Mtanisamehe kama imewahi ulizwa humu, me sikuiona, mtu kaniuliza na me cna jibu.
Mtu wenye jicho moja anaeleza kuwa hajalala kwakusema "Niko macho" au niko "Niko jicho?"
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia kupotea kwa mwandishi Jamal Kashogi nchini Uturuki.Jana nimekumbana na msamiati mpya,"The interrogation that went wrong" au kwa Kiswahili "mahojiano...
Lugha hadhim ya kiswahili sasa inakamata kasi ya ajabu katika nyakati hizi Afrika na dunia kwa ujumla, wakati juzi ndani ya mkutano wa wabunge wa Afrika mashariki na wageni mbalimbali kutoka nchi...
Kuna Haya maneno, naweza nikasema hayajawa professional kichwani mwangu maana nashindwa kuyaelewa na ni sehemu ipi sahihi katika sentensi yanafaa kukaa/kuyatumia..
As well as
&
As long...
Habarini wanajamvi naombeni kujuzwa na wale wataalam wa lugha hasa kimarekani hivi neno "***" linamaana gani ??, Je ni wakati upi yaani muktadha ili neno hutumika maana naona vijana wengi hutumia...
Kuna haja ya kujulishana misamiati mipya ya lugha yetu adhimu. Kila siku lugha yetu inakua na misamiati inaongezeka kila siku.
Hapa kuna baadhi ya misamiati, pia naomba ndugu zangu muongezee...
Habari za asubuhi ndugu wa JF. Kimsingi baada ya muda mrefu kupita bila kuzamia katika mtandao wa kijamii wa Facebook /uso wa kitabu nadhani ndio sababu iliyonifanya nishangae kuona hii misamiati...
KATIKA KUTEKELEZA SERA YA ELIMU BURE KWA WOTE:JIFUNZE ENGLISH
Kama inavyojulikana kuwa English ndio lugha kuu wa mawasiliano duniani hivyo pasipokujua English itakufanya ushindwe kuingia katika...
Sijui kuna nini kilichofichwa kwenye hii lugha ya kimalkia (English).
lugha zote duniani mswahili anaweza kuongea paspo wasiwasi nikamsikiliza vizuri lakini si kiingereza!
Yaani mswahili punde...