Leo kuna sehemu fulani nilikuwa nimekaa zangu nakunywa soda. Karibu yangu kulikuwa na baba mmoja wa makamo kidogo, alikuwa meza ya pembeni anakunywa pombe na tayari alikuwa amelewa chakalii...
ππππ π§πππ¨π§π πππ, ππ¨π’πππͺπ π¦ππ’ ππππ₯π.
Dada hatakama maisha magumu na huna kazi ila usiharakie kuolewa kama back-up ya kupata msaada wa mume.
Olewa kama ni mapenzi na mipango ya pamoja kati yako na...
Kuna kidume kinalalamika wanawake wako tayari kutoa penzi la bure kwa wanaume tajiri au maarufu wakati kwa mafukara na wavuja jasho wanawabania wakitaka chochote kitu kwanza!
Ni jambo linalotia...
Huyu dada namkubali. Sana Najma Paul mwambieni jamani ucheshi wako lmimi ni shabiki wako, NAKUPENDA sana Mimi kijana wa hovyo sijui umeolewa Sina kitu Sina hela, Mimi ni kafwebe π
Let's be short and clear...
Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini?
Unawezaje kuepuka bila kuvunja...
Tusemeni ukweli eti una mpenzi halafu jana hajakutext wala hajakukumbuka kwa lolote .
ILIKUUMA pasuka tu pah na useme kwenye huu uzi uliumiaje?? Ili hata uishi kwa amani.
Yaani kila mtu...
Kaka zangu naombeni ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 24 Nahitaji kuoa mwaka huu Inshallah Mwezi wa 7, sasa kipengele kuhusu huyu mwanamke yupo mwaka 1 chuo ananipenda sana anataka nimuoe ila...
Kila mtu ameweka profile picture na avator yenye kumaanisha jambo fulani. Ie. Wengine hawajawaka. Naongea na wewe ambaye uweweka. Je ina maana gani au umeweka tu? Kwangu mimi avator yangu ina...
Ndugu zangu.
Imekua ngumu sana kwa sisi wachakataji kupata msicha bikira ulimwenguni hapa.
Pia ni hivyo hivyo ngumu kwa waoaji kuoa binti bikira, unakuta msichana alibikiriwa na baba yake...
Huu wosia nauacha kwa mke wangu na wale wote wanaopenda kuoa wake za marehemu.
Sasa kwa mke wangu nawaambia msije mkamuoa, haiwezekani mahali pangu pa kujidai, namkubja ninavyojisikia eti aje...
Wanazengo nimemvaa mwanamke mmoja ila na wasiwasi sana na mbaya zaidi nilipiga kavu. Kwa mwenye ufaham hivi zile dawa za kuzuia maambukiz baada ya kupiga demu mweny ugonjwa yaan PEP zinapatikana...
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?
Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka
With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote...
Mwaka ndiyo kwanza umeanza ila humu jukwaani zimejaa nyuzi za makasiriko, malalamiko, vijembe; βwanawake hawana mchango wowote?", βkwanini mnazeeka na hamuolewi?β mara "mna nini cha ku-offer? au...
Nini inasababisha hapa bongo wanaume kuteseka zaidi kuhusu wanawake kuolewa au kutoolewa kuliko hata wanawake wenyewe?
Wanaume bongo wako obsessed sana na suala la wanawake kuolewa mapema...
Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwako. Kila utakapopita nalo utakutana na watu wanaojitapa kulijua vzr kwa sababu walipata kulitumia; wapo watakaoelezea namna walivyokuwa...
Waakuu, rejea kichwa hicho km kinavyojieleza hapo juu, namaanisha kichwa cha habari. Siku za hivi karibuni nikikutana na Mwanamke ambae havai Shanga haanipi amsha amsha kabisa.
Why? Wanawake...
Wanasemaga usimdharau mtu usie mjue, kuna siku nilipangiwa mishe ya kikazi kwenye moja ya mkoa fulani hivi hapa nchini
Tukiwa kwenye hizo site kuna mrembo mmoja akawa analeta mazoea na mimi, japo...
Habari wanajamii,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30βs, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi.
Kwa ufupi kuhusu...