mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,036
Kenya kama sehemu ya bara la Afrika haijakumbwa na corona kwa kiasi kikubwa. Kwa bahati mbaya sana viongozi wa ngazi za juu aidha kwa bahati mbaya au kwa makusudi wamekubali kucheza ngoma inayopigwa na wazungu ( Ulaya na USA), bila kujali hiyo ngoma inawaumiza kiasi gani wananchi bila sababu ya msingi.
Ninakubali COVID 19 ipo na ni tishio. Lakini lazima kuchukua hatua zinazolingana na ukubwa wenyewe kwa kuzingatia hali halisi ya Kenya.
Ili tusibishane let us allow the numbers to speak!
A. Jumla ya maambuzi mpaka sasa kwa kila continent: Number of cases per million of population
1. North America 3,090
2. Europe 2569
3. South America 1072
4. Oceania 203
5. Asia 177
6. Africa 67.
Data hizo hapo juu ni kwa kila continent.
Hizo namba zinazungumza hivi:
1. North America imeathirika kwa COVID 19 mara 67 zaidi kuliko Afrika.
2. Europe imeathirika mara 38 zaidi kuliko Afrika.
3. South Africa imeathirika mara 16 zaidi kuliko Afrika.
4. Oceania imeathirika mara 3 zaidi kuliko Afrika.
5. Asia imeathirika mara 2.6 zaidi kuliko Afrika.
Ushahidi wa namba unaonyesha kuwa Haiwezekani Afrika ichukue hatua kupambana na corona kama inavyofanya North Amerika. North Amerika lazima ichukue hatua ngumu zaidi mara 67 kuliko Afrika! Na Afrika lazima ichukue hatua nyepesi mara 67 zaidi kuliko North America. Cha kushangaza na ambacho hakikubaliki ni kuzilazimisha nchi za Afrika zichukue hatua kwa ugumu huo huo kama Marekani na ulaya!! Wao wakifanya lockdown na nyie mnaambiwa fanya lockdown!!
TATTIZO ni kwamba wazungu wanataka hatua walizochukua wao kupambana na corona zichukuliwe na Afrika hata kama tatizo la corona kwa Afrika si kubwa kama huko kwao!
Labda nitoe mfano ili nieleweke kwa urahisi: Wazungu ni sawa na mtu anayekulazimisha ununue petrol lita 100 ili utembee kwa gari lako la cc 650, kwa sababu tu yeye alitumia lita 100 kutembea umbali huo kwa gari lake la cc 4500!! Kwa kuwa yeye ameumia kwa kununua petroli nyingi anataka na wewe uumie pia japo wewe huhitaji petroli nyingi kiasi hicho kutembea umbali huo maana gari lako halihitaji wingi huo wa mafuta kutembea umbali huo!
Africa wake up! Just say enough is enough!! Halafu tukigombana sisi majirani kwa tatizo ambalo halipo kwa kiwango hicho, wazungu wanatudharau sana!!
Unapolazimishwa utumie nguvu kubwa kwa tatizo dogo ili tu ulingane gharama na yeye aliyetumia nguvu kubwa kwa tatizo kubwa mara 67 kwa nini usiseme HAPANA!
Magufuli kasema HAPANA na wengine wanashindwa kumwelewa!! Lakini namba zinamtetea!! Kenya semeni HAPANA na Mungu atawatetea.