Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Source: African countries to find most beautiful women and good wives - Afrinik There are a lot of young individuals in Africa, both male and female. There are many stunning women in the black...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Hivi kwani Kuna mashindano?? Mbona kama mama zetu hawajihanini kabisaa, napenda kujua labda Mimi ndio mgeni katika Haya mambo kwani Kuna Siri gani kati ya mama mkwe na kijana wake??? Hapo mwanzo...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika harakati za kutii sheria mpya niliyojiwekea ya kuachana na mahusiano ya kimapenzi kutokana na mahesabu niliyoyabaini ya kupoteza si chini ya 180,000 kwa mwezi ili kumpatia mtu ambaye ndani...
4 Reactions
13 Replies
4K Views
Mtatuua yaani asubuhi asubuhi naamshwa na text ""baby leo ni girl friend day naomba zawadi"" Tangu nizaliwe ndio leo naisikia hii siku, kumbe ipo kweli nimeingia mtandaoni nimeikuta. Sasa huyu...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu dada sijamwambia hii kitu ili asije akadhani nimemgeuza msukule. Kila tukinyanduana tu kesho yake ujue mdeni wangu atanipigia simu nikachukue hela, au nitapigiwa simu ya dili au kibaruani...
17 Reactions
90 Replies
7K Views
Habari! Nimempata binti kwakweli haombi Hela na ukimpa pesa anauliza ya nini. Nilichojifinza ni kwamba hawa wadada wanaoomba pesa hovyo ni hali ngumu tu ya maisha ndio inawafanya wakose...
16 Reactions
63 Replies
4K Views
Nimekumiss wangu sana zamani tulipokuwa tunaandikiana barua za upendo kama hizi, Uhali gani mpenzi , Tokea mchana sijakuona , Umeshindaje,,,,, wangu . Moyo wangu ulikuwa mzigo na wasiwasi wangu...
4 Reactions
46 Replies
7K Views
Kuna siku nilileta uzi kumuhusu, mrembo mmoja nilikuwa naye kwenye mahusiano; ila kutokana na kuwa na mambo ya gharama gharama tukajikuta tumetengana. Kwa bahati mbaya, katika kutengana huko...
9 Reactions
68 Replies
4K Views
Mke anatafutwa wa kupanga nae maisha Age: 18- 28 -Education ata list ajue maesabu ya pesa + na - awe anaweza kuwa business idea -Aweze kujishughurisha kwa kazi ata kama amesoma sio ategemee...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo...
23 Reactions
210 Replies
20K Views
Za asubuhi wakuu, Story inaanza mwaka jana kuna mdada mtaani kwetu nlimgea kizawadi Kidogo kama gia ya kumtongoza ila Baada ya hapo nlibadilisha mawazo, sikuendeleza mazoea nae, niliahirisha...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume, ni hali ambayo inanisababishia changamoto kadhaa katika mahusiano yangu yote. Naweza kupiga pump non-stop mpaka masaa manne mfululizo na mashine bado...
6 Reactions
131 Replies
7K Views
Nilifungua channel ya Arise and shine Mwamposa alisema ambao wanatafuta mchumba wasimame walikua wengi sanaa. Nikawa nawaza kwanini sasahivi kundi kubwa la wanaume hawataki kuoa? Na kwanini...
7 Reactions
57 Replies
4K Views
Jamani naitwa shukran nina miaka 19 natafuta rafiki jinsia yakike nataman tuwe marafiki wakuaminiana natulio ivaana asante
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu; japo si swa ila kimoyomoyo nimefurahi kijana anapelek moto. Kuna mke wa bro bahati mbay bro alitoka duniani miaka karibia 10 iliyopita; bro alikua maisha safi sana, kitengo kikubwa...
10 Reactions
27 Replies
4K Views
GREETINGS Eeeh bwana eeeh is me Mr. Liverpool again A.K.A YANGA BINGWA! Baada ya salamu tuelekee kwenye hoja. INTRODUCTION  Mwenzenu baada ya kuona ajira hainifikishi kokote niliamua kufungua...
37 Reactions
167 Replies
12K Views
Yaani iko hivi Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu. Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki...
10 Reactions
247 Replies
18K Views
Habari wakuu, kiukweli kuna Jambo linanishangaza. Hivi ni kweli inawezekana?? [emoji856] Kuna dem mmoja, nilikutana naye katika mission zangu, baada ya Kukubariana aliniambia atanipa Tunda, ila...
3 Reactions
62 Replies
4K Views
Mambo yasiwe mengi haya ndiyo huwa yananikera kwenye harakati zangu na wanaume. 1. Kupaka mate katikati ya game. 2.Mwanaume kumiliki Nyoka kubwaa yani dushelele linene. 3. Mwanaume kumiliki...
31 Reactions
272 Replies
46K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…