Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukitaka kuona raha ya kwichi kwichi muwe mnatazamana usoni namna demu anaugulia na ukijumlisha na uzuri wa sura apo mnara lazima usome 5G na huchoki
0 Reactions
5 Replies
187 Views
Maisha haya tabu tupu. Kuna binti mmoja anafanya kazi hoteli fln hapo mlimani. Huyu nilimuona mara moja tu nikamtamani, baada ya kunihudumia nikamuachia tip nzuri tu na wala sikuchukua namba...
11 Reactions
51 Replies
4K Views
Me nilijua kwa kutokuwa predictable mfano siku ya Valentine sikumtumia hata text, ku keep distance kisha unarudi na vibe, kum treat kama victim. Basi ningemsogeza karibu zaidi. Lakini...
10 Reactions
19 Replies
370 Views
1. Mrefu mweusi mwembaba 2. Mfupi mweusi mnene 3. Mrefu mweupe mnene?
3 Reactions
13 Replies
260 Views
http://www.luckymojo.com/rattle-viper-sperm-incense-salt.jpg Inawezekana kabisa kuwa hii ikawa mada ya kushangaza mno kwako lakini ni kwakuwa hukuwahi kudhani wala kusikia juu ya hili jambo lakini...
8 Reactions
91 Replies
18K Views
Of course limekuwa jambo lakuhuzunisha sana lakini sina Budi maana binti alinieleza kabisa kwamba kabla sjaanza nae mahusiano wiki moja nyuma alishaconfirm na familia yake kwamba anaenda Polisi...
12 Reactions
168 Replies
7K Views
Kila mtu ameweka profile picture na avator yenye kumaanisha jambo fulani. Ie. Wengine hawajawaka. Naongea na wewe ambaye uweweka. Je ina maana gani au umeweka tu? Kwangu mimi avator yangu ina...
2 Reactions
13 Replies
204 Views
Yaani kabisa Mwanaume kutoka Mkoa wa Mashujaa na Wababe wa nchi wa Mara (Musoma) niipigie Magoti 'Mbunye' ambayo hata sijaikuta 'Sealed' na ilishafumuliwa kitambo hicho? Ninavyojua Wanaume wenye...
1 Reactions
31 Replies
476 Views
N:B Ilikuwa enzi hizo pesa ilipokuwa ikipewa uzito mdogo kwenye mapenzi Uopoaji una mbinu nyingi sana ikiwemo kutumia mbinu hii adimu ya kutumia mistari ya wasanii walioumiza vichwa vyumbani hadi...
3 Reactions
52 Replies
645 Views
Kati ya hao wanaume na wewe, nani mwenye akili? Endelea kukaza fuvu. Na hizo ndiyo ndoa sasa! Kila mwanaume hapo kamzidi mkewe kwa miaka 46+. Unaishi na mwanamke kachakaa kibayolojia na...
13 Reactions
54 Replies
965 Views
WAMAMA PUNGUZENI KAULI HIZI KWA WAUME ZENU 🙏 Kila mzazi ana haki ya kumlea mtoto wake. Malezi si jukumu la mama peke yake wala baba peke yake… ni ushirikiano 🤝 Lakini kuna kauli ambazo...
4 Reactions
3 Replies
475 Views
Sina hakika kama alikuwa anadaiwa kodi ya nyumba ila nilimkubalia kuwa ili aichukue hiyo hela sharti ahudhurie kunako gheto langu. Yeye akajidai hana muda kazi zinambana nimtumie tu. Nikamwambia...
7 Reactions
17 Replies
379 Views
Kipindi nilikuwa naishi Tanzania, kabla sijatimkia huku Tunisia, nilipata bahati ya kuwa na mapenzi ya mbali Mimi nilikuwa naishi Dar nikampata mwanamke anaishi Moro. Lile penzi kwa kweli...
5 Reactions
24 Replies
472 Views
Pesa yako unapeleka wapi ilihali hujawahi daiwa Kodi ya nyumba, bank biashara kakufungulia mme, mume ana madeni bank, mengine alikopa kuendesha misheni zake akajikita kumwekeza pia kwako...
4 Reactions
16 Replies
351 Views
EPUKA KUWA MTUMWA WA HISIA ZAKO MWENYEWE📌📌 Watu wengi leo wana ongozwa na hisia kuliko akili. Ukikasirika unafanya maamuzi ya haraka, ukiumizwa una jihukumu, ukifurahi unatoa ahadi usizo weza...
3 Reactions
6 Replies
344 Views
Please, wanajamii forums, mwenye anafahamu dawa ya mwanamke kukojoa kitandani amsaidie jamaa yangu! Yaani anaweza akaacha mwezi mzima hajakojoa, then anakuja kushtukia anakojoa tena kitandani...
2 Reactions
12 Replies
316 Views
Budget ya kharusi yangu ya kislamu nipo sahihi ya siku Moja Kama una experience na ndoa ya kislamu naomba Ushauri Chakula 500,000/ Mavazi 500,000/ Usafiri wa kuoa 500,000/ Tent 100,000/ Madufu...
13 Reactions
115 Replies
1K Views
Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa wenye utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
29 Reactions
490 Replies
16K Views
Hapa nataka tuelimishane kidogo jinsi ilivyo vigumu kuzuia USALITI kwa nguvu za kibinadam. Hili ni suala ambalo hakuna kanuni inayokubali kuuzuia kwa ukamilifu wa 100% kwani binaadamu ni kiumbe...
51 Reactions
146 Replies
17K Views
Ulikutana na mkeo akiwa tayari ana mtoto anaitwa John. Baada ya kuishi pamoja mkazaa mtoto mkamwita George. Je, utamwita mkeo mama John au mama George?
17 Reactions
157 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…