UMASIKINI WAKO NI NINI?
-UMASIKINI unanzia Kwenye kupuuza unapoambiwa UKWELI na kuhisi anaekwambia sio saizi yako,lakini
-UMASIKINI mkubwa ni Kukubali wewe ni masikini,lakini
-UMASIKINI mkubwa...
Tanzania yetu tangu Uhuru haikutokea umwagaji damu kwakuwa tupo na baba yetu marekani ,,pia RUSSIA hana maslahi na Tanzania kama ilivyo mmarekani , niseme tu kuwa BRICS VS G7 wakivurugana kwenye...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akisalimiana na babake mzazi, Amos Kaguta huko Rwakitura muda mfupi baada ya vikosi vya NRA kuliteka jiji la Kampala 1986. Aliyevaa magwanda ya kijeshi kulia ni...
Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja
by RAIA MWEMAin HABARI
ALIPOFARIKI dunia Mwalimu Julius Nyerere Oktoba 14 mwaka 1999, gazeti la Guardian la Uingereza liliniomba niandike makala maalumu...
Swahiba FM Zanzibar walifanya Kipindi Maalum kuhusu Maisha ya Aboud Jumbe washiriki wakiwa Salim Salim na Mohamed Said:
Mohamed Said: MAISHA YA ABOUD JUMBE KATIKA SIASA ZA ZANZIBAR - SWAHIBA FM
MOHAMED ''MSOMALI'' HASSAN: TAAZIA KUTOKA KWA KHERI MAULID CHOMBA KWA NIABA YA VIJANA WAPENDA SOKA KARIAKOO
Utangulizi
Rafiki yangu Kheri Maulid Chomba wa Kariakoo kaniletea taarifa ya msiba wa...
Abraham Lincoln was the 16th (1861-1865) President of the United States, and the first President from the Republican Party.
BY Comred Mbwana Allyamtu
Early Life
Born on February 12, 1809, in...
Sisi vijana wa zamani tunakumbuka kauli zako za kishujaa kuhusu wahujumu uchumi na wanyonyaji..ulivyo wasema na kuwashughurikia wazwaz na kipindi kile hatukuona kama ni udikteta.
Lkn zama hizi...
kalata ni mchezo maarufu sana hapa duniani ,kwa afrika mchezo huu hupendwa sana kuchezwa kwenye misiba , vijiwe , na hata kazini.
1. Ningependa kufahamu mchezo huu ulianzia wapi na nani...
:: pichani ni Malkia wa mwisho wa Rwanda Rosalie Gicanda (aliyeolewa na mfalme Mutara III Rudahigwa mwaka 1942)....
mfalme Mutara III Rudahigwa alikuwa mfalme wa Rwanda kati ya mwaka 1931-1959...
Nimeanza na hilo jina makusudi ili niwatoe watu katika fikra za siasa na tu-refresh kidogo.
Edward Said Tingatinga ni mchoraji maarufu aliyezaliwa katika kijji cha Namochelia huko Tunduma mnamo...
.
Hizo ndizo kauli za watu walio elimika ambao wana-focus katika maendeleo Sikh zote
Twapaswa kujifunza kupitia wao usi waige walio-fail maisha wao hskuna watacho kufundisha zaidi ya kuponda...
Mwaka 1992 nilipokuwa nimemaliza masomo yangu Chuo kikuu cha Leeds Uingereza, nilienda nyumbani na nilimtembelea rafiki yangu huko kijijini ambae nae alikuwa amemaliza masomo yake huko...
***************************
Samuel Kanyon Doe alizaliwa May 6, 1951 jijini Tuzon, nchini Liberia.
Alfajiri ya Aprili 12, 1980, kikundi kidogo cha wanajeshi 17 kilijipenyeza ndani ya makazi ya...
BI. MAUNDA BINTI LUKOYO MKE WA AFANDE PLANTAN NA WANAE
...kwa kweli jina la Kizulu la Affande Plantan lilikuwa Shangaan. Hili jina lilitokana na kijiji katika Inhambane Msumbiji, walikotoka...
*{By Livino Ngalimitumba Haule (Lingaha)}*_
Nelson Mandela akiwa mwanaharakati wa kupigania uhuru wa watu weusi wa Afrika Kusini toka kwa serikali ya 'mkaburu.' Ndiye aliyeteuliwa na chama chake...
NDOTO ZA THOMAS ISIDORE NOËL SANKARA NA BURKINA FASO YA LEO
Na; Comred Mbwana Allyamtu
Burkina Faso ni taifa linalopatikana Afrika magharibi na linakaliwa na wakazi wapatao 17.27 milioni (sensa...
Ndilo Taifa lenye mchanganyiko wa watu wa kila Taifa, Kabila na Jamaa Kuliko mataifa mengine yote duniani ikiwa na jumla ya wakazi zaidi ya milioni 320. Wajuzi wa elimu ya jamii wanasema huenda...