Me and my wife tuna siku muhimu ambayo tumepanga rasmi kwa ajiri ya kuwakumbuka wale wote ambao tushawah kuwapenda kimapenz kama sehemu ya maisha yetu kabla ya kufunga ndoa kati yangu na wife...
Jamani kama wewe unahisi una shidaa sikiliza redio za dini wapendwa utamkumbuka Mungu kila siku. kuna mdada ameomba ndoa yake ina shida saana sana akaulizwa why akasema mume ni dreva. Akapata bibi...
Heri ya mwaka mpya.
Nina mchepuko wangu single mother now ana kama miaka 23 hivi
Huyu binti nimeanza nae kitambo na tunakua na migogoro ya hapa na pale ila bado alikua ananipa papuchi.
Anajua...
Mwaka 2018 nilipendana na binti fulani kwenye fb binti huyo alikuwa hanijui na mimi si mjui kabisa si mnajua mapenzi ya fb na tulikuwa tunaishi nchi tofauti yeye TZ mimi nipo katika nchi za...
Mimi kijana Umri 38, elimu kidato cha nne, rangi maji ya kunde, mwembamba, Kaz mjasiriamali.
Nahitaji mwanamke wa kuoa umri 27-30, asiwe na mtoto, elimu awe kidato cha nne na kuendelea, dini awe...
Jana siku yangu nzima haikwenda sawa, nilipotoka nikapitia bar, nikanywa bia kadhaa ili kutuliza kichwa mpaka nafika home ni saa 5 usiku. Frustration za Hapa na pale kichwani nikajikuta nalala saa...
Wasalaam JF
Katika harakati zangu za ubatizo wa kimahusiano, utamaduni wangu hua navaa low profile yaani mithili ya mtu asiejiweza kipesa, kupitia hili mahusiano yangu mengi yanakufa chap kwa...
Kuingia Kwenye ndoa ni ndoto ya matamanio ya mwanamke ambayo huanza kujijenga tangu akiwa msichana mdogo sana.
Na ndoa ndiyo hubadili maisha na mwenendo wa matukio yote yaliyotokea nyuma yawe...
Nadhani wote jioni tukutane kwenye ukumbi wa rose garden hapa majengo Moshi mjini tuna kikao chetu sisi kama team kataa ndoa. Huyu kaka angu katufanyia usaliti mkubwa sana, sote tumekubaliana...
Watu wengi wako kwenye ndoa na watu ambao si matarajio/malengo yao.
je wewe ambaye bado hujaingia huko, umejipangaje ili usifanye kosa hilo?
Ili umpate mke wa ndoto zako hakikisha hauruki hatua...
Heri ya mwaka mpya bandugu.
Mwaka ndo umeanza hivyo,mambo ni mengi,mengi kweli kweli. Mungu atusaidie.
Asubuhi ya Leo nimepata habari flani kuwa X kawa chizi..mmh nikashtuka kulikoni huu uchizi...
Nina demu wangu ambaye kwasasa tuna miezi takribani 8 hivi kwenye mahusiano. Huyu demu wangu yupo tofauti kabisa na wanawake wengine ambao nilitoka nao before. Najaribu kusoma tabia yake lakini...
Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea...
Habari
Mim ni mwanamke
Umri wangu ni miaka 27
Makazi yangu ni Dodoma
Nafanya kazi
Natafuta mwenza mwenye umri kuanzia miaka 30 hadi 40
Awe ni mkristo
Awe anaishi dodoma
Awe na stable source of...
Kama wewe ni mwanaume na unaamini sifa inayokutambulisha ni ndevu au uzito wa sauti ama kuwa tu na viungo vya kiume,kuna kitu kikubwa umepungukiwa.
Labda nikwambie jambo jamaa yangu , umezaliwa...
Ndugu zangu kila mtu ana wake anayempenda kwa dhati mke/ mume au mchumba.
Hembu jivunie hapa mazuri yake toka umekuwa nae.
Nianze mimi, mama watoto wangu Anna nakupenda mno aiseeh, miaka mitano...
Habari zenu wakuu, herini ya mwaka mpya. Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye mada.
Miaka mitatu iliyopita nilifahamiana na binti mmoja kupitia social media na niyeye alienitafuta, awali...
Mabadiliko ni kama sheria kiasili, lakini huwa hayapendwi na watu katika kila kitu.
Katika mahusiano huwa hatupendi mabadiliko haswa yale ya kitabia hayapendwi kabisa. Imegundulika kuwa wanawake...