Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kuna Professa Mmoja (Jina namhifadhi) ambaye alifariki Dunia 2012. Kaacha Majanga kwa watoto wake kwa Sababu hakuandika wosia kabisa. Huyo Mzee tumsamehe tu lakini nachoomba ni ushauri tu kwa...
Zitto noooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmaaaaaaaaaa!!!!!!!
Tunakushukuru kijana mwenzetu mpenda haki na mtetezi albert msando. umewabwaga hao mawakili maarufu ambao...
Wapendwa niko njia panda nilizaa na mwanaume lakn amefikia hatua ya kuoa bila kunitarifu kinyume na makubaliano ye2,kwa ss mtoto anahitaji ma2nzo pamoja na shule je nifanye nn ili huyu mtto apate...
je kuna sheria yoyote kwa swala hilo hapo juu kwa viongozi wa umma? Nchini kwetu TZ ??
Ni ki reffer impeachment trial; clinton vs monica
karibuni wana sheria
Kuna Idara ya Maendeleo ya Jamii na Idara ya Ustawi wa Jamii.
swali langu kwenu nyinyi wachambuzi nomba mnisaidie kutofautisha Idara hizi pamoja na sheria za kutumia wakati wa kutekeleza...
Wana JF
Nimekutana na makaratasi yenye kuonyesha yameandaaliwa na Mch. C. Mtikila wa Liberty International Foundation yenye kuelekeza madai ya ekari 199 eneo la Kurasini, Dar.
Nimeonelea...
jf mambo vpi?
mimi nilikuwa na mpenzi tumeishi kama miezi mitano sasa kuna siku mpenzi wangu akazikuta msg za demu mwingine kwenye simu yangu akaamua kwenda police na kusema nimemtapeli sh milion...
Wadau habari za jioni. Mida hii wakati natokea sehemu fulani kuelekea nyumbani, nilipishana king'ora cha polisi kuashiria kua kuna msafara wa kiongozi wa nchi anakuja. Hivyo nikakaa pembeni...
Sheria ya kubaka inasema nini iwapo mwanaume atatembea na msichana mwenye umri chini ya miaka 18 lakini akiwa alishazaa na mtu mwingine(ambaye tuseme alimbaka na yuko gerezani kwa kosa la kubaka)...
Nimesikia mara nyingi maafisa mbalimbali wa polisi wakionya wahalifu kwa kusema: Atakayekamatwa kwa kosa....... atapata adhabu kali. Nikisikia hivyo huwa najiuliza: Adhabu hutolewa na jeshi la...
RIPOTI MAALUMU KUHUSU KUACHIWA HURU KWA "RAMA MLA WATU'
Ramadhani Suleiman 'Rama mla kichwa' (kulia) na mama yake mzazi, Khadija (katikati) walipofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza...
Nahitaji mtaalamu (HR personnel) wa kuweza kuniandalia Mikataba ya wafanyakazi wa ndani (House girl na House boy/ Shamba boy). Mikataba ya miezi 3 au 6 (renewable based on operational requirements...
Wana JF, mimi ni mwajiriwa wa serikali! Nina mkopo wa tpb tangu mwaka jana, mikopo ambayo waajiriwa hudhaminiwa na mwajiri! Mwaka huu nataka niende kufanya Msc (ughaibuni), kwa mazingira ya...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.PICHA|MAKTABA
KWA UFUPI
Ni kesi ya Abdulrahman Kinana kumtaka Peter Msigwa kufuta kauli yake.
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es...
salaam sana wakuu.
hivi majuzi tu nilishuhudia kwenywe ITV nadhani ni maeneo ya IRINGA walikamata lori la mafuta likiwa ndani limesheheni vipodozi toka kongo na kesho yake wakaviteketeza.
_sasa...