229 Replies
3K Views
Visababu vyake vinaongezeka ghafla Kila mara yuko “bize,” “amelala,” au “hajisikii vizuri.” Anapotea hasa katika nyakati ambazo unamhitaji akusikilize au akupe umakini wake… Halafu anakupa...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Alikuwa hanipi tendo mpaka nimlipe 400k wakati ni mke Wangu" Manara.. Hii si Mara ya Kwanza Manara kudai kulipia tendo la ndoa kwa mkewe hata kwa yule aliepita alidai hivyo
16 Reactions
198 Replies
8K Views
Uzi huu ni wa kupeana mwongozo,umemwandalia zawadi gani umpendae siku ya valentine feb,14? Kwa upande wangu nitamzawadia ua la upendo na nitatoka nae out kwa ajili ya kuinjoy!
4 Reactions
18 Replies
375 Views
Siku mbili tangu ziibuke taharuki na malumbano katika Mtaa wa Mabibo Wilayani Ubungo Jijini Dar es salaam baada ya nyumba zaidi ya nne na fremu zaidi ya tano kuvunjwa licha ya Mahakama kutoa zuio...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Mwanamke kitambi kikubwa mnakera kuwatizama ila hamjui tu. Hakuna mwanaume anaependa mkewe awe na kitambi utazani ujauzito kumbe kitambi , kama ndo hivi vitambi vyenu wacha tuchepuke tu. Shape...
14 Reactions
136 Replies
2K Views
Katiku Mkuu wa vyama vya wafanyakazi Kenya - Cetral Organization of Trade Unions Kenya (COTUK)
4 Reactions
8 Replies
442 Views
Hey Wajaaaaa!!! Kuna huyu mwanamke anahitaji ushauri wa maana na ulio bora, pasipo kuathiri chochote. Ila kwenye Ndoa kuna heka heka jamanii, huwa nasemaga Njia ya muongo ni fupii, na ukweli...
7 Reactions
141 Replies
2K Views
Unaweza kudhani nazungumzia kile unachokiwaza mawazoni mwako... Picha iliyojengeka ya kitu kilichopinduka...! Most likely gari.. Likiwa kichwa chini mijuu guu.! [emoji144] Ama dhana ya kucheua...
12 Reactions
35 Replies
5K Views
Wakuu Nilipokutana naye miaka mitatu iliyopita, sikujua kama ningekuja kumpenda kwa kiasi hiki. Tulianza kama marafiki, tukakaribiana, na baadae nikajikuta nimempa moyo wangu wote. Ni mtulivu...
9 Reactions
39 Replies
844 Views
Wanawake walimu hawatumiki sana.
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Kuzaliwa mwanaume ni balaka kubwa sana inabidi umepewa thamani kubwa sana umepewa hazi ya kiongozi umepewa hazi ya mamlaka Mwanaume ata akikaa siku tatu bila kuoga hanuki ila mwanamke siku 1 tu...
9 Reactions
39 Replies
811 Views
Mwanamume mmoja anayeaminika kuwa na umri wa miaka 40 aliyetambulika kama Mitchell Dopoh amedaiwa kumlawiti Mbuzi na kusababisha kifo cha mnyama huyo. Kulingana na ripoti, uchunguzi wa awali...
11 Reactions
77 Replies
1K Views
Hawa watu kutoka kanda ya ziwa ni wakatili sana hasa hasa wanawake yaani ukitaka kuona dunia chungu au ndoa ni chungu oa mwanamke kutokea kanda ya ziwa aisee mimi niliona cha mtema kuni nusura...
5 Reactions
17 Replies
668 Views
Back
Top Bottom