Jukwaa la Historia

On JF:

ABUU, ISHAKA MARANDE NA YAKUB "GOWON" MBAMBA Mazishi hapa Dar es Salaam yamekuwa mahali pa kuwakutanisha watu ambao hawajaonana miaka mingi sana. Ilikuwa leo mchana Masjid Nur Magomeni...
0 Reactions
9 Replies
720 Views
ZANZIBAR NA LAMU ZINAVYOFANANA Picha hiyo ya punda kabeba mizigo ni kwa hisani ya Abuu Shani. Picha hii nimeipenda na imenikumbusha mara hyangu ya kwanza kufika Lamu mwaka wa 2007. Nilikwenda...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Utangulizi Aziz Ali alifariki mwaka wa 1950 miezi michache baada ya kutoka kuhiji Makka. Hata kwa mbali katika maisha yake haikumpitikia kuwa mali aliyoacha nyuma itakuja kutumika katika...
15 Reactions
59 Replies
18K Views
Adam Sapi Mkwawa alishika Uspika mara mbili, kwa anayejua kwa nini atusaidie. Erasto Andrew Mbwana Mang'enya alishika miaka 2 tu baadae Adam akaja kushika tena.
1 Reactions
4 Replies
852 Views
Mwishoni mwa miaka ya 1800 hadi miaka ya 1900, Wamarekani Weupe na Wazungu walitumia Waafrika kuunda "Zoo za Wanadamu" katika miji kama Paris, Hamburg, Antwerp, Barcelona, London, Milan, Warsaw...
1 Reactions
6 Replies
882 Views
Tulipoishia ni pale mzee soni kuona moto ukipamba sana katika nyumba ya justin (Raia)..saidia jman mwanga maji,”lete maji”mungu jamn maindra Justin alishangwaza sana na moto hule umetokea...
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Napenda kujua ni kwa namna gani wajerumani walitumia kuyapa majina haya maeneo ya Tanganyika enzi za ukoloni majina ya kijerumani? German placenames Most place names in German East Africa...
9 Reactions
20 Replies
5K Views
MISRI ni nchi inayozunguka kona ya kaskazini mashariki ya bara la afrika hadi kwenye Rasi ya Sinai kusini magharibi mwa bara la Asia Nchi ya Misri imepakana na nchi kama Israel, Palestine...
8 Reactions
22 Replies
4K Views
Wajerumani walipofika Tanganyika waliwakuta Waislam wanafahamu kuandika, kusoma na walikuwa wameelimika katika hesabu. Mmishionari Ludwig Krapf alipofika kwa Chifu Kimweri wa Usambaa mwaka 1848...
9 Reactions
243 Replies
14K Views
Ukimtoa Malkia Elizabeth II basi hakuna kiongozi mwengine wa kifalme aliyeiongoza uingereza kwa miaka mingi zaidi kumzidi Malkia Victoria kwa miaka 64 ....Ndio malkia Victoria ndio jina Lake...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Babaji ni Himalayan yogi ambaye ameishi kwa muda mrefu sana. Kila mtu anapaswa kumfahamu Babaji ni nani. Inasemekana Babaji amezaliwa Madras, India, AD 200. Mpaka leo yuko hai. Nilitamani...
2 Reactions
6 Replies
780 Views
Makala hii nimeiandika miaka michache nyuma kwa ajili ya gazeti moja Ulaya na ndiyo sababu iko kwa Kiingereza. RAMADHANI IN DAR ES SALAAM THROUGHOUT THE YEARS Observation of the holy month of...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
MAONYESHO YA MWAMI TEREZA NTARE II JUMBA LA MAKUMBUSHO YA TAIFA Ukiingia lango kuu la Makumbusho ya Taifa sasa unaelekea kwenye ukumbi wa Maonyesho ya Mwami Tereza Ntare imewekwa picha kubwa...
1 Reactions
1 Replies
664 Views
Anaejua historia kamili ya Otabenga atiririke hapa
1 Reactions
3 Replies
682 Views
Mfahamu Sokoine Moringe Edward Sokoine Moringe (Agosti 1, 1938 - Aprili 12, 1984). Alikuwa mwanasiasa maarufu wa Tanzania ambaye alihudumu kama Waziri Mkuu wa Tanzania kwa vipindi viwili kutoka...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Historia ya Tanganyika imemficha mwanamama huyu ambaye alipingana na viongozi wa Tanu wakiongozwa na Mwalimu Nyerere na wazo la UN kuwa Tanganyika ipewe Uhuru mwaka 1971 na kushinikiza uhuru wa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
RAMADHANI ILE HAIPO TENA NCHI HII Kuna watu waliohai hivi sasa walioshuhudia katika nchi hii Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hapakuwa kunachezwa mpira wa mashindano viwanjani wala dansi kupigwa...
11 Reactions
129 Replies
5K Views
Wajaluo wakimbeba John Hanning Speke kumpeleka lilipo Ziwa Victoria ili aligundue.
30 Reactions
86 Replies
4K Views
Kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine imenikumbusha historia ya rafiki wa Sokoine Mzee Ali Mohamed Mead. Mzee Ali Mohamed Mead alikuwa mfanyabiashara mkubwa na...
2 Reactions
1 Replies
796 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…