Kenya kainchi kadogo kenye raslimali chache, ila tunajtuma mithili ya sisimizi, sijui lini Watanzania wataamka na kufanya chochote cha maana, GDP yetu inaelekea kuwa mara mbili ya Tanzania...
Wafanya biashara wa Uganda wamehojiwa wengi wameanza jitihada za kuchangamkia soko la DRC na fursa zilizopo, hii ni baada ya DRC kuwa mwanachama ndani ya EAC. Wakenya tusichelewe, bahari Hindi na...
Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi wiki hii. Bajeti yenyewe itakuwa ya ksh 3.3 trillion ambayo ni zaidi ya mara dufu ya bajeti ya Tanzania.
=======
Budget reading Thursday as MPs end...
Ukiona World Bank wananunua hisa za Equity bank ujuwe kwamba wao wameona Equity bank ina future nzuri. Britam insurance ilinunua shares za Equity zamani sana wakati bado Equity ilikuwa kampuni...
Baada ya boda boda mmoja domo zege huko Kenya kufanya yake, rais Kenyatta amelazimika kutoa somo:
"Kama uko na haja na mtoto omba pole pole." Amesikika Kenyatta.
Kwa hakika rais huyu hajawahi...
Hakimu akamatwa akiwa na binti wa chini ya umri wa miaka 18 akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni
Afisa huyo wa mahakama ambaye jina lake limehifadhiwa alinaswa akiwa na msichana huyo wa umri wa...
Did you know that Kenya is a lead exporter of meat and meat products to different destination markets? Yes.
Apart from floriculture and horticultural export products that Kenya is widely known...
Tourism and Wildlife secretary Najib Balala said the reopening of the rink will be a boost to ice-skating games, after Ice Lions, Kenya's only ice hockey team, hit global headlines two years ago...
KCB Group has received regulatory approval from the National Bank of Rwanda (BNR) to merge its newly acquired Banque Populaire du Rwanda (BPR) and KCB Bank Rwanda.
The two banks will now...
Habari JF,
Huwa najiuliza mbona siwaoni wakenya kwenye jukwaa la love connect.
Au na nyie mna jukwaa lenu la love connect?
Jamani kikuyu,luhyas etc hamtutaki wanawake wa Tanzania?
Na nyie...
Bei ya mafuta ya kupikia na viazi mviringo imeonekana kuwa tatizo kwa baadhi ya maeneo ya Kenya kiasi cha wauza chakula, Chepchikoni Eateries kuondoa chipsi kati menu yao
Mmiliki wa Chepchikoni...
https://www.google.com/url?q=https://nairobinews.nation.africa/kenya-police-shootings-killings/&sa=U&ved=2ahUKEwiCxZTIre_2AhXsi_0HHaPMA4sQFnoECAMQAg&usg=AOvVaw0lFlba-qbNRx1bOMI1ShW9
Zaidi soma >...
A Mobius Model II car in Nairobi in 2019. PHOTO | NMG
Kenya’s only home-grown automaker, Mobius Motors, plans to ramp up production of its second-generation model with an eye on the regional...
Shirika la Habari la Deutsche Welle (DW) Limetoa taarifa ya ukame na tishio la njaa linaloikumba nchi ya Kenya. Katika taarifa hiyo, imeonyesha idadi kubwa ya Twiga waliokufa kwa sababu ya ukame...
JKIA, Moi airport rank best in Africa on customer service
ADONIJAH NDEGE
Summary
JKIA and MIA in Mombasa emerged top in the 2021 Best Airport by Size and Region in the 5-15 million...
Kenya is facing a difficult time of general election and difficult economy now as politics are getting critical each and every day.https://WeekendPayout.com/?userid=121552
Rais wa Kenya amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kile ambacho anadai kilipangwa kufanya na Makamu wake wa Rai, William Ruto, kusimamia mipango ya kumfanyia hujuma na kushitaki.
Kenyatta...
Taarifa zenye ukubwa wa TeraByte 2.9 zimevuja zikiwa na taarifa kuhusu utajiri wa watu mashughuri duniani wakiwemo marais waliostaafu na walioko madadrakani
Kwa nchi za Afrika taarifa za Rais wa...