https://thebusinesswiz.co.tz/2023/01/03/dar-takes-on-kenya-with-2-2-billion-sgr-link-to-drc/
MY TAKE: if you can't fight them, join them.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
System ya Tanzania ilishausoma mapema Mchezo na kujua kuwa Ruto ataenda (na mpaka sasa GENTAMYCINE nasema ameshashinda) na Kumshauri Mama kutoonyesha Upande wake Wowote kati ya Ruto na Odinga...
Familia ya Kenyatta imepata Tsh. Bilioni 58.7 kwa mwaka mmoja kutokana na umiliki wao wa hisa za NCBA Group baada ya mkopeshaji wa daraja la juu kukaidi kushuka kwa soko la hisa na kuibuka kuwa...
MY TAKE: KDF wapo DRC kulinda amani wakati wameshindwa kulinda mipaka ya Kenya, hii ndio inaitwa " kupenda sifa zaidi ya uwezo wako"
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
MY TAKE: KDF wapo DRC kutafuta amani ambayo wameshindwa kuirejesha Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli (EPRA) Daniel Kiptoo amesema #RuzukuyaSerikali ya 15% itasitishwa rasmi Desemba 31, 2022 na hivyo watumiaji watalazimika kulipia ongezeko...
Côte d’Ivoire was projected to be West Africa's fastest-growing economy this year at 5.7%, but Senegal is set to overtake it - expanding 4.8% this year before speeding up to 8% in 2023 and 10.5%...
Polisi wa eneo Bunge la Kandara, Kaunti ya Murang'a wanamshikilia baba wa watoto wanne wa kike pamoja na mkewe baada ya mtoto wao kufichua kuwa mzazi huyo amekuwa akiwabaka.
Inadaiwa mwanaume...
Mtu mmoja amefariki huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya basi la Modern Coast kutumbukia kwenye mto Masosa kwenye makutano ya Makutano mjini Kisii.
Kamanda wa Polisi wa Kisii Central Amos...
1. Mmetoa Uhuru kupitiliza, kwa watu wapenda RUSHWA
2. Mmejaza nafasi nyingi Sana za Uongozi (kwa kuchaguliwa na kuteuliwa-@county-Governor, Deputy Governor, senator, women rep, several MPs&MCAs)...
Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia.
Mwanafunzi huyo wa darasa...
Utafiti uliofanywa na taasisi ya #Infotrak umeonesha Siku 100 za #Uwajibikaji wa Rais Ruto kwenye Masuala ya Chakula haujawaridhisha Wananchi na hivyo kumuweka kwenye wastani wa 40%.
Ruto...
Bomu lililolipuka Kaunti ya Baringo, imesababisha vifo vya watoto wawili na wengine wakijeruhiwa vibaya.
Watoto hao walikuwa wakichunga mifugo yao na walikuwa wakichezea bomu hilo hadi...
The 84km Kenol - Sagana - Marua dual carriageway project in Kenya is set to be partially opened before the end of 2021.
The USD 273.3 million project is the country’s second most expensive road...
Hongera sana wana Kenya kwa uchaguzi uliokuwa wa uwazi mkubwa. Katika Afrika bado sijaona uchaguzi ulioendeshwa vizuri kuliko huu wa Kenya.
Ukweli mchungu Uchaguzi Tanzania ni sehemu ya...
Dr. Chibukati kwa namna ya uongozi alioonyesha IEBC anastahili kuongoza taifa kubwa zaidi kiuchumi Afrika Mashariki.
Ikiwezekana uchaguzi wa marudio awemo ili iwe rahisi kutangaza kwa uwazi bila...
Wakuu twende mbele turudi nyuma, nchi ya Kenya imeitupa Tanzania mbali sana kimaendeleo. Nakiri sijawahi kufika Kenya, lakini nimekuwa mfuatiliaji sana wa mafanikio ya wenzetu kupitia kupitia...
The late Moses Okiror Omusolo. PHOTO | COURTESY
The Media Council of Kenya (MCK) has condemned the Wednesday, December 21, 2022, murder of Standard journalist Mr Moses Okiror Omusolo.
In a...
Rais William Ruto ameuambia Upinzani kuacha kumsumbua kuhusu ahadi zake za kampeni kwa Wakenya alizotoa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9.
Akizungumza wakati wa ibada ya Krismasi ya madhehebu...