Habari Zenu Wakuu, Kama kichwa cha habari kisemavyo natafuta marine board used ili.
Niweze nunua nikajengee ukuta kwa zege kwenye kibanda changu. Site iko Goba Karibia na Joys Eslava. Many...
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amewatoa hofu Waheshimiwa Wabunge kuhusu mpango wa Serikali wa utekelezaji wa miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa utaratibu wa uhandisi...
Unaweza kufa na nyumba ukaacha hapo, otherwise jenga bila haraka, kwa awamu na taratibu uta enjoy
Ukifikia level vitu vya kingereza uwiiiiii ni stress juu ya stress hasa kama unafosi nyumba...
Niliwahi kupokea kejeli miaka kadhaa nyuma baada ya kununua eneo maporini, niliwashirikisha baadhi ya ndugu na marafiki twendeni kuna viwanja vinauzwa na almashauri.
Kejeli zao, nani akaishi...
MHE. KATIMBA - KAMILISHENI MIRADI KWA WAKATI KUHARAKISHA TIJA KWA WANANCHI
Naibu Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba (Mb) amemtaka Mkandarasi na Mtaalamu Mshauri anayetekeleza Mkataba...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta fundi welding mwenye uzoefu wa kutengeneza Spiral staircase.
Material kwa maana ya chuma, welding sticks, grinder discs kulingana na size grinder...
Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika wametakiwa kuandaa mapendekezo yanayohusu umuhimu wa mifumo madhubuti ya usimamizi wa fedha za umma inayoweza kukabiliana na changamoto zinazojitokeza...
Habari zenu wana JF!
Baada ya kuwaza sana kuhusu hivi viwanja vya mikopo vinavyouzwa, vyenye ukubwa wa Futi 50 Kwa 40 kama je, vinatosha kujenga nyumba?
Kwangu Mimi nimeona itatosha endapo pale...
Je, ni sahihi kulipia kibali kwaajili ya marekebisho ya kupaka rangi nyingine nyumba yangu?
Nimeikuta huku Songea mkoa wa Ruvuma, ikiwa mwenye nyumba anataka kurekebisha rangi au kubomoa na...
Natanguliza shukran wakuu, bila shaka wazima wa afya, straight to the point, ni mgen kwa maswala ya ujenzi ndo maana nataka nikijenge hiki kwa phases kinipe experience kabla sjajipanga kwa ajili...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametambulisha na kuwakabidhi Wakandarasi Wazawa kutoka Kampuni ya Salum Motors na Jonta Investment kwa Wananchi watakaoanza ujenzi wa madaraja makubwa manne ya...
Habari za leo wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kufahamu makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa ya vyumba 3 (Kimoja master na viwili vya kawaida), sebule...
Katika mambo huwa yananishangaza na kunifikirisha sehemu mbalimbali za nchi hii ni uwepo wa majengo mengi ya nyumba za watu walionza kujenga kubaki bila kumaliziwa(mapagala) kwa muda mrefu sana na...
Huyu bwana akiwa huko aliko aliamua kujenga nyumbani. Aliomba ndugu ammtafutie kiwanja na kufanya inanla ya pesa. Baada ya malipo kukamilika hata mimi ninashangaa kuwa hakuona ukubwa wa kiwanja...
MAKALA YA 10
Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo .
1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI
Kuna watu...
Habari zenu mafundi nataka kujua ni kiasi gani naweza kujengewa Ghorofa moja kwa maeneo ya kijijini
Nataka kujua bei tu ya ufundi mbali na vifaa vya ujenzi maana kuna sehemu nilipata majibu ya...
Habari za muda Huu wapendwa,
Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko...