Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Wakuu, Hivi Mimi huwa na mashaka sana na taarifa za economist baada ya mwizi na mhujumu Uchumi(mwandishi wa economist na mchafuaji wa rais JPM) Kabendera kukiri makosa yake Sijui sasa wakenya...
0 Reactions
3 Replies
810 Views
Hata na rasilimali zote mlizo nazo, athi yenye rutuba na yote hayo... NYINYI BADO NI LDC. KISA NA MAANA
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Inawezekana vipi Tanzania kuwa na maambukizi mengi kiasi hiki na bado watu wakawa wazima? Je, no mbinu za kibiashara? Au mabeberu wapo kazini?
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna video inasambaa kwenye mitandao inayomuonyesha RC wa Tanzania akimtukana rais wa Kenya na Wakenya, binafsi sijahangaika kuitazama maana nawafahamu Watanzania ndivyo walivyo, kwao hakuna...
7 Reactions
71 Replies
7K Views
Larry Madowo amemaliza masters in journalism at Columbia University. Thesis yake ilikuwa kuinvestigate mbona Jumia haitengenezi profits
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Hawa hapa wameanza kulia hovyo wenyewe tena barabarani kabisa. ===== A section of Nyeri pastors and matatu operators held prayers for the nation seeking God’s intervention as Coronavirus...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Kumenuka, Kenya police is doing what they best at. Arresting and canning without listening to your excuses. But this time round, mashetani zao zimewaambia waende wapige vijana rungu Tanzania
4 Reactions
76 Replies
7K Views
Kenya kama sehemu ya bara la Afrika haijakumbwa na corona kwa kiasi kikubwa. Kwa bahati mbaya sana viongozi wa ngazi za juu aidha kwa bahati mbaya au kwa makusudi wamekubali kucheza ngoma...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Safaricom ambayo ina thamani ya takriban dola bilioni kumi imeorodheshwa ya kumi Africa. Kwenye kumi bora, Africa kusini imechukua nafasi karibu zote. Katika mia bora, Kenya ina kampuni nne...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu 25 zaidi wamepatikana vna virusi vya corona, na kulifanya taifa la Kenya kuwa na jumla ya visa vya maambukizi 912, Kulingana na taarifa iliyotolewa na Katibu tawala wa waziri wa Afya Rashid...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kenya wamegawanyika Kama tulivyogawanyika Watanzania, viongozi wao wanaamini Wana majirani wengi na wameigeukia Uganda na Ethiopia kupata bidhaa zilizokuwa zinatoka TZ. Wameigeukia pia Rwanda...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Baada ya Kenya kuendelea na msimamo Wake wa kufungia wananch Hali imezid kua mbaya baada ya watu kuanza kuanguka na kupoteza faham wakat wa kugombea chakula Pia katika mgao huo Kuna baadh...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Tazama video jinsi wabongo 15 wametiwa mbaroni kwa kuvuka border ya Kenya kinyume cha sheria. Kwanza Wabongo wengine wametolewa mbio hehehe. Polisi wa Kenya hawatambui uraia wala nini.
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Tanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. Waandishi hao ni Clinton Isimbu (22) na Kaleria Shadrack (23) wa...
4 Reactions
190 Replies
17K Views
Wafikirie wananchi wako ndugu, hali ni mbaya sana.
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hilo limeamuliwa na mahakama kuu ya USA, kwamba walipwe hela ya Kenya trilioni 1.2 Aki ya nani hiyo hela ni ndefu sana.... Sijui kama majirani ambao pia waliathirika na wao watapa kitu, The US...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu zangu, ''Ajizi nyumba ya njaa'', Kagame na Museveni wakati wanajadiliana mkakati wa ''lockdown'' ndani ya nchi zao ili kupambana na Corona walikuwa wanaendelea na mazungumzo binafsi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali imetangaza kuwa madereva 53 waliopimwa mpakani ndani ya saa 24 zilizopita wamekutwa na CoronaVirus. 51 Ni kutoka Tanzania na wawili wametokea Burundi. Aman amesema madereva hao wamezuiwa...
1 Reactions
82 Replies
9K Views
Wakati nchi za Afrika, zikipewa rukhsa na G20 ya kutolipa deni mwaka huu, Kenya imepinga wito huo. Kenya imesema itaendelea kulipa deni kama kawaida. Hii ni kwa sababu wito huo unakuja na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…