Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Pichani hapa chini ni Hakimi na aliyekuwa mkewe. Kwa kuangalia tu mavazi yake, sisi makungwi tunapata jibu kuwa huyu alikuwa siyo mke, bali ni kahaba lililokubuhu. Nawaonya enyi wanaume...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Labda ameuidhiwa kazini, au Labda yupo kwenye siku zake, au Labda amegombana na rafiki zake, au Labda mtu amevaa nguo imefanana na yake, au chochote kimemuudhi. Anaweza kutaka kuondoa hasira...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Acha pupa/Uharaka • Mtoto wakike wala usimwarakishe. Ukifika chumbani(akafika chumbani) kwanza (kumbatianeni na mbusu pia mnongoneze. Kwa sauti ya mahaba ya chumbani, mwambie nakupenda. •...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Wanaume wengi wanaishi kwenye ndoa na inaonekana ndoa sio suluhisho la kukidhi haja zao za kimwili.Hii imetokana na sababu nyingi. Kuna mtu asubuhi ameandika Uzi kuwa “Vijana mkiingia kwenye ndoa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara...
23 Reactions
122 Replies
9K Views
Miaka yote sijawahi kujua maana ya amri ya SITA wengi watashangaa sana ila ndio ukweli , . Lala na mume wako tu tofauti na hapo utapata shida ambazo ndio tunaenda Kwa waganga kutolewa nuksi...
7 Reactions
66 Replies
3K Views
Asili ya mwanamke ni kuharibu mambo. Asili ya mwanaume ni kuweka vitu pamoja/ kuvifanya viwe vya sawa/kawaida. Kwaiyo ukiona mwanamke anakufanyia vitu vya ajabu, anachafua mambo, anaharibu...
14 Reactions
74 Replies
8K Views
Habari za majukumu wana JF, NAHITAJI kupata uhakika na maelekezo juu ya mademu chotara au shombeshombe wa kiarabu nimepata tetesi kua mkoa wa TABORA. Wanapatikana kwa wingi na maisha yao ni...
7 Reactions
75 Replies
8K Views
Naitwa NALIA NGWENA Jinsia: me Miaka yangu: kijana Kazi: dalali/unga unga mwana/harakati za hapa na pale/kubeti ndiyo kazi zinazoniweka mjini. NB: nahitaji mdada serious aje akonge moyo...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Wiki iliyopita nilikutana na mwanamke niliyefahamiana zamani sana, tena utotoni kabisaa, hata ugwadu wa barehe niliumalizia kwake, sio mimi tu, hata na marafiki zangu waliponea kwake na kwa...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Miezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu. Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili...
29 Reactions
167 Replies
10K Views
Habari zenu! Kama isemavyo hapo juu... Enyi vijana na wazee ni nani aliyewaroga? Ingefaa wanyama waendelee kuishi hapa Duniani na nyinyi kupuuzwa kabisa!. Hata sasa hamjafikili bado?Mahusiano...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika maisha kosea vyote ila sio kuoa. Huyu kaka etu ana roho ya uchuro yani sisi wadogo zake tumbo moja tukiwa na shida ya kifedha jibu lake atasema Sina pesa ukibahatika sana basi utapewa nusu...
16 Reactions
88 Replies
6K Views
Ni Jumanne njema! Niende kwenye hoja yangu. Kutokana na mabadiliko na mapinduzi ya teknolojia, baadhi ya tamaduni njema kabisa za kiafrika wazazi wengi mmeziacha. Sasa siyo mbaya kwani kutenda...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Wanawake ukipata fursa yoyote kwenye maisha yako usiiache eti kisa kuogopa mwanaume au kuwaza kuwa mbali na huyo mwanaume. Wanawake jifunzeni kujiweka wa kwanza kwenye kila kitu kwani hao wanaume...
15 Reactions
102 Replies
5K Views
Katika Mapenzi Wakati Mwingine Gharama za Maumivu ya Mtu Mwingine ndio Gharama za Furaha kwa Mtu au Watu Wengine...Sikia! Elie Taktouk, ambaye Ni Milionea Mwenye Asili ya Lebanon alifunga Ndoa na...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Jamii forums ni sehemu sahihi ya kupata ushauri, samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu. Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto...
11 Reactions
92 Replies
6K Views
Wakuu tuache mbamba Mademu wazuri kuwala ni pesa sasa usijifanye unalia lia tu hapa wakati kinachotakiwa ni pesa. Pesa pesa pesa pesa pesa pesa Shauri yako kama unatafuta vipesa unahonga...
8 Reactions
57 Replies
3K Views
Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake. Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri...
9 Reactions
126 Replies
6K Views
Miezi mitatu iliyopita nilianza uhusiani na binti ambaye hatujawahi kuonana mpaka leo. Tumejuana fb lakini msichana huyo ametokea kinipenda sana kiufupi amezimika namimi. Sijawahi kumwambia...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…