Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Kenya goes for bond to rein in interest rates MONDAY OCTOBER 30 2017 By GEORGE KAMAU More by this Author The National Treasury of Kenya has for the third month in a row opted to raise money...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakenya wengi hawajui kucheza karata za kisiasa.Wakenya wengi wanataka kupenya kuingia Tanzania ila kikwazo kikubwa ni sheria Na Sera mbalimbali za Tanzania kama za ardhi,ajira,uhamiaji nk...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
Hali maeneo ya ruaraka hapa nairobi,si shwari baada makabiliano makali kuibuka mitaani Kati ya vijana wa kundi haramu LA mungiki na wajaluo. Mwenzenu tangu niziskie hizi habari nimetulia mvunguni...
3 Reactions
118 Replies
15K Views
As you go for the re~run polls, I wish Uhuru Kenyatta the best. I just hope he will win the election for Kenyas presidential polls. The simple, yet very powerful move of accepting the re~run as...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Mshindi wa Uraisi Kenya kutangazwa saa 3:30 pm (saa 9:30) na IEBC Na maandalizi yashakamilika ikiwepo ulinzi wa kutosha MPAKA SASA KENYATTA ANAONGOZA KWA KURA 7 million ; ikiwa wazi ndo Raisi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama mnavyo jua Raila alikuwa anapigania Kiti cha uongozi Kenya Haya He says he won round one but says he was cheated the seat Well i found abit not believable since my polling station was...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
Naomba wakenya waweke humu link yoyote Inaonyesha media za Tanzania zikisifia wanawake wa kenya. Povu rukhsa.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kenya economy hit hard by political limbo Saturday October 28 2017 Cargo await clearance at the Mombasa port. Activity at the port slowed as transporters pulled their fleets off the road over...
0 Reactions
4 Replies
788 Views
Balozi wa Marekani nchini Kenya Robert Godec amesisitiza kuwapo kwa mazungumzo ya haraka na ya wazi kati Raila Odinga na Uhuru Kenyataa ili kuondoa mkwamo wa kisiasa uliopo nchini humo Kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Maandalizi kabambe yenye ulinzi mkali yanaendelea, ni ishara za wazi kwamba IEBC wamefikia hatima na kufanya uamuzi wa kutanganza mshindi bila uhusika wa maeneo bunge ya Nyanza kule kwa Raila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi habari zenu!? Naombeni kujua jinsi tume ya uchaguzi kenya inapatikanaje! Pia napenda kujua kwa jinsi gani iko huru au kwa jinsi gani haiko huru!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kenya sasa hivi kuna sintofahamu. Tume ya Uchaguzi imegawanyika, na imetoa tamko rasmi kwamba haiwezi kutoa guarantee uchaguzi ukifanyika wiki hii utakuwa huru na haki. Kamishna mmoja wa Tume hii...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Nilikua nimeboeka, nikashika kitabu flani cha 'Revision' Historia . Kimegawanywa Form 1 hadi form four. Kuna mahali pamenifurahisha, upande wa form 1 kuna mahali inataja sababu zinazosababisha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiongozi wa Muungano wa Upinzani (NASA) Raila Odinga amepuuzia uchaguzi wa marudio uliofanyika na kusema haukuwakilisha Wakenya walio wengi na anajiandaa kwa uchaguzi mwingine utafanyika baada ya...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
OPINION: Why Supreme Court should nullify repeat presidential election results By NICKSEWE | Updated Oct 29, 2017 at 10:51 EAT 4.2kShares The Supreme Court of Kenya SUMMARYOn Friday September...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa matokeo yanayotiririka kutokea maeneo mbali mbali ya nchi, tarakimu zinaonyesha rais Uhuru ametimiza 7,263,496, idadi hii imebakia kidogo tu kufikia milioni nane alizokua nazo kwenye...
3 Reactions
50 Replies
6K Views
Huenda nchi ya Kenya ikakumbwa na mzozo mkubwa wa kisasa mwaka huu iwapo Rais Uhuru Kenyatta anayeongoza katika kura ambazo zinazozidi kutolewa na tume ya uchaguzi IEBC kama atatangazwa mshindi na...
2 Reactions
51 Replies
7K Views
POSTED 22 HOURS AGO The numbers question in the repeat poll that refuses to go POSTED 23 HOURS AGO IEBC chairman Wafula Chebukati (right) get updates from commission officials compiling...
1 Reactions
0 Replies
731 Views
Polisi wawili waliokuwa kituo cha Polisi Kayole Nairobi wameuawa kwa kupigwa risasi na kisha wauaji kuondoka na bastola walizokuwa nazo Maafisa polisi wenzake kutoka kambi ya polisi ya Kirima...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…