Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Wana jf tuwe wakweli kwa hali ilivyo ndani ya serikali ya Kenya ingekuwa kwenye mataifa mengine hivi Odinga leo hii angekuwa bado analala nyumbani kwake?Tazama uchanguzi ulivyo amriwa kurudiwa...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa maoni yangu kuapishwa kwa Raila Odinga ni mzaha na comedy ya kisiasa kuwafurahisha wafuasi wa NASA na wakenya wapendao comedy. Kuapishwa kwake si uhaini/jinai ya aina yoyote kwa sababu haina...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo Kiongozi wa muunganiko wa vyama vya NASA Raila Odinga anatarajiwa kuapishwa kama Rais wa Kenya. Hatua hii ya Raila Odinga inakuja iliwa ni baaada ya kugomea uchaguzi mkuu wa marudio nchini...
5 Reactions
280 Replies
39K Views
Wanahabari watatu wa Kenya walilazimika kukesha katika chumba cha habari kwa kuhofia kukamatwa na polisi waliokita kambi nje ya majengo ya shirika la habari la Nation. Mawakili wa wanahabari hao...
1 Reactions
8 Replies
992 Views
Benki ya Taifa ya Kenya imetangaza kupunguza wafanyakazi 150  Leo January 30, 2018 Benki ya Taifa ya Kenya imetangaza kupunguza wafanyakazi 150 wakieleza kuwa nia ya kufanya zoezi hilo ni...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mbunge wa Ruaraka, MP TJ Kajwang’, ambaye ndiye aliongoza tukio la kuapishwa kwa kiongozi wa NASA, Raila Odinga amekamatwa Mbunge huyo amekamatwa leo na askari polisi waliokuwa hawana sare nje...
3 Reactions
87 Replies
10K Views
Dunia ilitarajia leo yangetokea machafuko wakati Odinga akijiapiza kuwa raisi wa watu wa kenya.ilitarajiwa police wa kenya wangezuia na kusababisha umwagikaji wa damu hasa kutokana na umati mkubwa...
6 Reactions
49 Replies
3K Views
The Citizen TV and NTV shoutdown following to broadcast live the inauguration events of NASA candidate mr. Raila Odinga today. Yestarday the authorities in kenya warned the Media in Kenya not to...
5 Reactions
264 Replies
25K Views
Nimetafakari nikaona niweke huu uzi hapa ili tupanuane mawazo. Juzi Raila Odinga - Kiongozi wa NASA nchini kenya aliapa kama "Raisi wa Watu". Hapakuwa na polisi wala mtu yeyote aliyeingilia kati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Stun hand grenade was hurled at Kalonzo’s home, police confirm By Mercy Asamba Published: Jan 31st 2018 at 13:14, Updated: January 31st 2018 at 13:24 The National Police Spokesman Charles Owino...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
PRESIDENT Dr.John Magufuli will today launch new Tanzanian electronic passport in an event to be held at Immigration head quarters in Dar es Salaam Speaking to Azania post, the Immigration...
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Vituo vikubwa vitatu vya TV vitaendelea kufungwa hadi itakapokamilisha uchunguzi juu ya kuapishwa kwa kiongozi wa upinzani, Raila Odinga. Waziri wa mambo ya ndani, Fred Matiang'i amesema leo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya serikali ya Kenya kupanga wanausalama katika uwanja wa uhuru,palishuhudia umati mkubwa wa watu wakiingia uwanjani na uwanja kujaa kabla ya Odinga kuingia na lengo kubwa la wanausalama hao...
1 Reactions
8 Replies
686 Views
  • Redirect
Pitia huu uzi wa 2016 UDSM kurusha satellite ya mawasiliano 2023
3 Reactions
Replies
Views
Business Why SGR cargo train is yet to roar into life despite price reductions By Vincent Achuka Published: Jan 28th 2018 at 12:58, Updated: January 28th 2018 at 12:58 Containers on board the...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndiyo maana ya Kiongozi wa Nchi, wale sio adui ni raia wake pia, Na ndiyo maana nzima ya democracy, ameheshimu mawazo na ametegua mtego wa machafuko yaliyokuwa yanaenda kuinyemelea Kenya...
11 Reactions
52 Replies
4K Views
Maafisa wa kutegua mabomu katika nyumba ya kiongozi wa chama cha Wiper na naibu nchini Kenya Kalonzo Musyoka wanachunguza kifaa kinachofanana na bomu kilichorushwa katika nyumba yake mjini Karen...
1 Reactions
0 Replies
941 Views
si dhani kama raila Odinga alikuwa na haja ya kujiapisha kama raisi wa watu ila nadhani kuwa anchokifanya raila ni uchochezi wa ghasia sijui wanaelekea wapi wakenya
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Jana baada ya Viongozi waandamizi wa NASA kushindwa kuhudhuria kuapishwa kwa Raila Odinga imedhihirika wazi walifanya hivyo kwa makusudi.. Akiongea na vyombo vya habari mwenyekiti wa chama cha...
0 Reactions
5 Replies
844 Views
Back
Top Bottom