Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu salaam Sisi wanaume tumekua tukiwapa wanawake pipi kijiti (lolipop) kama njia ya kuridhika na ombi lao la kusamahewa ili hali tunajua kabisa ni starehe ovu na ya kikatili dhidi ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa nini ubebe mimba ya mtu ambaye hajaitaka!! Kisa kinaanza kuna mwanamke mmoja (mchepuko) nilikuwa na mahusiano nae siku moja niliruka nae ila kabla ya sex alinihakikishia kuwa ana kijiti cha...
7 Reactions
10 Replies
475 Views
Leo dunia inaadhimisha nguvu, busara na mchango mkubwa wa mwanamke katika kujenga jamii na mataifa. Mwanamke si tu mzazi wa kizazi, bali pia ni nguzo ya maadili, dira ya jamii na tumaini la taifa...
3 Reactions
5 Replies
219 Views
Wakuu siwasalimii, mlinidanganya kuwa kuoa bikra ndio uanaume, nami nikauchukua ushauri wenu nikaoa bikra,nimekaa nae yapata 8months sasa ameanza kuchepuka,tafrani nyumbani. Nifanyaje wakuu...
5 Reactions
52 Replies
675 Views
Baada ya maambukizi , inachukua miaka 10 hadi 15 mtu kuanza kuona dalili za hiv, Kumbe wengi wazinzi naweza sema watoto wa 2000s walioanza uzinzi let's say 2018 wakiwa na miaka 18+, Dalili...
2 Reactions
12 Replies
340 Views
Haya mambo ya kale eti ntaishi nawe mpaka kifo hamna,siewez na haya mahusiano ya siku hizi n magumu.mm nnatafuta mwanamke nimpg mimba, akinializia tuh hivi,mtoto akikuwa na mwanamke huyo...
5 Reactions
11 Replies
240 Views
Hello Hope mko salama.. Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa.. Anyway sio mbaya kila mtu na...
16 Reactions
145 Replies
2K Views
Alinichamba na kunidharalisha mix matusi na kuniambia nisimzoee nifute namba zake, sikumjibu chochote, zimepita wiki tatu ananicheki kaniambia mbona niko busy sana simtafuti
12 Reactions
68 Replies
1K Views
Hili ni tatizo kubwa sana ila wanaume wengi wamekuwa waoga kuweka wazi, unamkuta jamaa ni pande la jitu lakini room anaenda mwezi hapewi show, kuyaweka mambo haya wazi ni kitu ambacho kwa tamaduni...
2 Reactions
12 Replies
469 Views
Mwanadada alihaamua kujipiga Selfie Na Mume Wake Aliyefariki , Na Kumtumia Mpenzi (mchepuko)Wake Kama Uthibitisho na kumwambia. Hatimaye tumekua huru kwenye mahusiano yetu mapya.. kabla ya hapo...
6 Reactions
21 Replies
776 Views
Nakumbuka nipo darasa la saba nikawa nimempenda binti nikaandika barua ya kumtongoza, then nikampa mdogo wake ampelekee dada yake, kilichofuata barua ikafika kwa wazazi wake Nikaitwa na kusemwa...
5 Reactions
35 Replies
848 Views
Sanaa ya ukunaji ni wachache wamejaliwa nayo .Ukunaji sio lazima uwe dushe kubwa ila ufundi tu Asa utakuta unampatia mwanamke unamkuna vizuri mpaka anaridhika ila huna mavumba huwezi kutatua mambo...
9 Reactions
74 Replies
1K Views
Kwenye hatua za makuzi ya mwanadamu kuna hatua mbalimbali hupitia kuanzia kutungwa kwa mimba mpaka kifo; Utotoni Ujanani Utu uzima na Hatimaye uzeeni Kila hatua hapa huwa na mambo yake ambayo...
12 Reactions
97 Replies
15K Views
Kwangu mimi ni Upendo,utu na mali zangu
4 Reactions
26 Replies
297 Views
Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi Leo nataka...
11 Reactions
181 Replies
5K Views
Mambo vp wakuu, Kutokana na nyuzi nyingi nazosoma humu ndugu zangu wengi wanapitia mazito kwenye mahusiano yao, swala la kukaa ndani nyumba moja bila kusemeshana, au mwanamke kuchepuka au...
19 Reactions
149 Replies
7K Views
Eti Maxence Melo kipindi ulikuwa bado umepauka, yule demu wako wa kwanza alikusaliti vp?😁😁
4 Reactions
17 Replies
358 Views
  • Poll Poll
Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?
3 Reactions
12 Replies
285 Views
Wakuu, Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu, cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina. Mke wangu akaanzishiwa ARV mara moja, kisha...
9 Reactions
87 Replies
4K Views
Salaam jamiiforum Mara nyingi mabandiko yangu yanawahusu vijana wadogo ambao kila Nyanja kwao bado ni ngumu iwe pesa,iwe kazi nzuri, biashara n.k vijana bado mambo ni magumu sana,najua si...
14 Reactions
53 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…