KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Napenda nitoe maoni yangu hapa na tujadili 1.Tume zipitishwe na Bunge 2.Tume ya uchaguzi iteuliwe na Bunge kuepusha kupendelea chama fulani au kulinda watu fulani 3.Tume ya katiba iteuliwe na...
0 Reactions
1 Replies
663 Views
Huu MUUNGANO tulio nao sielewi kama ni wa danganya toto au nini. Muungano wa kweli na wenye tija, ni wa serikali moja tu. Muungano huu ni wa kichekesho tu. Muungano wa baadhi tu ya mambo, maana...
0 Reactions
2 Replies
834 Views
"Rais Kenyatta awataka wabunge kutii sheria" Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa kauli kali kupinga hatua ya wabunge wa Kenya kutaka kujiongezea mishahara. Rais Kenyatta amesema kuwa taasisi...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
UTANGULIZI Sisi watanzania tunakiri kwa mamlaka ya mwenyezi muumba wa viumbe wote; tuna waheshimu tunawathamini na kuwakumbuka kwa ujasiri wao, Ndugu zetu ambao wamejitahidi kuleta uhuru haki na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huu ni mtazamo wangu binafsi Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuunda katiba mpya TANZANIA SIO TAIFA LA DINI YOYOTE Tanzania haitumii Quruani wala Biblia kufanya maamuzi kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katiba ya ukweli ni ile isiyokuwa na wingi wa wanasiasa bali wingi wa wananchi .
0 Reactions
1 Replies
818 Views
Nimefuatilia yanayoendelea Lindi na Mtwara na hoja za Serikali pamoja na wadau mbalimbali nikagundua serikali inataka kupingana na ukweli tu bila sababu. Nimeshindwa kuelewa maana ya kauli ya...
2 Reactions
12 Replies
937 Views
Wanafunzi wakitanzania wamekosa fursa yakueleza fikra zao katika serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kutokana na kutokuwepo kwa mwakilishi wa moja kwa moja bungeni. Nadhani ingekuwa jambo...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Kwa kuwa sasa tunaelekea kutoa suala la mafuta na gesi katika orodha ya mambo ya muungano, NI DHAMBI KUBWA NA UTAPELI PAMOJA NA UNYONYAJI KAMA TUTARUHUSU SUALA LA ARDHI LIENDELEE KUWA LA MUUNGANO...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Bado nawaza! Watanzania watazidi kurubuniwa na sisi wachache mpaka lini? Hayaa.. Huku kwenye chama tawala tunapeana moyo sana!! Tunaamini kabisa watanzania watakubali kikatiba tuwe na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KWA WANAO FAHAMU MH.JAJI JOEPH WARIOBA WAKISIMULIA HISTORIA YAKE YA KUONGOZA WATAKWAMBIA NI TU MAKINI NA MWENYE UTASHI BINAFSI KATIKA KUFANYA MAAMUZI HASA YENYE MASLAHI KWA UMMA; BINAFSI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunahofia nini kurudia uchaguzi wa mabaraza? TANZANIA ipo kwenye mchakato wa kupata Katiba mpya inayotarajiwa kuwa suluhu ya upungufu wa Katiba ya sasa iliyotuongoza kwa miaka 51 baada ya...
0 Reactions
2 Replies
864 Views
Katika huu mchakato wa katiba mpya kuna mambo hatuyaelewi kabisa imekuwa ni kama desturi wanakuwa kimya kwa mda flani halafu wanakuja kushtukiza jambo na kwa nilivyoona katika mchakato huu...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
wadau napendekeza katiba mpya itupe haki sisi watumishi wa serikali tunaoipenda CDM fursa ya kugombea vyeo vya kisiasa kama udiwani na ubunge bila kulazimika kuacha kazi ....wapenda mabadiliko...
1 Reactions
3 Replies
999 Views
Edson Kamukara CCM haina dhamira na katiba mpya NAJUA ni maeno ya kuudhi, lakini sina budi kuyasema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina dhamira ya dhati kuwapatia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni vema katiba yetu mpya izingatie Mifumo ya Azimio la Arusha hasa Kipengele cha KUTAIFISHA MALI KUTOKA KWA WATU WASIOWAAMINIFU AMBAO WAMEJILIMBIKIZIA MALI NYINGI ISIVYO HALALI(illegaly Obtained...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Inaonekana katiba hii mpya inawajali watu wa mjini tu,maana kwetu mchakato huo haupo kabisa.
0 Reactions
1 Replies
768 Views
Nina maswali yafuatayo kuhusu hadhi au wadhifa wa baba a Taifal 1.Je,wadhifa huu uko katika katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? 2.Kama haupo sababu ni nini au ni wadhifa usiostahili...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
http://youtu.be/VklyqVLs4c0
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Ndugu wana JF, Nimekuwa nikifuatilia kuhusu mchakato mzima wa upatikanaji wa katiba yetu mpya na sasa tumefikia kwenye hatua ya uundwaji wa mabaraza ya katiba ya kata,.Hapa ndipo napoomba msaada...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom